Barua ya Wazi Kwa Comrade Ally Saleh, Uchaguzi Umekwisha, Yaliyopita Si Ndwele, Tugange Yaliyopo na Yajayo, Pelekeni Majina, Muijenge Zanzibar Yenu!

Barua ya Wazi Kwa Comrade Ally Saleh, Uchaguzi Umekwisha, Yaliyopita Si Ndwele, Tugange Yaliyopo na Yajayo, Pelekeni Majina, Muijenge Zanzibar Yenu!

ushauri mzuri,lakni wana zitto wote wako busy kushadadia mabeberu mda huu uli tz iwekewe vikwazo🤔
Vikwazo tu ndio suluhisho la huu ushenzi, acha wananchi tupate hizo shida. Na wazungu wakitaka waamini kuwa wengi tuko tayari kwa hatua hizo, watengeneze petition tusaini.
 
ACT kujiunga SUK Zanzibar ni fursa kwa chama chao kuwa sehemu ya dola na kukikomaza. It's up to them kama wanataka kukomaa au wanataka uanaharakati.

Fursa kama hii angeipata mtu kama Mbowe hata asingejiuliza mara mbili.

Huhitaji uzoefu wowote kuongoza nchi hii, sifa pekee ni kujua kusoma na kuandika. Usilete lugha za kitapeli hapa
 
Vikwazo tu ndio suluhisho la huu ushenzi, acha wananchi tupate hizo shida. Na wazungu wakitaka waamini kuwa wengi tuko tayari kwa hatua hizo, watengeneze petition tusaini.
hasara kwa taifa lote ikiwemo wew mwenyewe unayejiita mpinzani wa hapo ufipa.. so tusimame pa1 kupinga uhaini huu wa mabeberu
 
Hahaha kwani waliojiweka madarakani hawakuwa na uwezo kuijenga Zanzibar?!

Hawa ACT mlisema ni hizbu, mara waarabu sijui wawapi, wanadhoofisha maendeleo mkajitwalia nchi mnao weza kutawala milele.

Mmekwama wapi hadi muwatake ACT tena?!

Kama mlijua hamuwezi kuijenga nchi kwanini mliiba kura zote, mgewaachia wananchi nchi yao.
 
Mkuu paskali,
Uko ulipo najua unatamani Kila mtu awe na akili Kama zako
1633997454.jpg
 
Nilimuheshimu sana Pascal miaka iliyopita, Nilimsoma sana na kujifunza vitu vingi sana.

KWA SASA SIWEZI KUSOMA MAANDIKO YAKO YAMEJAA UNAFIKI, UONGO,KUJIPENDEKEZA NK.

TUMEKUONYA KUWA UMRI UMEKUTUPA, UTEUZI KWAKO HAUPO, ACHA KUJIPA KAZI NGUMU KULIKO WATANZANIA WOOTE.

ZAMANI TULIAMINI KILA MZEE ANA HEKIMA.
Umemsoma? Umeelewa?
 
Tatizo lako unapenda kuponda hata yaliyomema, kwa mtindo huo utaumia bure. Furahia na kushangilia inapotekea mmoja wenu akapenda kuwa mpatanishi. Hii ndiyo tanzania tunayotakiwa kuiona
 
Wanabodi,

Hii ni Barua yangu ya Wazi kwa Ndugu yangu Mwana fani mwenzangu wa tasnia ya habari na mwanasheria Mwenzangu, Ally Saleh, ambaye kwenye mambo ya Zanzibar, tumetoka naye mbali, toka wakati akiwa reporter wa BBC kule Zanzibar na mimi nikiwa reporter wa DTV ya Dar..
Kitendo cha kuwaengua wagombea ubunge majimbo mengi ,kufukuza wakala, matokeo kujazwa before watu kupiga kura hayo mh Mayala unaonaje ni sawa
 
Umeandika maneno mengi ila hakuna content kabisa,ni bla bla nyingi tu!
Nashauri ACT na CDM waendelee kukaa zao pembeni na miasha yaendelee!

Kitendo cha kuwaengua wagombea ubunge majimbo mengi ,kufukuza wakala, matokeo kujazwa before watu kupiga kura hayo mh Mayala unaonaje ni sawa
Mkuu Nsoji go Nvaa, sijasema uchaguzi ulikuwa sawa, nimesema ulikuwa na dosari ndogondogo, ambazo zisinge badili matokeo.
P
 
Nilimuheshimu sana Pascal miaka iliyopita, Nilimsoma sana na kujifunza vitu vingi sana.

KWA SASA SIWEZI KUSOMA MAANDIKO YAKO YAMEJAA UNAFIKI, UONGO,KUJIPENDEKEZA NK.

TUMEKUONYA KUWA UMRI UMEKUTUPA, UTEUZI KWAKO HAUPO, ACHA KUJIPA KAZI NGUMU KULIKO WATANZANIA WOOTE.

ZAMANI TULIAMINI KILA MZEE ANA HEKIMA.
Ukimjua mnyama kinyonga basi hutopata shida kumjua Pascal.
 
Kwanini hizo dosari "ndogo ndogo" ziwe kwa upinzani tu?
Ipo siku mtageuka nyuma kuangalia ni wapi mlipojikwaa na mtakuwa mmechelewa!
Tatizo lenu, bado hamjaelewa siasa za JMT. Siasa zetu nizamatukio, kama ule umati unauona kwenye mikutano ndiyo kipimo cha kupendwa hapo mtaendelea kujidanganya.

Asilimia kubwa siyo wapiga kura. Vijana wengi wa bodaboda ambao munawaamini ndiyo wanachama wenu, hawa ni double dealer wanakula potepote. Na hawapigi kura, fuatilia kwenye vituo na ulizia waliopiga kura ni watu wenye umri kuanzia miaka 40 na kuendelea hadi 99
 
Wakati huu ni mtihani mkubwa kwa wapinzani.

Wakilegea, utakuwa mwisho wao; wananchi wanaoamini katika mabadiliko hawatawasamehe tena
Wakikomaa, watakufa njaa.

Wachague moja, kufa njaa au kupoteza imani.
 
Wanabodi,

Hii ni Barua yangu ya Wazi kwa Ndugu yangu Mwana fani mwenzangu wa tasnia ya habari na mwanasheria Mwenzangu, Ally Saleh, ambaye kwenye mambo ya Zanzibar, tumetoka naye mbali, toka wakati akiwa reporter wa BBC kule Zanzibar na mimi nikiwa reporter wa DTV ya Dar....
Mayalla, uchaguzi wa Zanzibar ilikuwa sawa na mziwanda wa bibi aliyefichiwa ubwabwa chumbani (27) huku akila mwingine na wenzake (28), hii ni roho mbaya na haistahili kwa watu wanaohudhulia sala. Hakuna anayekataa CCM kushindwa kwa kishindo ila kuwe ni kwa kuhesabu kura zilizopigwa kituoni.

Katika uchaguzi zote tangu Uhuru huu ndiyo pekee ambao karatasi za kura zimechapishwa nchini na kusambaa kama magazeti! Na kura kutohesabiwa zaidi ya kutoa matokeo ya jumlajumla!

Ni wewe Mayalla na kundi lako ndiyo mnaoamini Chadema visiwani na bara ilipigiwa kura na watu wasiofikia milioni tatu! Trump alikataa matokeo ya baadhi ya majimbo hivyo kura zikahesabiwa tena, sisi hapa NEC haina sababu ya kuhesabu kura, inamamlaka yasiyohojiwa ya kumtangaza mshindi bila kuhesabu kura na ndivyo ilivyofanya.
 
Wanabodi,

Hii ni Barua yangu ya Wazi kwa Ndugu yangu Mwana fani mwenzangu wa tasnia ya habari na mwanasheria Mwenzangu, Ally Saleh, ambaye kwenye mambo ya Zanzibar, tumetoka naye mbali, toka wakati akiwa reporter wa BBC kule Zanzibar na mimi nikiwa reporter wa DTV ya Dar...
Well articulated
 
Tatizo lenu, bado hamjaelewa siasa za JMT. Siasa zetu nizamatukio, kama ule umati unauona kwenye mikutano ndiyo kipimo cha kupendwa hapo mtaendelea kujidanganya. Asilimia kubwa siyo wapiga kura. Vijana wengi wa bodaboda ambao munawaamini ndiyo wanachama wenu, hawa ni double dealer wanakula potepote. Na hawapigi kura, fuatilia kwenye vituo na ulizia waliopiga kura ni watu wenye umri kuanzia miaka 40 na kuendelea hadi 99
Umeenda nje kabisa ya kile nilichochangia,totally out of phase!
 
Nilimuheshimu sana Pascal miaka iliyopita, Nilimsoma sana na kujifunza vitu vingi sana.

KWA SASA SIWEZI KUSOMA MAANDIKO YAKO YAMEJAA UNAFIKI, UONGO,KUJIPENDEKEZA NK...
mkuu.. huyu Dogo Pascal Mayalla ANAGUNDU ndo mana unaona mpaka wa leo Kaka yake MEKO amempuuzia na alishamuita MAYALA MANJAA NJAA. ataishia humuhumu na nilisha mwambia atasota JF mapaka atapotea
 
Back
Top Bottom