Poor Brain
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 28,865
- 58,677
Sawa wee endelea kutoamini...Nani asiye wajua nyie vijana wa hovyo....
Unataka kula pesa ya baba ako wa kambo? Hata haya huna?
I believe I impressed her enough Binti wa zamani hio hela ningekigawia tu.Sawa wee endelea kutoamini...
Wenzako wanakupa vzr sasa ww kutoa 15 Elfu hutaki sawa baba wa kambo ππππππ
Sawa endelea kushuka ila nipo hapa..I believe I impressed her enough Binti wa zamani hio hela ningekigawia tu.
She's my dream come true nyie watoto wapambe tu kwenye penzi shatashata la mimi na mama yenu
Hakika na faida yenyewe ni kuwa na mwanamke mzuri kama Binti wa zamaniUjasiri wa namna hii ukitumika vizuri, unaleta faida..
Haaaaaaah akupishie mbali huyo latent chaosNdo nini hicho nkwingwa