Vikwazo tu ndio suluhisho la huu ushenzi, acha wananchi tupate hizo shida. Na wazungu wakitaka waamini kuwa wengi tuko tayari kwa hatua hizo, watengeneze petition tusaini.ushauri mzuri,lakni wana zitto wote wako busy kushadadia mabeberu mda huu uli tz iwekewe vikwazo🤔
ACT kujiunga SUK Zanzibar ni fursa kwa chama chao kuwa sehemu ya dola na kukikomaza. It's up to them kama wanataka kukomaa au wanataka uanaharakati.
Fursa kama hii angeipata mtu kama Mbowe hata asingejiuliza mara mbili.
hasara kwa taifa lote ikiwemo wew mwenyewe unayejiita mpinzani wa hapo ufipa.. so tusimame pa1 kupinga uhaini huu wa mabeberuVikwazo tu ndio suluhisho la huu ushenzi, acha wananchi tupate hizo shida. Na wazungu wakitaka waamini kuwa wengi tuko tayari kwa hatua hizo, watengeneze petition tusaini.
Nikimuangalia seif ni mkomavu kisiasa yupo tayari kwa maslahi mapana ya nchi ila haya mafisi kenda machogo huku bara ndio tatizo!
hasara kwa taifa lote ikiwemo wew mwenyewe unayejiita mpinzani wa hapo ufipa.. so tusimame pa1 kupinga uhaini huu wa mabeberu
Umemsoma? Umeelewa?Nilimuheshimu sana Pascal miaka iliyopita, Nilimsoma sana na kujifunza vitu vingi sana.
KWA SASA SIWEZI KUSOMA MAANDIKO YAKO YAMEJAA UNAFIKI, UONGO,KUJIPENDEKEZA NK.
TUMEKUONYA KUWA UMRI UMEKUTUPA, UTEUZI KWAKO HAUPO, ACHA KUJIPA KAZI NGUMU KULIKO WATANZANIA WOOTE.
ZAMANI TULIAMINI KILA MZEE ANA HEKIMA.
Tatizo lako unapenda kuponda hata yaliyomema, kwa mtindo huo utaumia bure. Furahia na kushangilia inapotekea mmoja wenu akapenda kuwa mpatanishi. Hii ndiyo tanzania tunayotakiwa kuionaNilimuheshimu sana Pascal miaka iliyopita, Nilimsoma sana na kujifunza vitu vingi sana.
KWA SASA SIWEZI KUSOMA MAANDIKO YAKO YAMEJAA UNAFIKI, UONGO,KUJIPENDEKEZA NK.
TUMEKUONYA KUWA UMRI UMEKUTUPA, UTEUZI KWAKO HAUPO, ACHA KUJIPA KAZI NGUMU KULIKO WATANZANIA WOOTE.
ZAMANI TULIAMINI KILA MZEE ANA HEKIMA.
Maalimu ana jeshi la kuizuia CCM?Kama marehemu Mloo angekuwepo siasa za Zanzibar zingekuwa zimebalance matokeo ya sasa ni kutokana na ulimbukeni wa Seif...
Kitendo cha kuwaengua wagombea ubunge majimbo mengi ,kufukuza wakala, matokeo kujazwa before watu kupiga kura hayo mh Mayala unaonaje ni sawaWanabodi,
Hii ni Barua yangu ya Wazi kwa Ndugu yangu Mwana fani mwenzangu wa tasnia ya habari na mwanasheria Mwenzangu, Ally Saleh, ambaye kwenye mambo ya Zanzibar, tumetoka naye mbali, toka wakati akiwa reporter wa BBC kule Zanzibar na mimi nikiwa reporter wa DTV ya Dar..
Umeandika maneno mengi ila hakuna content kabisa,ni bla bla nyingi tu!
Nashauri ACT na CDM waendelee kukaa zao pembeni na miasha yaendelee!
Mkuu Nsoji go Nvaa, sijasema uchaguzi ulikuwa sawa, nimesema ulikuwa na dosari ndogondogo, ambazo zisinge badili matokeo.Kitendo cha kuwaengua wagombea ubunge majimbo mengi ,kufukuza wakala, matokeo kujazwa before watu kupiga kura hayo mh Mayala unaonaje ni sawa
Kwanini hizo dosari "ndogo ndogo" ziwe kwa upinzani tu?Mkuu Nsoji go Nvaa, sijasema uchaguzi ulikuwa sawa, nimesema ulikuwa na dosari ndogondogo, ambazo zisinge badili matokeo.
P
Ukimjua mnyama kinyonga basi hutopata shida kumjua Pascal.Nilimuheshimu sana Pascal miaka iliyopita, Nilimsoma sana na kujifunza vitu vingi sana.
KWA SASA SIWEZI KUSOMA MAANDIKO YAKO YAMEJAA UNAFIKI, UONGO,KUJIPENDEKEZA NK.
TUMEKUONYA KUWA UMRI UMEKUTUPA, UTEUZI KWAKO HAUPO, ACHA KUJIPA KAZI NGUMU KULIKO WATANZANIA WOOTE.
ZAMANI TULIAMINI KILA MZEE ANA HEKIMA.
Tatizo lenu, bado hamjaelewa siasa za JMT. Siasa zetu nizamatukio, kama ule umati unauona kwenye mikutano ndiyo kipimo cha kupendwa hapo mtaendelea kujidanganya.Kwanini hizo dosari "ndogo ndogo" ziwe kwa upinzani tu?
Ipo siku mtageuka nyuma kuangalia ni wapi mlipojikwaa na mtakuwa mmechelewa!
Mayalla, uchaguzi wa Zanzibar ilikuwa sawa na mziwanda wa bibi aliyefichiwa ubwabwa chumbani (27) huku akila mwingine na wenzake (28), hii ni roho mbaya na haistahili kwa watu wanaohudhulia sala. Hakuna anayekataa CCM kushindwa kwa kishindo ila kuwe ni kwa kuhesabu kura zilizopigwa kituoni.Wanabodi,
Hii ni Barua yangu ya Wazi kwa Ndugu yangu Mwana fani mwenzangu wa tasnia ya habari na mwanasheria Mwenzangu, Ally Saleh, ambaye kwenye mambo ya Zanzibar, tumetoka naye mbali, toka wakati akiwa reporter wa BBC kule Zanzibar na mimi nikiwa reporter wa DTV ya Dar....
Well articulatedWanabodi,
Hii ni Barua yangu ya Wazi kwa Ndugu yangu Mwana fani mwenzangu wa tasnia ya habari na mwanasheria Mwenzangu, Ally Saleh, ambaye kwenye mambo ya Zanzibar, tumetoka naye mbali, toka wakati akiwa reporter wa BBC kule Zanzibar na mimi nikiwa reporter wa DTV ya Dar...
Umeenda nje kabisa ya kile nilichochangia,totally out of phase!Tatizo lenu, bado hamjaelewa siasa za JMT. Siasa zetu nizamatukio, kama ule umati unauona kwenye mikutano ndiyo kipimo cha kupendwa hapo mtaendelea kujidanganya. Asilimia kubwa siyo wapiga kura. Vijana wengi wa bodaboda ambao munawaamini ndiyo wanachama wenu, hawa ni double dealer wanakula potepote. Na hawapigi kura, fuatilia kwenye vituo na ulizia waliopiga kura ni watu wenye umri kuanzia miaka 40 na kuendelea hadi 99
mkuu.. huyu Dogo Pascal Mayalla ANAGUNDU ndo mana unaona mpaka wa leo Kaka yake MEKO amempuuzia na alishamuita MAYALA MANJAA NJAA. ataishia humuhumu na nilisha mwambia atasota JF mapaka atapoteaNilimuheshimu sana Pascal miaka iliyopita, Nilimsoma sana na kujifunza vitu vingi sana.
KWA SASA SIWEZI KUSOMA MAANDIKO YAKO YAMEJAA UNAFIKI, UONGO,KUJIPENDEKEZA NK...