Barua ya wazi kwa Lissu juu ya yanayoendelea ndani ya CHADEMA

Mkuu una akili sana. Hii ndiyo road map Lissu anapata kuifuata. Mimi niongeze moja tu :-
8. Aombe hela zake za gharama za matibabu kwa upole na siyo kwenye majukwaa.

Nimkumbushe kingine Lissu:-
9. Kwa Tanzania ni "system" ndiyo inaweza kukufanya uwe Rais wa Tanzania, na siyo umaarufu wa "kura za wananchi" . Hata Magufuli hakupata uRais kwa umaarufu wake bali baada ya system kuwakataa Benard Membe na Lowassa ndipo akapata Magufuli.

Haiba ya Lissu ya UROPOKAJI, kutokuwa na siri, kujifanya anajuwa kila kitu, HAMNA namna STSTEM watafanya makosa ya kukupa uRais.

Utaishia kuuona Urais kwa mbali kama walivyouona akina Mtikila, Maalim Seif Sharrif Hamad etc
system ya tz wanapenda watu wajinga wajinga siyo
 
Habari mhe. Lissu,
Pole sana na majukumu, na hongera kwa kazi zako nyingi za kisiasa ikiwemo maandalizi ya uchaguzi wa mwenyekiti na jitihada za uchaguzi na jitihada kuelimisha umma juu ya haki zao mbalimbali.

Ninaandika haya ili kukushauri mambo mawili matatu, ambayo ukiyatafakari unaweza kufanya maamuzi.

1. Kuhusu wewe kugombea uenyekiti, unfortunately wewe hupambani na Mbowe peke yake bali unapambana na mfumo mzima (system).

Mbowe is just a front man, a sell out kwa CCM, nyuma yake kuna mfumo (System) ambayo siku zote imekuwa ikikwamisha jitihada za wananchi kufanya mageuzi ya maana nchini. Kwa hiyo wakati ukigombea hili uliweke akilini mwako na katika mahesabu yako hili suala inabidi liwe factored out.

2. Tafakari upya nia yako ya kugombea urais.

Kwa sasa chini ya mfumo huu wa nchi, sheria na katiba mbovu, na aina ya mwenyekiti uliyenaye na henchmen wake ambao wameshanunuliwa na CCM ni kupoteza muda kugombea urais. Wenzako wanawaza ruzuku na kupiga dili ya kisiasa hawako tayari kwa mabadiliko ya kweli nchini. Ndiyo maana Kijana wa mwenyekiti wa huko Shinyanga alisema kuwa mwaka 2020 walikusimamisha kugombea urais si eti kwa sababu unaweza bali eti kwa kuwa unajua kuropoka. Laiti ungekuwa na team nyuma yako yenye nia ya kuing'oa CCM au kuleta mabadiliko nchini, ingekuwa na maana kugombea urais, lakini kugombea urais huku umezunguukwa na sell outs wa CCM ndani ya chama ni kupoteza muda.

3. Ni dhahiri, mheshimiwa hutoshinda nafasi ya uenyekiti jiandae kisaikolojia.

Mbowe kwa kushirikiana na CCM kamwe hawatokubali ushinde hiyo nafasi. Utapigwa tu kwa haki au pasi na haki. There is no way utashinda huu uchaguzi. Sasa mimi sina wasiwasi kuwa wewe binafsi ishu ya kushindwa uchaguzi siyo big deal ila najua kinachokuumiza ni baada ya kuona kuwa wale watu uliokuwa ukiwaamini kuwa ni makamanda kumbe ni makamanda feki, baadhi yao ni mapandikizi ya CCM ndani ya chama, tena wamegeuka mapandikizi kwa kununuliwa!. Hili lazima linakuumiza kichwa!. Katika hali hii inabidi upate sana ushauri wa kisaikolojia, maana usaliti unaumiza sana.

3. Baada ya uchaguzi wa Mwenyekiti achana na active politics, nenda kapumzike au ufanye PhD.

Ni dhahiri Camp ya Mwenyekiti kwa kushirikiana na CCM a.k.a mfumo haitaki kukuona ukiwa politically active, wanakuona ni uncontrollable, knowing too much, na mwenye ushawishi mkubwa kwa umma. Kwa hiyo wanataka kukuthibiti, baada ya uchaguzi huu ambao Mbowe atashinda tu, hutokuwa na partner wa kufanya naye siasa za upinzani. The best choice ni kuacha kuambatana na madalali wa kisiasa na kujipa mapumziko ya kisiasa. Unaweza kutumia muda huo kufanya PhD na kuwa mtoa lecture mbalimbali ktk vyuo kadhaa duniani.

4. Japo Mbowe kageuka Yuda Iskariote kwa kuuza mageuzi kwa CCM usimchukie.

Mbowe at a personal level ni mtu mzuri, ana huruma za kiutu, ukiwa na shida za kibinadamu anayo roho nzuri ya kusaidia watu. Alisimama kiume ulipofikwa na shida ya kupigwa risasi. Kwa jambo hili peke yake anastahili heshima na shukrani kwa utu wake. Kwa hiyo usimseme vibaya, tulia, acha muda uongee wenyewe. Tatizo la Mbowe siyo ubinadamu wake maana at a personal level jamaa ni binadamu haswa. Tatizo lake kuu ni kuuza mageuzi na ndoto ya wananchi kwa CCM. Kwenye hili historia itamhukumu very harsh.

5. Usiondoke CHADEMA hata baada ya kushindwa uchaguzi ila kuwa makini wasikutumie ili kutafuta uhalali.

Ni dhahiri Mbowe na genge lake wanaomezea mate pesa za CCM wanajua umma umekasirishwa na kitendo cha Mbowe kugombea uenyekiti wakati ameonyesha kuwa Mwenyekiti butu katika siku za hivi karibuni. Naamini watajaribu kukuweka karibu, na kukushirikisha sana katika operesheni za chama, au kuandaa matukio ya chama yatakoyomake sure umekaa pembeni ya Mwenyekiti ili kuonyesha sense of normalcy, watatafuta kila namna utoe neno la kuendorse uenyekiti wa Mbowe. Hapa inabidi uwe makini, Ukijichanganya basi watakutumia kuwhitewash uenyekiti wa Mbowe ambaye ni dhahiri amegombea safari hii kwa maslahi ya SSH na CCM.

6. Kuhusu Speech yako baada ya uchaguzi.

Je kutakuwa na haja ya kutoa Concession speech baada ya uchaguzi?. Sidhani kama hiyo ni good idea, wewe kaa kimya tu. Usifanye kosa kama alilofanya Msigwa ambaye emotionally alitoa concession speech baada ya kushindwa na Sugu kisha speech hiyo ikatumika dhidi yake. Najua Mbowe kwenye speech yake atajifanya kunyoosha mkono wa heri kwako, kukutaka mshirikiane kujenga chama, muache tofauti zenu za kiuchaguzi nyuma. But hapa hii charm offensive inabidi uwe mjanja kuijibu. Utatumiwa wazee wengi watakaojifanya kuja kukushauri urudishe moyo nyuma ili mjenge chama. Hapa unaweza kuahidiwa hata kupewa maslahi yako ya kibunge na matibabu ili kupunguza machungu yako.

7. Mwisho kabisa.
Chini ya uongozi wa Mbowe Chadema haiwezi kuwa chama cha kuleta mabadiliko ya kweli nchini, keshanunuliwa na CCM. Itakuwa vyema kuendelea kutoa lecture kwa umma juu ya mabadiliko yanayotakiwa nchini, tumia kila fursa kufundisha na kuelimisha juu ya ubovu wa katiba, haja ya mabadiliko nchini, umasikini wa watu etc.
Best thread of the day, Hakuna cha Kuongeza, Hakuna cha Kupunguza!
 
Kama una akili vizuri,hujawa kuuguwa magonjwa ya safura,utapia mlo,kwashakoo,kipindipindu,kuharisha bila taarifa Lissu si chochote si lolote.

Ukiondoa migogoro Lissu hajui siasa hana busara amejaa papara.

Lissu hana shukrani amejaa uchimvi zaidi ya kupigwa risasi hana jipya.
 
Tulikuwa wote humu JF mwaka 2020 ulimuunga mkono kwenye kugombea urais. Sasa sijui ulikuwa unataka nchi iongozwe na mtu asiye na busara?
 
Ni kweli nilimuunga mkono Lissu si kwa matamko tu.
Nilitoa hadi fedha zangu si kidogo si haba uongozi wa Kanda ulilitambua hilo

.Nimewahi kukaa naye vikao kadha baada ya kushindwa au kuporwa kura za uRais alionekana ni mtu mwenye uelewa mkubwa lakini baada ya kumsikia matamko yake ktk mikutano kadhaa nilianza kupoteza imani yangu kwake.

Uongozi ni umoja ukimwona kiongozi wa level yoyote anajitukuza binafsi na kuwaona wenzake si chochote unatakiwa kukaa mbali naye.
 
Kama uko team mwenyekiti siyo mbaya, ila mwenyekiti ambaye press conference yake show anasimamia Balile na Jukwaa la wahariri ambalo ni Pro Samia huku TBC wakitoa preference basi shtuka!,
 
Naona mnamdharau Mh. Mbowe ili kumkweza Tundu Lissu, niwaambie tu kwa nyie msie kuwa na records, ni Mh. Mbowe huyu huyu aliokoa maisha ya Mh. Tundu Lissu, na kumkimbiza Jijini Nairobi Kenya, hivyo muwa na adabu na heshima iwashike mnapomkejeli na kumdharau sana Mh. Mbowe ili Tundu Lissu aonekane anafaa sana, huko ni kukosa akili na kusahau makuu na mema yasiyolipika Mh. Mbowe aliyomfanyia Mh. Lissu. Tundu Lissu mwenyewe hadhubutu kumdharau Mbowe, nyie wafuasi wake mnatoa wapi confidence ya kumdharau Mbowe? Huko ni kukosa akili na hekima.

Niseme, adabu iwashike, kama mnampenda Mh. Lissu ni haki yenu na ni jukumu lenu kumpigia kura nyingi ashinde, ila muache kabisa kumchafua na kumdhalilisha Mh. Mbowe.

To my side, if i do all political calculations and conclusions, Mr. Mbowe is by far better than Tundu Lissu, wherever you go itakuwa hivyo, hata historia ya Vyama vya Upinzani nchi hii itaandikwa hivyo, naona mnamdharau sana Mbowe kisa tu kumpa Tundu Lissu credits za ajabu ajabu, sikatai mpeni maua yake Lissu, ila acheni kumchafua Mr. Mbowe, komeni kabisa.

Lastly, Mr. Mbowe ataendelea kuwa Mwenyekiti wa Chadema for next 5 years..!! Tumemaliza..!!
 
Mimi kuna kitu sikielewi hapa mnisaidie. Kuna watu wasema, Zitto ni sell out wa CCM. Prof. Lipumba ni sell out wa CCM. Sasa hivi Mbowe ni sell out wa CCM. Hivi hawa wanaowaona wenzao ni wasaliti wa upinzani, kwanini wasianzishe chama chao badala ya kudandia vya wasaliti
Vyama vinavyoanzishwa Nje ya system huwa vinajifia mapema!
 
Anzisha chako uone utakavyoenguliwa tangu na akina msajili,dola,policcm,na mamluki watakaojiunga kama wanachamq,na hapo ndio utafahamu kuwa kwa mifumo hii haifanyi kazi tena kwenye mazingira ya sasa,hivyo njia mpya zinahitajika.
Kama Mynmar(Burma)
 
Back
Top Bottom