Barua ya wazi kwa maaskofu wa TEC: Baba zetu tuokoeni, nchi yetu inauzwa Uhuru wetu unamong'onyolewa

Unanilinganisha mimi na Dude kubwa lenye mtandao mpana sana la TEC?

Nipo ground napambana pia
Vema kama unafanya push back pia, TEC nao wana battles zao,achana nao wewe ukiona haki yako inaminywa ingia kwenye battle kuipigania, never ever utegemee watu wengine,Soweto Uprising in 1976 ilianzishwa na mwanafunzi mdogo sana kiumri, Tunisia 🇹🇳 Arab springs ilianzishwa na mmachinga
 
Hii nchi si ya kidini we kenge pamoja na ukuda wako. Mnafki mpotoshaji usiye na haya. Kanisa gani hao wabibafsi na wabaguzi? Wapiga dili na wezi hao. Umesahau magunia ya pesa za EPA yalitolewa Mkombozi Bank inayomilikiwa na hilo kanisa katoliki? Hujasikia ndio waliosababisha mauaji ya halaiki Rwanda? Hao amabo maaskofu na mapadre wao ni wabakaji? Umekosa pakushika kiasi hicho? Kanisa katoliki hawana usafi wowote wa kuishauri hii serikali, kwanza ni wabaguzi wa kidini walokubuhu wasio na na hata aibu. Maaskofu hawaoni nchi hii iangamie kulinda maslahi yao, wameona akiingia hapo mtu huru hawawezi kupitisha bidhaa zao kimagendo, wameshazoea vya bure, kubebwa.
 
Unanilinganisha mimi na Dude kubwa lenye mtandao mpana sana la TEC?

Nipo ground napambana pia

Hawana ukubwa huo mkuu, hilo unaloliita dude sijui ni kikundi cha maslahi kwa baadhi ya watu na si kwa wa Tanzania wote , sasa mimi linipiganie kwa lipi? Acha kuvipa ukubwa vitu ambavyo vikilazimisha sana itatokea machafuko yasiyo hata na sababu mkuu
 
Kwenu baba zetu maaskofu.

Nawaandikieni nikiwa na hisia nzito iliyojaa huzuni kubwa juu ya mustakbali wangu na Taifa langu na vizazi vijavyo.

Baba zetu.
Siku zote Taifa letu linapokuwa katika mtanzuko mzito, hamjawahi kusita kusimama thabiti na kutoa muelekeo wenye kuponya ili kuwasaidia kondoo zenu.

Wakati, Utawala ulipokana Uwepo wa ugonjwa wa maangamizi wa Covid mlisimama kidete kuuambia wazi utawala kuwa Haiwezekani useme ugonjwa haupo, wakati watawa wenu wanafariki kwa ugonjwa huo.

Wakati utawala uliopita ulipominya Demokrasia, mlitoa waraka wa Kwaresma kukemea uminywahi huo wa haki.

Sasa leo mababa askofu, Bandari yetu, lango letu kuu la uchumi linapewa watu wa nje kwa mkataba ambao ni dhahiri siyo mzuri. Mkataba huu una mapungufu mengi sana ikiwemo:

1. Hauna ukomo.

2. Scope yake ni kubwa hadi kugusa bandari za kwenye maziwa yetu.

3. Mkataba hauelezei Share zetu zisipungue ngapi.

4. Mkataba hauelezi tunaweza kujitoaje pindi mwekezaji asipokidhi masilahi yetu.

5. Mkataba huu unavunja sheria ya bandari ya mwaka 2004 na ya rasilimali ya mwaka 2017 na hata katiba ya nchi kwenye suala la bandari maana bandari ni jambo la muungano.

6. Mkataba unatishia suala la muungano wetu maana ni bandari za upande mmoja tu wa muungano ndo zinaguswa ila za upande mwingine haziguswi. Hii inaibua hisia mbaya dhidi ya muungano.

7. Mkataba hauelezei chochote juu ya matakwa ya mwekezaji kulinda haki za binadamu.

8. Mkataba Unampa veto mwekezaji juu ya masuala yetu ya uwekezaji kwenye mambo ya bandari, maana yake Sovereignity yetu remote tumempa mgeni

Kwa hoja hizo hapo juu mababa askofu, mimi binafsi sina amani, nina wasiwasi na uhuru wangu na watoto wangu na watoto wa nchi hii. Kwa hivyo nakuombeni mababa zetu maaskofu.

1. Tusaidieni kuwaambia watawala kwa waraka mzito kuwa mnakataa vipengele vibaya katika mkataba huu na kwamba watawala wakae na mwekezaji wavirekebishe.

2. Nyie kama wachungaji wema Tunawaomba mfikishe ujumbe wa tahadhari kwa waumini wenu wote nchi hii ili wajue hatari ya mkataba huu.

3. Tunawaomba ikibidi muandae hata matembezi na makongamano ya amani ili kujenga awareness ya umma juu ya suala hili.

Asanteni sana.
Mkumbuke mwarabu huyu huyu ameshapewa Uwanja wa ndege wa Kia, misitu yetu yote, shirika la posta, loliondo.

Sultani anarudishwa kidogo kidogo.
 
Hainaga haja ya kuweka ukomo kwenye nchi maana ni makubaliano ya nchi in general
Lakini hayavunjiki hata kama kuna matatizo ya kidiplomasia wala vita? Sasa haina haja ya ukomo hivi vifungu vya nini? Wanalinda nini ambacho sisi hatuna haja ya kulinda?
 
Mkumbuke mwarabu huyu huyu ameshapewa Uwanja wa ndege wa Kia, misitu yetu yote, shirika la posta, loliondo.

Sultani anarudishwa kidogo kidogo.
Unampa mtu misitu ambaye kwao kuna Jangwa?

Ni sawa na kuingia mkataba na Samaki wa kusaidiana kuangua nazi
 
Kwenu baba zetu maaskofu.

Nawaandikieni nikiwa na hisia nzito iliyojaa huzuni kubwa juu ya mustakbali wangu na Taifa langu na vizazi vijavyo.

Baba zetu.
Siku zote Taifa letu linapokuwa katika mtanzuko mzito, hamjawahi kusita kusimama thabiti na kutoa muelekeo wenye kuponya ili kuwasaidia kondoo zenu.

Wakati, Utawala ulipokana Uwepo wa ugonjwa wa maangamizi wa Covid mlisimama kidete kuuambia wazi utawala kuwa Haiwezekani useme ugonjwa haupo, wakati watawa wenu wanafariki kwa ugonjwa huo.

Wakati utawala uliopita ulipominya Demokrasia, mlitoa waraka wa Kwaresma kukemea uminywahi huo wa haki.

Sasa leo mababa askofu, Bandari yetu, lango letu kuu la uchumi linapewa watu wa nje kwa mkataba ambao ni dhahiri siyo mzuri. Mkataba huu una mapungufu mengi sana ikiwemo:

1. Hauna ukomo.

2. Scope yake ni kubwa hadi kugusa bandari za kwenye maziwa yetu.

3. Mkataba hauelezei Share zetu zisipungue ngapi.

4. Mkataba hauelezi tunaweza kujitoaje pindi mwekezaji asipokidhi masilahi yetu.

5. Mkataba huu unavunja sheria ya bandari ya mwaka 2004 na ya rasilimali ya mwaka 2017 na hata katiba ya nchi kwenye suala la bandari maana bandari ni jambo la muungano.

6. Mkataba unatishia suala la muungano wetu maana ni bandari za upande mmoja tu wa muungano ndo zinaguswa ila za upande mwingine haziguswi. Hii inaibua hisia mbaya dhidi ya muungano.

7. Mkataba hauelezei chochote juu ya matakwa ya mwekezaji kulinda haki za binadamu.

8. Mkataba Unampa veto mwekezaji juu ya masuala yetu ya uwekezaji kwenye mambo ya bandari, maana yake Sovereignity yetu remote tumempa mgeni

Kwa hoja hizo hapo juu mababa askofu, mimi binafsi sina amani, nina wasiwasi na uhuru wangu na watoto wangu na watoto wa nchi hii. Kwa hivyo nakuombeni mababa zetu maaskofu.

1. Tusaidieni kuwaambia watawala kwa waraka mzito kuwa mnakataa vipengele vibaya katika mkataba huu na kwamba watawala wakae na mwekezaji wavirekebishe.

2. Nyie kama wachungaji wema Tunawaomba mfikishe ujumbe wa tahadhari kwa waumini wenu wote nchi hii ili wajue hatari ya mkataba huu.

3. Tunawaomba ikibidi muandae hata matembezi na makongamano ya amani ili kujenga awareness ya umma juu ya suala hili.

Asanteni sana.
Nchi inauzwa kwa kasi kubwa!
 
Muda utawekwa kwenye mikataba inayohusu specific projects. Inaitwa Host Government Agreements ( HGA). Una swali lingine?
Moja ya faida zinazojadiliwa ni kuwa DP World wakipewa bandari watapunguza mda wa meli kuwa nangani ambapo mda huu meli zinakaa kusubiri mpaka siku 5, hawaishii hapo wanataja na bandari shindani ikiwwepo ya Mombasa (Kenya) kuwa kule meli inasubiri nangani kwa mda wa siku 1½ pekee

Swali Mombasa kuupata huo ufanisi wao pia waliipa mkataba DP World au wana-operate wenyewe? Kama wanafanya wenyewe why sisi tushindwe,,,
 
Kwenu baba zetu maaskofu.

Nawaandikieni nikiwa na hisia nzito iliyojaa huzuni kubwa juu ya mustakbali wangu na Taifa langu na vizazi vijavyo.

Baba zetu.
Siku zote Taifa letu linapokuwa katika mtanzuko mzito, hamjawahi kusita kusimama thabiti na kutoa muelekeo wenye kuponya ili kuwasaidia kondoo zenu.

Wakati, Utawala ulipokana Uwepo wa ugonjwa wa maangamizi wa Covid mlisimama kidete kuuambia wazi utawala kuwa Haiwezekani useme ugonjwa haupo, wakati watawa wenu wanafariki kwa ugonjwa huo.

Wakati utawala uliopita ulipominya Demokrasia, mlitoa waraka wa Kwaresma kukemea uminywahi huo wa haki.

Sasa leo mababa askofu, Bandari yetu, lango letu kuu la uchumi linapewa watu wa nje kwa mkataba ambao ni dhahiri siyo mzuri. Mkataba huu una mapungufu mengi sana ikiwemo:

1. Hauna ukomo.

2. Scope yake ni kubwa hadi kugusa bandari za kwenye maziwa yetu.

3. Mkataba hauelezei Share zetu zisipungue ngapi.

4. Mkataba hauelezi tunaweza kujitoaje pindi mwekezaji asipokidhi masilahi yetu.

5. Mkataba huu unavunja sheria ya bandari ya mwaka 2004 na ya rasilimali ya mwaka 2017 na hata katiba ya nchi kwenye suala la bandari maana bandari ni jambo la muungano.

6. Mkataba unatishia suala la muungano wetu maana ni bandari za upande mmoja tu wa muungano ndo zinaguswa ila za upande mwingine haziguswi. Hii inaibua hisia mbaya dhidi ya muungano.

7. Mkataba hauelezei chochote juu ya matakwa ya mwekezaji kulinda haki za binadamu.

8. Mkataba Unampa veto mwekezaji juu ya masuala yetu ya uwekezaji kwenye mambo ya bandari, maana yake Sovereignity yetu remote tumempa mgeni

Kwa hoja hizo hapo juu mababa askofu, mimi binafsi sina amani, nina wasiwasi na uhuru wangu na watoto wangu na watoto wa nchi hii. Kwa hivyo nakuombeni mababa zetu maaskofu.

1. Tusaidieni kuwaambia watawala kwa waraka mzito kuwa mnakataa vipengele vibaya katika mkataba huu na kwamba watawala wakae na mwekezaji wavirekebishe.

2. Nyie kama wachungaji wema Tunawaomba mfikishe ujumbe wa tahadhari kwa waumini wenu wote nchi hii ili wajue hatari ya mkataba huu.

3. Tunawaomba ikibidi muandae hata matembezi na makongamano ya amani ili kujenga awareness ya umma juu ya suala hili.

Asanteni sana.
Pia bunge la CCM liache kujitoa ufahamu kudhani wana akili kuliko watanzania wote wakumbuke wanapokuwa bungeni wanatumia pesa zetu tunazo lipa kodi, wakumbushwe pia DPWORLD wanaingia mkata wa matumizi ya rasilimali za nchin ya Tanzania na siyo mkataba wa biashara ya familia
 
Kwenu baba zetu maaskofu.

Nawaandikieni nikiwa na hisia nzito iliyojaa huzuni kubwa juu ya mustakbali wangu na Taifa langu na vizazi vijavyo.

Baba zetu.
Siku zote Taifa letu linapokuwa katika mtanzuko mzito, hamjawahi kusita kusimama thabiti na kutoa muelekeo wenye kuponya ili kuwasaidia kondoo zenu.

Wakati, Utawala ulipokana Uwepo wa ugonjwa wa maangamizi wa Covid mlisimama kidete kuuambia wazi utawala kuwa Haiwezekani useme ugonjwa haupo, wakati watawa wenu wanafariki kwa ugonjwa huo.

Wakati utawala uliopita ulipominya Demokrasia, mlitoa waraka wa Kwaresma kukemea uminywahi huo wa haki.

Sasa leo mababa askofu, Bandari yetu, lango letu kuu la uchumi linapewa watu wa nje kwa mkataba ambao ni dhahiri siyo mzuri. Mkataba huu una mapungufu mengi sana ikiwemo:

1. Hauna ukomo.

2. Scope yake ni kubwa hadi kugusa bandari za kwenye maziwa yetu.

3. Mkataba hauelezei Share zetu zisipungue ngapi.

4. Mkataba hauelezi tunaweza kujitoaje pindi mwekezaji asipokidhi masilahi yetu.

5. Mkataba huu unavunja sheria ya bandari ya mwaka 2004 na ya rasilimali ya mwaka 2017 na hata katiba ya nchi kwenye suala la bandari maana bandari ni jambo la muungano.

6. Mkataba unatishia suala la muungano wetu maana ni bandari za upande mmoja tu wa muungano ndo zinaguswa ila za upande mwingine haziguswi. Hii inaibua hisia mbaya dhidi ya muungano.

7. Mkataba hauelezei chochote juu ya matakwa ya mwekezaji kulinda haki za binadamu.

8. Mkataba Unampa veto mwekezaji juu ya masuala yetu ya uwekezaji kwenye mambo ya bandari, maana yake Sovereignity yetu remote tumempa mgeni

Kwa hoja hizo hapo juu mababa askofu, mimi binafsi sina amani, nina wasiwasi na uhuru wangu na watoto wangu na watoto wa nchi hii. Kwa hivyo nakuombeni mababa zetu maaskofu.

1. Tusaidieni kuwaambia watawala kwa waraka mzito kuwa mnakataa vipengele vibaya katika mkataba huu na kwamba watawala wakae na mwekezaji wavirekebishe.

2. Nyie kama wachungaji wema Tunawaomba mfikishe ujumbe wa tahadhari kwa waumini wenu wote nchi hii ili wajue hatari ya mkataba huu.

3. Tunawaomba ikibidi muandae hata matembezi na makongamano ya amani ili kujenga awareness ya umma juu ya suala hili.

Asanteni sana.
Ombi lako leo limetimia; wameshauri! Utekelezaji wa ushauri ni suala jingine.
 
Kwanza Nawasalimu kwa Jina la Kristu....
Hongereni sana kwa mjadala wa hekima ya Kina juu ya Mkataba wa Bandari yetu na DP WORLD.
Lkn hili la Bandari litumike kuwatoa usingizini maaskafu wetu wa Kikristu. Tunajua Ukristu na Unafiki ni mwiko lkn jiulizeni. Pamoja na Madhaifu yoooote ya Kiungozi yaliyopo mmewasikia Masheikhe wanavyo comment kuhusu Uongozi wa Nchi? Je Kuhusu Mkataba wa DP World? Je, Kuhusu haiba ya Mhe.Rais?
Mmesikia Maoni ya Sheikh Ponda kuhusu DP WORLD? Maaskofu mna kazi ya kufanya dhidi ya Waumini wenu wanaposhika Madaraka hasa URAIS.
Tumeona jinsi Viongozi wenzenu wanavyomlinda mfuasi wao kwa nguvu zote na kwa njia zote?
Maaskofu nyie tukirudi kwenu mlitumika sana kushambulia Kiongozi wa Nchi mfuasi wenu RIP JPM mkisoma takwimu za CORONA, Mkisoma Takwimu za Unyanysaji, mkisoma Idadi ya Uonevu wake. Bagonza, Mwamakula nk waligeuka kuwa mwiba kwa Mtawala Mfuasi wa Madhehebu yenu. Leo Mungu amejibu maombi yenu yule Mtawala mliyekesha mkiitisha Press Conference za Ubaya wake hayupo. Kawaletea mliyetaka na leo mnaendekeza Vilio vingine.
Bwana Awe Nanyi Viongozi wangu mnapaswa kukaa kimia tu maana mlipewa Upande wenu lkn mkageuka timu pinzani.
SALA YANGU IMEFIKA MWISHO..mimi Mkiristo nikiwa Kiongozi Askofu wangu anageuka Mpinzani wangu kwenye Madhabahu ya Bwana! Mjitafakari na Mtwambie Kiongozi wa BAKWATA hata mmoja tu anayekosoa Kiongozi wetu na Mikataba yake!
Yaani ulitaka viongozi wa Kikristo waone watu wanapotezwa, wakae kimya? Ukiristo haujawahi na hautawahi kuwa hivyo. Ukweli na ukweli utatuweka huru. Magufuli alipokengeuka TEC walitoa nyaraka 2. Waraka wa Covid na Waraka wa uminyaji demokrasia. TEC haijawahi kuwekwa mfukoni mwa Mtu kisa ni Mkristo.
Miongoni mwa waliompinga Nyerere kuhusu utaifishaji Mali ni Askofu Msakila wa Jimbo Katoliki Rukwa.
 
Kiongozi TEC wamekusikia
Nalishukru baraza la maasikofu catoliki ni chombo imara na wamekuwa walezi bora na ndivyo inavyotakiwa. Tangu zamani manabii na waonaji moja ya kazi zao ilikuwa kuliongoza taifa kiroho na kuwaelekeza,kuwaonya na kuwakemea watawala
 
Kwenu baba zetu maaskofu.

Nawaandikieni nikiwa na hisia nzito iliyojaa huzuni kubwa juu ya mustakbali wangu na Taifa langu na vizazi vijavyo.

Baba zetu.
Siku zote Taifa letu linapokuwa katika mtanzuko mzito, hamjawahi kusita kusimama thabiti na kutoa muelekeo wenye kuponya ili kuwasaidia kondoo zenu.

Wakati, Utawala ulipokana Uwepo wa ugonjwa wa maangamizi wa Covid mlisimama kidete kuuambia wazi utawala kuwa Haiwezekani useme ugonjwa haupo, wakati watawa wenu wanafariki kwa ugonjwa huo.

Wakati utawala uliopita ulipominya Demokrasia, mlitoa waraka wa Kwaresma kukemea uminywahi huo wa haki.

Sasa leo mababa askofu, Bandari yetu, lango letu kuu la uchumi linapewa watu wa nje kwa mkataba ambao ni dhahiri siyo mzuri. Mkataba huu una mapungufu mengi sana ikiwemo:

1. Hauna ukomo.

2. Scope yake ni kubwa hadi kugusa bandari za kwenye maziwa yetu.

3. Mkataba hauelezei Share zetu zisipungue ngapi.

4. Mkataba hauelezi tunaweza kujitoaje pindi mwekezaji asipokidhi masilahi yetu.

5. Mkataba huu unavunja sheria ya bandari ya mwaka 2004 na ya rasilimali ya mwaka 2017 na hata katiba ya nchi kwenye suala la bandari maana bandari ni jambo la muungano.

6. Mkataba unatishia suala la muungano wetu maana ni bandari za upande mmoja tu wa muungano ndo zinaguswa ila za upande mwingine haziguswi. Hii inaibua hisia mbaya dhidi ya muungano.

7. Mkataba hauelezei chochote juu ya matakwa ya mwekezaji kulinda haki za binadamu.

8. Mkataba Unampa veto mwekezaji juu ya masuala yetu ya uwekezaji kwenye mambo ya bandari, maana yake Sovereignity yetu remote tumempa mgeni

Kwa hoja hizo hapo juu mababa askofu, mimi binafsi sina amani, nina wasiwasi na uhuru wangu na watoto wangu na watoto wa nchi hii. Kwa hivyo nakuombeni mababa zetu maaskofu.

1. Tusaidieni kuwaambia watawala kwa waraka mzito kuwa mnakataa vipengele vibaya katika mkataba huu na kwamba watawala wakae na mwekezaji wavirekebishe.

2. Nyie kama wachungaji wema Tunawaomba mfikishe ujumbe wa tahadhari kwa waumini wenu wote nchi hii ili wajue hatari ya mkataba huu.

3. Tunawaomba ikibidi muandae hata matembezi na makongamano ya amani ili kujenga awareness ya umma juu ya suala hili.

Asanteni sana.
Wamekusikia na wamejibu.

Hoja 8 muhimu za TEC

14. Ibara zifuatazo za Mkataba huu zina matatizo yatakayosababisha nchi kutofikia uhuru wa kiuchumi (economic independence):

14.1. Ibara ya 2 (1): inayohusu lengo la Mkataba huu ambalo ni kuweka utaratibu unaoibana Tanzania kisheria katika kuendeleza, kuboresha na kuendesha bandari zote za bahari na maziwa, maeneo maalum ya uwekezaji, maeneo ya usafirishaji wa mizigo, na maeneo mengine ya kiuchumi.

14.2. Ibaraya 4: inayohusu wigo wa Mahusiano na Utekelezaji unaoitaka Serikali ya Tanzania kuwajibika kuijulisha Dubai kila fursa ya uwekezaji inapojitokeza.Hiiinakinzana na baadhi ya sheria za nchi yetu, kwa mfanosheria ya ushindani na ile ya manunuzi.

14.3. Ibaraya 5: ambapo DPWorldimepewa haki ya kuendeleza, kusimamia na kuendesha miradi pekee yake, wakati Tanzania inabaki na wajibu wa kumwezesha kufurahia haki hiyo.

14.4. Ibaraya 6:inayoitaka Tanzania kuwajibika kuipatia DP World vibali na vivutio vya kutekeleza miradi yake kama Serikali. Hii inapingana na baadhi ya sheria za kiutaratibu.

14.5. Ibaraya 7: inayoitaka Serikali kuwajibika kutoa mamlaka yanayotakiwa na mwekezaji bila ucheleweshaji.

14.6. Ibaraya 8: Haki ya kutumia ardhi ambapo Mkataba unasababisha uvunjifu wa sheria za ardhi na sheria zinazohusu masuala ya ardhi.

14.7. Ibaraya 10: Usiri wa Mkataba ambapo Mkataba unazuia mamlaka nyingine kama TAKUKURU /BUNGE kufuatilia mikataba.

14.8. Ibara za 23 na 24: zenye ugumu wa kujitoa kwenye Mkataba
 
Nawashukuru mababa askofu kwa kutuitikia barua yetu.

Tamko lenu, limetupa matumaini mapya kuwa nchi yetu kuna watu wenye hekima, watetea haki na wakindao mustkabli mwema kwa kizazi cha sasa na vijavyo.

Asanteni sana mababa askofu.
 
Umekosea ku-mention TEC peke yao ingeleta maana zaidi kama ungewajumuisha na BAKWATA.

Ukweli ni kwamba sisi kama nchi kuongozwa na mwanamke tena kutoka ng'ambo ya pili ni kosa la karne hakuna siku kama taifa tutaacha kulalamikia hata akiwa hayupo madarakani athari zake zitatuandama.
UTanzania wa huyu kiongozi ni wa 'maslahi' tu; nafsi yake inamweka nje ya nchi hii. Huyu ni Mwarabu, hana uTanzania wowote.
Wakati Salim Ahmed anazongwa na akina Kikwete, tena mtu aliyekuwa kalitumikia taifa lake kwa heshima kubwa sana, hao hao akina Kikwete wakaenda kumwokota Mwarabu halisi na kumweka atawale taifa letu!
 
Back
Top Bottom