Barua ya wazi kwa Lissu juu ya yanayoendelea ndani ya CHADEMA

Hongera kwa kuchukua mda kumshauri vizuri
 
Kila kikundi chenye zaidi ya watu wawili usaliti/kutoaminiana ni obvious
 
Anzisha chako uone utakavyoenguliwa tangu na akina msajili,dola,policcm,na mamluki watakaojiunga kama wanachamq,na hapo ndio utafahamu kuwa kwa mifumo hii haifanyi kazi tena kwenye mazingira ya sasa,hivyo njia mpya zinahitajika.
 
Well said.
 
Kimsingi Slaa na Mwabukusi wako upande wa Lissu.
Hao ni mapacha watatu
 
CCM wanajua wazi kuwa Lissu akishinda, wananchi watampa tiketi ya kwenda ikulu. Kwa hali hiyo mfumo wa "goli la mkono" utatumika.
 
CCM wanajua wazi kuwa Lissu akishinda, wananchi watampa tiketi ya kwenda ikulu. Kwa hali hiyo mfumo wa "goli la mkono" utatumika.

Mfumo unachoogopa ni kuwa Lissu anaouwezo wa kuwaingiza wanachadema barabarani, na wanachadema wakilianzisha na raia waliobaki wanapata confidence ya kukinukisha!

Mbowe hajawahi kufanya real mobilization ya wanachadema kukinukisha mtaani, huwa anatoa speech nzuri halafu baadae anapoza au anapotezea kitaalamu sana ili watu wapoe
 
Anzisha chako uone utakavyoenguliwa tangu na akina msajili,dola,policcm,na mamluki watakaojiunga kama wanachamq,na hapo ndio utafahamu kuwa kwa mifumo hii haifanyi kazi tena kwenye mazingira ya sasa,hivyo njia mpya zinahitajika.
Kwahiyo tunamsema Mbowe ni msaliti kumbe msaliti anaweza akawa wa kuja Lissu. Kwamba alikuwa msaliti "sleeper" sasa muda umefika ameambiwa alianzishe! Mmh! I get your point.
 
Nzuri, bila shaka akiiona hii atajifunza kitu
 
hata kama njia aliyopitia Mwabukusi atapitia Lisu kushinda hamtaamini mtabaki midomo wazi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…