Barua ya wazi kwa dada Halima Mdee

Barua ya wazi kwa dada Halima Mdee

Hahaha duh jamaa unaumia sana
Niumie mara mbili, ujumbe huu umefika sehemu sahihi. Hao cdm wanategemea ushawishi wetu, na sio ghiliba za ccm kwa faida ya muda mfupi. Kama wamefikia tamati ya kufanya siasa waingie kwenye hilo bunge kibogoyo kwenda kukinajisi hicho chama.
 
Wameshaenda ndugu yangu coz viti maalum ni swala la kikatiba

Ila hivi viti maalum vingekuwa na wanaume wanaenda then hakuna mtu angesikiliza ushauri wako
 
Wameshaenda ndugu yangu coz viti maalum ni swala la kikatiba

Ila hivi viti maalum vingekuwa na wanaume wanaenda then hakuna mtu angesikiliza ushauri wako

Nasema hivi, ole wao hao wabunge waende kushiriki hilo bunge kibogoyo kwa kisingizio cha eti viko kikatiba. Huo ndio utakuwa mwisho wao kupata support yetu, maana sisi ndio tunawapa Kura. Waangalie faida ya muda mrefu na sio kulinda matumbo yao. Ingekuwa bunge lenyewe lina lolote la maana hapo sawa, sio hilo bunge kibogoyo. Kwenye hili hatutanii.
 
John Pombe Magufuli,na kutokujali tumbo lake ameibadili Tanzania.

Wapi 1.5t? Amebadili nchi kwenye nini, uchaguzi ndio huo unanajisiwa kuliko zamani. Nadhani umesikia kilichotokea kwenye mitihani ya darasa la saba, udanganyifu uliofanyika kwenye uchaguzi mkuu ndio uliofanyika kwenye huo mtihani. Ni mabadiliko gani labda? Au hizo propaganda mfu ndio unatumia kujengea hoja?
 
Mtu mwenye akili timamu huwezi kuulizia tril 1.5, PAC walishamaliza.

Mabadiliko makubwa yamefanyika hapa Tz, halmashauri zilikuwa michwa, pesa za umma zilikuwa zinatafunwa kama njugu. Miundo mbinu na sekta ya afya imeimarika, japokuwa safari ni ndefu.

Wewe mhafidhina wa CHADEMA huwezi kukubali hata kama unaona mabadiliko.
Sawa, mabadiliko yapo, ila ya hasi ni mengi kuliko chanya, hivyo kwa ujumla nchi imepiga hatua nyingi nyuma
 
Mtu mwenye akili timamu huwezi kuulizia tril 1.5, PAC walishamaliza.

Mabadiliko makubwa yamefanyika hapa Tz, halmashauri zilikuwa michwa, pesa za umma zilikuwa zinatafunwa kama njugu. Miundo mbinu na sekta ya afya imeimarika, japokuwa safari ni ndefu.

Wewe mhafidhina wa CHADEMA huwezi kukubali hata kama unaona mabadiliko.

Kamati ya PAC ya bunge kibogoyo itafanya nini?

Huko Halmashauri mpaka sasa hela zinaliwa, labda mabadiliko ni kuzuia vyombo vya habari kuweka wazi uozo huo. Sekta ya afya imeimarika au matangazo ni kuwa imeimarika? Nenda kwenye hospitali fuatilia kama kweli huduma kwa watoto chini ya miaka mitano ni bure, na wazazi wanajifungua bure kweli kisha nikupe ushahidi wa hilo.

Kama ni mabadiliko ni ya kawaida ambayo awamu zote yamekuwepo toka enzi za mkoloni.
 
Nasema hivi, ole wao hao wabunge waende kushiriki hilo bunge kibogoyo kwa kisingizio cha eti viko kikatiba. Huo ndio utakuwa mwisho wao kupata support yetu, maana sisi ndio tunawapa Kura. Waangalie faida ya muda mrefu na sio kulinda matumbo yao. Ingekuwa bunge lenyewe lina lolote la maana hapo sawa, sio hilo bunge kibogoyo. Kwenye hili hatutanii.
Sema kupata support yako
 
Unaishi maisha ya kweye mitandao, Haashauri zipige pesa hizi barabara zingejengwa? Miradi mingi ya halmashauri ilikuwa ni mali za wakurugenzi. Kuhusu huduma za afya ni mapungufu hata mimi nakubali yapo,na kwa nchi kama Tz ni ngumu kuyakabili.

Barabara nyingi ni za Tanroads na Tarura na wala idara hizi haziko chini ya halmashauri. Huenda hujui unaloongea. Nitajie halmashauri yoyote ambayo imejenga barabara za halmashauri wangalau kilomita kumi kwa makusanyo ya halmashauri.

Kama hayo mapungufu niliyotaja kuhusu afya unaukubali, huo uimara wa huduma za afya unaousema ni upi?
 
Sema kupata support yako

Yetu, na kama hawaamini waende kisha uchaguzi ujao Mungu akituweka hai, waje wachukue mrejesho. Mfano mrahisi ni NCCR na CUF, baada ya kujipendekeza kwa ccm wameona response ya wananchi kwenye kampeni hizi.
 
Hahahaha
 
Mh... Bro naona baada ya kichapo cha mbwa mwizi kwenye box la kura umedata. Hujui kuwa Tarura inafanya kazi na Halmashauri za miji? Any way Chadema is dead,what next?

Kwahiyo Tarura wanapewa hela kutoka halmashauri? Cdm ipo na itaendelea kuwepo maana ina wafuasi wa ukweli na wala hatuyumbi, labda wajichanganye wenyewe kwenda kwenye hilo bunge kibogoyo.
 
Niliandika uzi humu Jf nilikuambia Cdm inakufa na haiwezi pata wabunge zaidi ya wawili. Ukaleta ubishi,sasa ni aibu tupu.

Cdm haina uwezo wa kukosa wabunge ndani ya nchi hii, labda kwa aina ya ule uchaguzi wa kishenzi wa juzi. Hilo utakaa uombe kwenye maisha yako yote lakini hutakaa ufanikiwe. Cdm itakufa tu siku itakapokubali kujipendekeza kwa ccm kama ilivyofanya NCCR na CUF. Uzuri wananchi wote ni waelewa na wote wanajua juzi hakukuwa na uchaguzi, bali maonyesho ya ujinga wa mtu mweusi kwenye box la kura.

Ukitaka kujua wala kuwa na wabunge hakututishi, ama sio kipimo cha ubora au kukubalika kwa cdm, ndio maana hatutaki wabunge wa viti maalum waende bungeni, maana tunajua huko bungeni hakuna jipya kwani ni bunge kibogoyo.
 
Back
Top Bottom