Barua ya wazi kwa Lissu juu ya yanayoendelea ndani ya CHADEMA

 

Attachments

  • 5900516-2dae5c1f3887d759229713b8a563fcc1.mp4
    7.1 MB
Rubbish at its course with full of nonsense.
 
Lissu ni mda achane na siasa historia itamkumbuka na Chadema kaacha ameivua nguo iko uchi
 
Lissu ni mda achane na siasa historia itamkumbuka na Chadema kaacha ameivua nguo iko uchi
Imekuwa jambo la kheri kwamba sasa tunaenda kupata Movement za kweli.

Cuf na TLP zilishakufa na chadema maslahi nayo imekufa.

Mungu ametuokoa tungepoteza muda na wanafiki
 
Unawaza kushindwa tu, stupid! Watu kama nyie ni tatizo. Unakua kama mganga wa kienyeji. Subiri uchaguzi upite. Lissu sio mjinga.
 
Kitu kimoja kizuri tulichokipata ktk suala hili la uenyekiti wa Chadema ni kujua kumbe wale tuliodhani wanamaanisha mabadiliko ya kweli nchini kumbe ni wapiga dili wa kisiasa. Mbowe katuangusha sana kugeuka na kuwa kama John Cheyo.
Haya ni mafanikio makubwa sana. Na yameletwa na Lissu.

Huenda tungeendelea kupoteza muda . Sasa tunajua cha kufanya.
 
Mshauri ajitoe mapema maana ataambulia kura 7 afu aseme mbowe kahonga wajumbe wote wa mkutano mkuu.
 
Reactions: Tui
Wasaliti na machawa ndani ya taifa letu wanaliangamiza mchana kweupe.
 
Mkuu una akili sana. Hii ndiyo road map Lissu anapata kuifuata. Mimi niongeze moja tu :-
8. Aombe hela zake za gharama za matibabu kwa upole na siyo kwenye majukwaa.

Nimkumbushe kingine Lissu:-
9. Kwa Tanzania ni "system" ndiyo inaweza kukufanya uwe Rais wa Tanzania, na siyo umaarufu wa "kura za wananchi" . Hata Magufuli hakupata uRais kwa umaarufu wake bali baada ya system kuwakataa Benard Membe na Lowassa ndipo akapata Magufuli.

Haiba ya Lissu ya UROPOKAJI, kutokuwa na siri, kujifanya anajuwa kila kitu, HAMNA namna STSTEM watafanya makosa ya kukupa uRais.

Utaishia kuuona Urais kwa mbali kama walivyouona akina Mtikila, Maalim Seif Sharrif Hamad etc
 
Sawa ndugu mfurukutwa wa mbogamboga pia kama ukiwa mwenguaji msaidizi itafaa zaidi
 
Huo ushauri wa kukatisha mtu tamaa , ni ushauri takataka
 
Mimi kuna kitu sikielewi hapa mnisaidie. Kuna watu wasema, Zitto ni sell out wa CCM. Prof. Lipumba ni sell out wa CCM. Sasa hivi Mbowe ni sell out wa CCM. Hivi hawa wanaowaona wenzao ni wasaliti wa upinzani, kwanini wasianzishe chama chao badala ya kudandia vya wasaliti?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…