Barua ya Sheikh Ponda kwenda kwa Askofu Mwamakula hii hapa

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Kuwa wa kwanza kufahamu kwamba Sheikh Ponda alimtuma Katibu Muhtasi wake kupeleka barua nyumbani kwa Askofu Mwamakula , siku ambayo Baba Askofu aliitisha mkutano na waandishi wa habari wa nje na ndani .

Lengo la barua hiyo ni kutambua mchango wa Askofu Mwamakula katika kupigania Katiba mpya na Tume huru ya uchaguzi .

 
Ponda naye siku hizi ni keyboard worrier? Kama ni jasiri angeandamana na Lisu siku ile
 
Katiba Mpya au Katiba Bora ? Unaweza kuletewa Mpya ikawa mbaya na mbovu bora hii ya sasa..., au umesahau ile ya Sitta ? Je ndio ile ambayo watu walitoa maoni ?
 
Ponda kama Ponda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…