Barua ya Wazi Kwa Comrade Ally Saleh, Uchaguzi Umekwisha, Yaliyopita Si Ndwele, Tugange Yaliyopo na Yajayo, Pelekeni Majina, Muijenge Zanzibar Yenu!

Wanabodi kiukweli JF inasaidia sana!. Bandiko hili limesaidia na matokeo ya bandiko hili ni haya
Huu sasa ndio uamuzi wa busara, sio kususa tuu bila mpango.
Asiyekubali kushindwa sio mshindani, if you can't get what you want, just take what you get!, and if you can't beat them, join them!.
Hatimaye ACT Wazalendo sasa wamekubali matokeo, sio tuu watapokea kidogo walichopata, bali pia wata wa join them kwenye kuunda SUK.
Hongera sana ACT, hizi ndio siasa za kweli.
P
 
Pascal . Huwa unaandika mambo as if hakuna namna ya kufanya mambo kuwa sawa !!!.

Hivi Tanzania tumekuwa duni kiasi hicho ?!. Nimeona na bara mambo ya hovyo yakifanyika kwenye chaguzi zetu.

Pascal tafadhali !!
 
Mkuu Odhiambo cairo , mimi ni mkweli Daima, na haya ninayoandika ni ukweli mtupu. Sio hakuna namna ya kufanya mambo yetu kuwa sawa, bali kinachoendelea ndio namna yetu ya ufanyaji mambo.

Tanzania hatujakuwa duni kiasi hicho, hicho kiasi unachokiita duni ndio kiasi chetu, na hayo mambo unayosema ni ya hovyo na umeyaona, hayo ndio mambo yetu siku zote, ila tuu uchaguzi huu, yamekuwa too amplified!.

P
 
Pascal . Huwa unaandika mambo as if hakuna namna ya kufanya mambo kuwa sawa !!!.

Hivi Tanzania tumekuwa duni kiasi hicho ?!. Nimeona na bara mambo ya hovyo yakifanyika kwenye chaguzi zetu.

Pascal tafadhali !!
Mkuu Odhiambo cairo , mimi ni mkweli Daima, na haya ninayoandika ni ukweli mtupu. Sio hakuna namna ya kufanya mambo yetu kuwa sawa, bali kinachoendelea ndio namna yetu ya ufanyaji mambo.

Tanzania hatujakuwa duni kiasi hicho, hicho kiasi unachokiita duni ndio kiasi chetu, na hayo mambo unayosema ni ya hovyo na umeyaona, hayo ndio mambo yetu siku zote, ila tuu uchaguzi huu, yamekuwa tu just too much amplified!.

P
 
Kwamba Sisi ni wa hivi ndiyo style yetu ??!!. Umenifikirisha sana na kujiuliza tulipokosea ni wapi ?.

WaTz wasioamini ktk Ccm haki yao ya kuwaongoza waTz italetwa na nani ?!. Labda ile njia nyingine wasioipenda wengi, kwa sababu viongozi wengi wa ki Africa hawawezi kuona umuhimu wa wapinzani wao mpaka machafuko yatokee !!

Naona wivu sana mataifa kama Ghana, Malawi Senegal etc walivyojiwekea utaratibu mzuri wa wao kuchaguana. Na hata pale upande moja unapokuwa na mashaka na uendeshaji wa uchaguzi. Basi mahakama zipo kuondoa mtafaruku. Lakini nyumbani hapa, daahh !!. Kaijage akishatangaza tu ni dk 90
 
Nashangaa pale ambako tuna support sana unyimaji wa haki na kupetesha. Je ni kwa faida ya nani? Wananchi au watu binafsi
 
Pole!. Huu ndio ukweli wenyewe wa mambo.
P
 
Huu sasa ndio uamuzi wa busara, sio kususa tuu bila mpango.
Asiyekubali kushindwa sio mshindani, if you can't get what you want, just take what you get!, and if you can't beat them, join them!.
Hatimaye ACT Wazalendo sasa wamekubali matokeo, sio tuu watapokea kidogo walichopata, bali pia wata wa join them kwenye kuunda SUK.
Wana jf, tujifunze kuukubali ukweli jinsi ulivyo, hakuna mkate mgumu mbele ya chai!. Maalim Seif at 77, has everything to gain and nothing to lose.
Hongera Dr. Mwinyi kwa uteuzi huu.
Hongera Maalim Seif kwa kuitanguliza mbele Zanzibar.
Hongera sana ACT Wazalendo for doing the right thing na sasa hizi ndio siasa za kweli za maendeleo, na sio kususa susa bila manufaa yoyote.
P
 
Hizi sasa ndio siasa za ukweli. Sio zile siasa za kususa susa. Wakati Chadema wanaendelea kushupaza shingo, wenzao, wamepiga bao la kisigino.
Naendelea kusisitiza, "if you can't get what you want, then what you get". Yaani usipopata kile kikubwa unachokitaka, pokea hata kidogo ulicho patina!.
Na kwenye mapambano ya kupigania kitu, "if you can't beat them, join them". ACT Wazalendo wameipambania Zanzibar kwa kupigana na CCM, they couldn't beat them, now they have joined them.

Hongera sana ACT Wazalendo kwa kujitambua, hongera sana rais wa Zanzibar, Dr. Hussein Mwinyi kwa kuwa muungwana kama baba yako.
Mungu Ibariki Zanzibar
Mungu Ibariki Tanzania..
P
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…