Barua ya wazi kwa Askofu Mkuu Mhashamu Nyaisonga: Je, Mungu amekoma kuwa mtetezi wa wanaoonewa?

Barua ya wazi kwa Askofu Mkuu Mhashamu Nyaisonga: Je, Mungu amekoma kuwa mtetezi wa wanaoonewa?

mna take it too personal...
Bishop kamwaga ndimu its ok kukunja sura[emoji3][emoji3]
Ana matatizo ya ufahamu huyu kiongozi. Kwani watu wasipoenda kupiga kura si mtu wao atapita kwa urahisi? Yeye shida yake ni nini?
 
Wafanye ya kwao lakini bwana atapindua meza kwa ajili wameigeuza nyumba ya baba yangu kuwa pango la wanyanganyi na kituo cha biashara haramu ya kuisigina demokrasia
 
mna take it too personal...
Bishop kamwaga ndimu its ok kukunja sura[emoji3][emoji3]
Kwani yeye ni nani hadi akereke kwa sisi kutokwenda kupiga kura? Kwani yeye akienda kupiga kura hatoshi kumpa ushindi huyo aliyempigia? Mbona kwa Tanzania hata kura moja tu mtu anakuwa mshindi? kwanza kwa sisi kutokwenda kupiga kura tumemrahisishia ushindi mtu wake.
 
They are even now failing for they have embraced the very pieces of silver that betrayed the Christian faith centuries ago
 
kila mwaka madhehebu huwa yanahamasisha.... what makes it a crime kufanya sasa?
Tatizo tuna imani atakayesema nje ya wish yetu ni adui yetu.

Ambao ni ujinga.

Hiyo miaka mingine walipohamasisha uliona watu wakiwakosoa kama sasa? Ina maana wao hawaoni huu uhayawani wa wazi wa kipindi hiki? Ni hivi tutawapa ukweli wao bila kuuma maneno fullstop.
 
Rais wa TEC!? Naombeni wasifu wa askofu Nyaisonga, ilikuwaje maaskofu wakamchagua bogus namna hiyo asiyejua kuchagua maneno ya kuongea!? Amenikwaza sana huyo askofu.
Naungana nawe mkuu "VAPS" hata Mimi natamani kumfahamu vyema askofu huyu. Anaonekana hata misingi ya kidemokrasia iliyomo kwenye Katiba yetu haifahamu. Nashindwa kumtofautisha na Dr. Bana ambaye kila wakati Ni kujipendekeza kwa watawala bila malipo!!!
 
Wapinzani wengi si wakatoliki na ukikutana na mkatoliki mpinzani basi Ni yule ambaye hata jumuiya huwa haendi na hapokei hata komunyo na mbishi kutoa sadaka na zaka za kanisa
Sikubaliani Na Wewe! Rombo Mbunge Wao Chama Gani? Miaka 10 Sasa...
 
Huyu askofu ndiyo wale Gwajima anawauliza wanakula maharage ya wapi.

Hajui kauli yake inaweza kuzalisha Bokoharam na wala hatambui pia kuwa hawa viumbe wakilianzisha hapa nchini kila mtu atakuwa anatafuta handaki la kujificha.

Haya ndugu askofu.... endeleeni na mapambio yenu!
 
Rc limekuwa kanisa la hovyo sna na nimeacha kwenda huko kabisa kwanza yanjionaga manage .stupid
 
kwahivyo mkikosoa sana ndio mnataka world support?
Stop Baby cry
Hiyo miaka mingine walipohamasisha uliona watu wakiwakosoa kama sasa? Ina maana wao hawaoni huu uhayawani wa wazi wa kipindi hiki? Ni hivi tutawapa ukweli wao bila kuuma maneno fullstop.
 
Mimi binafsi mara ya mwisho kuheshimu masikofu na mapadiri wa kanisa katoliki, ilikua mwaka 1994 wakati wa mauwaji ya kimbali Rwanda.

Maaskofu wa kiHutu walihimiza wafuasi wao kuua waTusi wakikatoliki na wahutu wenye msimamo wa kati masikini wengi waumini wakikatoliki walikimbilia Miskitini kujihifadhi ili wasifanyie huo unyama na wakatoliki wenzao, karibu wa Tusi 800,000 wa liuawa, Tangia hapo siheshimu kiongozi wa hiyo dini ni wanafki sana, na wako kidunia zaidi kwa kupitia mgogo wa Dini
.... una hukumu wote kwa kosa la mmoja sio!

#rilaxx
 
Amehamasisha watu kupiga kura kama wanavyofanyaga.
Hayo mengine hakuyaona.

Tumieni vyama vya siasa na KKKT na vijikanisa vya Mbeya.

RC ni taasisi huru imetoa maoni yake kwa kuzingatia katiba
Kwani yeye ni nani hadi akereke kwa sisi kutokwenda kupiga kura? Kwani yeye akienda kupiga kura hatoshi kumpa ushindi huyo aliyempigia? Mbona kwa Tanzania hata kura moja tu mtu anakuwa mshindi? kwanza kwa sisi kutokwenda kupiga kura tumemrahisishia ushindi mtu wake.
 
Jiulize kwa nini kuna kashfa nyingi sana za hovyo kwa hawa viongozi wakuu wa kanisa hili. Mara nyingi wanatuhumiwa kwa ubakaji, ulawiti, mauaji, n.k. Kila kunapokucha papa huomba msamaha kwa maovu ya kutisha yanayofanywa na hawa mapadri. Ukimchunguza kwa umakini huyu padri utamkuta ana uhuni fulani ndani ya kanisa au jamii. Siyo bure. Waovu wengi huficha uovu wao kwa kujipendekeza kwa watawala. hata mfanya biashara ukiona yupo upande wa watawala ujue kuna wizi unaendelea na hiyo biashara kuna jinai ndani yake.
... mara nyingi tunaona raha sana kumshambulia mwingine, simply because ya kwetu hayaonekani, kama huyo askofu ameitoa hiyo kauli kwa bahati mbaya, hastahili msamaha?!

hebu tupunguze unafiki kidogo sasa kwenye hili, ni wapi walipo wasiokosea wote tukimbilie huko?
 
Hivi wewe jiulize swali hili. Nini kimemsukuma huyu askofu kusema alichokisema? Kwani katika nchi hii kupiga kura ni lazima? kwani yeye ni nani kwenye huu uchaguzi hadi aone kuna haja ya yeye kusema hicho alichokisema? Hakuona kwamba ataleta tafsiri mbaya kwa umma? Anataka tukampigie nani? Kwani wakienda hao watakaoenda kupiga kura kuna shida gani?
... if you know this is the case, then why are you bothered with your unnecessary questions?!

simply let it go!

....utakufa bure kwa pressure zakujitakia.
 
..... watu bado mnamwagika povu toka jana, hivi mnashindwa nini kutambua hayo yalikuwa ni maoni binafsi ya huyo askofu na sio msimamo kamili wa kanisa?!

.... mnaenda mbali mpaka kuleta kashfa nyingine zilizopita, hayo nayo yalikuwa matendo binafsi ya baadhi ya mapadri, sio mapadri wote wanafanya hayo mambo, mjifunze kufikiria nje ya box sometimes, sio ushabiki tuu kufuata mikumbo..
 
Amehamasisha watu kupiga kura kama wanavyofanyaga.
Hayo mengine hakuyaona.

Tumieni vyama vya siasa na KKKT na vijikanisa vya Mbeya.

RC ni taasisi huru imetoa maoni yake kwa kuzingatia katiba
Uhuru wa maoni kikatiba Ni sawa, lakini ukitoa ambayo hata mwanao wa miaka 3 anajiuliza iwapo baba hajui kinachoendelea, yanakuwa si maoni bali upuuzi.
 
kwahivyo mkikosoa sana ndio mnataka world support?
Stop Baby cry

World support iko humu jf? Huku tunawapa kubwa yenu, kuleni mnenepe sisi tunakonda kwa kuwapa ukweli mchungu humu humu ndani, wakija hao wazungu tunawapa support maana hatuoni tofauti ya wao na nyie.
 
Back
Top Bottom