daraja la kigamboni
JF-Expert Member
- Apr 28, 2016
- 3,127
- 3,062
Kuomba msamaha, kwanza akiri kufanya ugaidi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Namshauri akusome vizuri hasa ulipoandika kimalkia.Very stupid thinking! Asking for forgiveness is the admission of guilt.
Mbona hana kosa hakuna kuomba msamaha.
Pamoja na hayo kwanza nataka kujua atamuomba nani msamaha wakati kesi iko mahakamani?Mnamtega?
Msamaha huwa una mawili kukubaliwa
Au kukataliwa.
Actually itakuwa ni ukiri wa kosa.
Mwanzo kabisa wa huduma yake Bw. Yesu alijaribiwa na Shetani kwa ahadi kemkem; oh jirushe; ooh upuuzi gani lakini alishinda vishawishi vyote!Mfano wa Yesu umeuweka pasipostahili!Yesu alipitia Mateso,hakumnyenyekea Wala kumtumikia shetani!
Sasa unatumiaje mfano huo kwa kumtaka Mbowe amnyenyekee mtesi wake?
Ha ha ha!Nataka kuziamini hizi tetesi zilizopo kuwa huenda hiyo ni kampeni ya Mama kumlazimisha Mbowe aombe msamaha ili jumuia ya kimataifa iamini kuwa mwenye makosa ni Mbowe siyo Serikali! Huenda mtoa post from Lumumba ni timu kampeni "MBOWE OMBA MSAMAHA UACHIWE"!