Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Edit hiyo "Bungu" mkuu.Salaam wakuu
Niliwahi kuandika barua ya wazi kwa mheshimiwa halima Mdee kuhusu swala la kupeleka majina ya vitu maalum
Nashukuru mungu barua yangu amefanyia kazi na Sasa swala la viti maalum limeisha coz majina yameshakwenda.
Hatuwezi kujenga chadema kwa kugoma na kususa tu kila wakati, najua uwepo wenu bungeni utaleta changamoto flan hata kwa % ndogo
Bungu akubariki sana
Hii inanikosesha amani kama kweli ulichoeleza ni sahihi. Kama ni sahihi, basi rekebisha hiyo sentensi.Bungu akubariki sana
Wala sio TwitterHapa sio Facebook ndugu
Acha mama zetu waende bwana wakajenge majina yao vizuri
Barua imeshasainiwa maneno yako hayana lolote,Ni hivi hawaendi, na wakilogwa wakaenda na wao wajiandae kurejea ccm kwani ndio itakuwa mwisho wa wao kupata uungwaji wetu mkono. Na hili hatuwatishii bali ndio ukweli wenyewe.
Ok.. muda c mrefu tutajuaHahaha me huwa sisemi uongo ndugu yangu
Barua imeshasainiwa maneno yako hayana lolote,
Mbowe na ww Nani anauchumgu na chama?
Majina yako tayari
Ila sasa changamoto iko kwa wabunge waliokosa majimbo ndio hawataki na wanashawishi majina yasipelekwe
Hahaha duh jamaa unaumia sanaAcha kusaini hiyo barua, akitaka hata awabebe hao wabunge kwenda nao huko bungeni akawabadhi kwa spika kabisa. Huyo Mbowe na Halima ule uchaguzi wa serikali za mitaa walienda kujiandikisha huku tukiwa tumegoma, wakapiga picha wakiwa vituoni wanajiandikisha na kutushawishi tujitokeze , mbona hatukujitokeza na tuliwapa ukweli wao kuwa waache viherehere?
Kuna wakati Mbowe na wenzake walikodi ndege kwenda mwanza kwenye sherehe za uhuru eti kutaka maridhiano, tuliwapa ukweli wao waziwazi kuwa hatuko tayari kufanya maridhiano na shetani. Na kwa taarifa yako hata uchaguzi huu hatukuwa na mpango wowote wa kujitokeza kupiga kura, ila ujio wa Lisu tu ndio ulitufanya kujitokeza kupiga kura. Ni hivi, cdm wapeleke viti maalum wajimalize wenyewe, au wabaki na sisi wafuasi wao tupambanie katiba mpya, na tume huru ya uchaguzi. Kitendo cha wao kwenda kwenye hilo bunge kibogoyo ni kutusaliti, na wataipata fresh.
Na imeshafanya
Eventually sheitwani lzm ataangushwa tuu bila kujali njia itayotumikaAcha kusaini hiyo barua, akitaka hata awabebe hao wabunge kwenda nao huko bungeni akawabadhi kwa spika kabisa. Huyo Mbowe na Halima ule uchaguzi wa serikali za mitaa walienda kujiandikisha huku tukiwa tumegoma, wakapiga picha wakiwa vituoni wanajiandikisha na kutushawishi tujitokeze , mbona hatukujitokeza na tuliwapa ukweli wao kuwa waache viherehere?