Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ushahidi wa yule askari wa uchunguzi, na ushahidi wa gudluck leo unaonesha kesi imeisha na serikali imeshindwa!
wanatafuta namna ya kujichomoa
Lissu anakula kwa beberu lake Amsterdam, Lema alikuwa mwizi wa magari, mbunge na Sasa kaenda kula kwa mabeberu eti akirudi atafanywa kama mbowe. Sasa mbowe akiachiwa watakosa hoja.Kabla ya Mbowe kukamatwa walikuwa wanakula wapi?
Watu wa aina Yako huwa nawapuuza tu,so usiku mwema!Lissu anakula kwa beeru lake Amsterdam, Lema alikuwa mwizi wa magari, mbunge na Sasa kaenda kula kwa mabeberu eti akirudi atafanywa kama mbowe. Sasa mbowe akiachiwa watakosa hoja.
Kuna MTEGO upo hapo..utanasa waliomo na wasiokuwemo....Hivi Kwann imekua hivi? Msamaha how? Jambo lipo mahakamani na kesi inaendelea. Inakuaje yanakuja matamko ya watu mbalimbali juu ya kuomba msamaha kwann? Nadhan ni vzr kila mmoja akae kwa kutulia ili mahakama itende haki kisheria. Hii biashara ya kuomba msamaha kuna kitu hapa.. sio bure!
View attachment 2094230
mungu fundi aisee, kaamua kutupigania kwa kulisweka lile jambazi lupango, linakula viboko uko[emoji23][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]Akili za kulia mandazi hizi.
Hoja bora zaidi hiiBasi watuhumiwa wote waombe msamaha kesi zao zifutwe!
mungu fundi aisee, kaamua kutupigania kwa kulisweka lile jambazi lupango, linakula viboko uko[emoji23][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]Kwa hiyo huo msamaha anaenda kumuomba Nani?
MBOWE SIYO GAIDI
MSAMAHA HATUOMBI
HUO MTEGO UTAWANASA WENYEWE
mungu fundi aisee, kaamua kutupigania kwa kulisweka lile jambazi lupango, linakula viboko uko[emoji23][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]Yaani wewe una akili za kuvukia barabara tu. Ulisomeshwa kwa bahati mbaya. Bora ngo'ombe wenu angepelekwa shule!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
mungu fundi aisee, kaamua kutupigania kwa kulisweka lile jambazi lupango, linakula viboko uko[emoji23][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]Hata ukifungwa miaka mingi wakati unachokipigania ni kitu muhimu,sahihi na kinachokufurahisha katika maisha yako huwezi kuomba msamaha kamwe maana kuomba msamaha tu kutamaanisha hujitambui maana hutaki furaha yako iendelee na hii ndiyo sababu wapigania ukweli na haki wengi zaidi walikubali mateso kuliko kuisaliti mioyo yao iliyotambua vema wanachokipigania kilikuwa kitu bora zaidi hata ya uhai wao.
Kwa asili ya familia ya Mbowe ni wazi hakuna ambacho hajajaribu kwenye maisha ya kawaida linapokuja suala la maisha na akakikosa.Maisha yetu yote tunapigania kuwa na pesa ambazo Mbowe anazo na alizaliwa akazikuta kwao zipo za kutosha tu.So furaha yake ishakuwa ni kupigania mabadiliko ya kisiasa kwa taifa lake na ameonesha yupo tayari kuacha vyote kupigania anachokiamini.
Mungu atamjalia mema tu ni suala la kuomba tu Mungu atende mapenzi yake mema kwake maana ndiyo kilichosalia hapo.
Wewe una pesa?Hata ukifungwa miaka mingi wakati unachokipigania ni kitu muhimu,sahihi na kinachokufurahisha katika maisha yako huwezi kuomba msamaha kamwe maana kuomba msamaha tu kutamaanisha hujitambui maana hutaki furaha yako iendelee na hii ndiyo sababu wapigania ukweli na haki wengi zaidi walikubali mateso kuliko kuisaliti mioyo yao iliyotambua vema wanachokipigania kilikuwa kitu bora zaidi hata ya uhai wao.
Kwa asili ya familia ya Mbowe ni wazi hakuna ambacho hajajaribu kwenye maisha ya kawaida linapokuja suala la maisha na akakikosa.Maisha yetu yote tunapigania kuwa na pesa ambazo Mbowe anazo na alizaliwa akazikuta kwao zipo za kutosha tu.So furaha yake ishakuwa ni kupigania mabadiliko ya kisiasa kwa taifa lake na ameonesha yupo tayari kuacha vyote kupigania anachokiamini.
Mungu atamjalia mema tu ni suala la kuomba tu Mungu atende mapenzi yake mema kwake maana ndiyo kilichosalia hapo.
Ajabu sana mkuu! Hata mimi nimeshangaa namna mtoa mada alivyoji-contradict kwa kutoa mfano wa Yesu kwasababu Yesu haku-surrender na ndiyo maana tukakombolewa kwa damu yake iliyomwagika msalabani. Ange-surrender tusingepata ukombozi.Mfano wa Yesu umeuweka pasipostahili!Yesu alipitia Mateso,hakumnyenyekea Wala kumtumikia shetani!
Sasa unatumiaje mfano huo kwa kumtaka Mbowe amnyenyekee mtesi wake?