Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hilo la mkataba andikeni maumivu, mtalalamika mpaka siku mnakwenda kaburini, mchezo ndio umeshatoka tena hakuna atakayerudi nyuma.Kwenu baba zetu maaskofu.
Nawaandikieni nikiwa na hisia nzito iliyojaa huzuni kubwa juu ya mustakbali wangu na Taifa langu na vizazi vijavyo.
Baba zetu.
Siku zote Taifa letu linapokuwa katika mtanzuko mzito, hamjawahi kusita kusimama thabiti na kutoa muelekeo wenye kuponya ili kuwasaidia kondoo zenu.
Wakati, Utawala ulipokana Uwepo wa ugonjwa wa maangamizi wa Covid mlisimama kidete kuuambia wazi utawala kuwa Haiwezekani useme ugonjwa haupo, wakati watawa wenu wanafariki kwa ugonjwa huo.
Wakati utawala uliopita ulipominya Demokrasia, mlitoa waraka wa Kwaresma kukemea uminywahi huo wa haki.
Sasa leo mababa askofu, Bandari yetu, lango letu kuu la uchumi linapewa watu wa nje kwa mkataba ambao ni dhahiri siyo mzuri. Mkataba huu una mapungufu mengi sana ikiwemo:
1. Hauna ukomo.
2. Scope yake ni kubwa hadi kugusa bandari za kwenye maziwa yetu.
3. Mkataba hauelezei Share zetu zisipungue ngapi.
4. Mkataba hauelezi tunaweza kujitoaje pindi mwekezaji asipokidhi masilahi yetu.
5. Mkataba huu unavunja sheria ya bandari ya mwaka 2004 na ya rasilimali ya mwaka 2017 na hata katiba ya nchi kwenye suala la bandari maana bandari ni jambo la muungano.
6. Mkataba unatishia suala la muungano wetu maana ni bandari za upande mmoja tu wa muungano ndo zinaguswa ila za upande mwingine haziguswi. Hii inaibua hisia mbaya dhidi ya muungano.
7. Mkataba hauelezei chochote juu ya matakwa ya mwekezaji kulinda haki za binadamu.
8. Mkataba Unampa veto mwekezaji juu ya masuala yetu ya uwekezaji kwenye mambo ya bandari, maana yake Sovereignity yetu remote tumempa mgeni
Kwa hoja hizo hapo juu mababa askofu, mimi binafsi sina amani, nina wasiwasi na uhuru wangu na watoto wangu na watoto wa nchi hii. Kwa hivyo nakuombeni mababa zetu maaskofu.
1. Tusaidieni kuwaambia watawala kwa waraka mzito kuwa mnakataa vipengele vibaya katika mkataba huu na kwamba watawala wakae na mwekezaji wavirekebishe.
2. Nyie kama wachungaji wema Tunawaomba mfikishe ujumbe wa tahadhari kwa waumini wenu wote nchi hii ili wajue hatari ya mkataba huu.
3. Tunawaomba ikibidi muandae hata matembezi na makongamano ya amani ili kujenga awareness ya umma juu ya suala hili.
Asanteni sana.
Chuki hizi mtakwenda nazo kaburini, Hakuna mwenye dawa ya kuponya nafsi zenu.UTanzania wa huyu kiongozi ni wa 'maslahi' tu; nafsi yake inamweka nje ya nchi hii. Huyu ni Mwarabu, hana uTanzania wowote.
Wakati Salim Ahmed anazongwa na akina Kikwete, tena mtu aliyekuwa kalitumikia taifa lake kwa heshima kubwa sana, hao hao akina Kikwete wakaenda kumwokota Mwarabu halisi na kumweka atawale taifa letu!
Mungu ndiye anayepanga nani awe rais na nani asiwe. Ukiandika kwa kufikiria sana juu ya mapenzi ya Mungu unakuwa unamkufuru Muumba huyo huyo.Umekosea ku-mention TEC peke yao ingeleta maana zaidi kama ungewajumuisha na BAKWATA.
Ukweli ni kwamba sisi kama nchi kuongozwa na mwanamke tena kutoka ng'ambo ya pili ni kosa la karne hakuna siku kama taifa tutaacha kulalamikia hata akiwa hayupo madarakani athari zake zitatuandama.
Swali moja lenye mantiki ndani yake, Ni vipi bandari hiyo hiyo iliyouza nchi kwa mkataba huu wa DP World inaweza kutangaza tender nyingine kadhaa za uendeshaji wa bandari zetu nyingine?.Kwenu baba zetu maaskofu.
Nawaandikieni nikiwa na hisia nzito iliyojaa huzuni kubwa juu ya mustakbali wangu na Taifa langu na vizazi vijavyo.
Baba zetu.
Siku zote Taifa letu linapokuwa katika mtanzuko mzito, hamjawahi kusita kusimama thabiti na kutoa muelekeo wenye kuponya ili kuwasaidia kondoo zenu.
Wakati, Utawala ulipokana Uwepo wa ugonjwa wa maangamizi wa Covid mlisimama kidete kuuambia wazi utawala kuwa Haiwezekani useme ugonjwa haupo, wakati watawa wenu wanafariki kwa ugonjwa huo.
Wakati utawala uliopita ulipominya Demokrasia, mlitoa waraka wa Kwaresma kukemea uminywahi huo wa haki.
Sasa leo mababa askofu, Bandari yetu, lango letu kuu la uchumi linapewa watu wa nje kwa mkataba ambao ni dhahiri siyo mzuri. Mkataba huu una mapungufu mengi sana ikiwemo:
1. Hauna ukomo.
2. Scope yake ni kubwa hadi kugusa bandari za kwenye maziwa yetu.
3. Mkataba hauelezei Share zetu zisipungue ngapi.
4. Mkataba hauelezi tunaweza kujitoaje pindi mwekezaji asipokidhi masilahi yetu.
5. Mkataba huu unavunja sheria ya bandari ya mwaka 2004 na ya rasilimali ya mwaka 2017 na hata katiba ya nchi kwenye suala la bandari maana bandari ni jambo la muungano.
6. Mkataba unatishia suala la muungano wetu maana ni bandari za upande mmoja tu wa muungano ndo zinaguswa ila za upande mwingine haziguswi. Hii inaibua hisia mbaya dhidi ya muungano.
7. Mkataba hauelezei chochote juu ya matakwa ya mwekezaji kulinda haki za binadamu.
8. Mkataba Unampa veto mwekezaji juu ya masuala yetu ya uwekezaji kwenye mambo ya bandari, maana yake Sovereignity yetu remote tumempa mgeni
Kwa hoja hizo hapo juu mababa askofu, mimi binafsi sina amani, nina wasiwasi na uhuru wangu na watoto wangu na watoto wa nchi hii. Kwa hivyo nakuombeni mababa zetu maaskofu.
1. Tusaidieni kuwaambia watawala kwa waraka mzito kuwa mnakataa vipengele vibaya katika mkataba huu na kwamba watawala wakae na mwekezaji wavirekebishe.
2. Nyie kama wachungaji wema Tunawaomba mfikishe ujumbe wa tahadhari kwa waumini wenu wote nchi hii ili wajue hatari ya mkataba huu.
3. Tunawaomba ikibidi muandae hata matembezi na makongamano ya amani ili kujenga awareness ya umma juu ya suala hili.
Asanteni sana.
Tatizo la ujinga wetu ni kuliweka suala la DP World katika mitazamo duni ya kidini wakati ni suala la kiuchum lenye kufuata misingi yote ya uchumi. Huku ni kufilisika vichwani.Kwanza Nawasalimu kwa Jina la Kristu....
Hongereni sana kwa mjadala wa hekima ya Kina juu ya Mkataba wa Bandari yetu na DP WORLD.
Lkn hili la Bandari litumike kuwatoa usingizini maaskafu wetu wa Kikristu. Tunajua Ukristu na Unafiki ni mwiko lkn jiulizeni. Pamoja na Madhaifu yoooote ya Kiungozi yaliyopo mmewasikia Masheikhe wanavyo comment kuhusu Uongozi wa Nchi? Je Kuhusu Mkataba wa DP World? Je, Kuhusu haiba ya Mhe.Rais?
Mmesikia Maoni ya Sheikh Ponda kuhusu DP WORLD? Maaskofu mna kazi ya kufanya dhidi ya Waumini wenu wanaposhika Madaraka hasa URAIS.
Tumeona jinsi Viongozi wenzenu wanavyomlinda mfuasi wao kwa nguvu zote na kwa njia zote?
Maaskofu nyie tukirudi kwenu mlitumika sana kushambulia Kiongozi wa Nchi mfuasi wenu RIP JPM mkisoma takwimu za CORONA, Mkisoma Takwimu za Unyanysaji, mkisoma Idadi ya Uonevu wake. Bagonza, Mwamakula nk waligeuka kuwa mwiba kwa Mtawala Mfuasi wa Madhehebu yenu. Leo Mungu amejibu maombi yenu yule Mtawala mliyekesha mkiitisha Press Conference za Ubaya wake hayupo. Kawaletea mliyetaka na leo mnaendekeza Vilio vingine.
Bwana Awe Nanyi Viongozi wangu mnapaswa kukaa kimia tu maana mlipewa Upande wenu lkn mkageuka timu pinzani.
SALA YANGU IMEFIKA MWISHO..mimi Mkiristo nikiwa Kiongozi Askofu wangu anageuka Mpinzani wangu kwenye Madhabahu ya Bwana! Mjitafakari na Mtwambie Kiongozi wa BAKWATA hata mmoja tu anayekosoa Kiongozi wetu na Mikataba yake!
Haya yote nilisha kueleza; lakini kwa vile una kichwa cha panzi huwezi kuelewa.Chuki hizi mtakwenda nazo kaburini, Hakuna mwenye dawa ya kuponya nafsi zenu.
SSH hajawaleta yeye kama yeye hawa DPW, wameletwa na ilani ya CCM inayotaka uwepo ushirikiano wa kibiashara kati ya serikali na waendeshaji binafsi wenye uwezo.
Kuna wapumbavu wakikusoma wanakuunga mkono kwa kufuata hoja za chuki ulizonazo, hawawezi kuangalia mbali zaidi ya rangi za SSH, Mungu anatulinda lakini.
Mpaka anarudishwa sisi tumeshindwa vipi kuiendesha KIA?. Tuna wepesi mwingi sana wa kuja kulia mitandaoni, tunafanya kipi cha maana katika kujitafutia maendeleo?.Mkumbuke mwarabu huyu huyu ameshapewa Uwanja wa ndege wa Kia, misitu yetu yote, shirika la posta, loliondo.
Sultani anarudishwa kidogo kidogo.
Kila mara ninakueleza juu ya hili, na bado akili yako imelala.Swali moja lenye mantiki ndani yake, Ni vipi bandari hiyo hiyo iliyouza nchi kwa mkataba huu wa DP World inaweza kutangaza tender nyingine kadhaa za uendeshaji wa bandari zetu nyingine?.
Kama ni kweli tumejifunga kupitia hiyo IGA, imewezekana vipi kwa mamlaka hiyo hiyo ya TPA kutangaza tender za uendeshaji wa bandari ikiwemo hiyo hiyo ambayo DP World wataendesha magati namba nne mpaka namba saba?.
Jibu la kipumbavu kabisa hili.Mpaka anarudishwa sisi tumeshindwa vipi kuiendesha KIA?. Tuna wepesi mwingi sana wa kuja kulia mitandaoni, tunafanya kipi cha maana katika kujitafutia maendeleo?.
Kuna wengi huko mitaani wanaitazama dunia halisi na wanapambana nayo kila kukicha, wapumbavu wachache wa humu JF kazi yao ni kudhani kuwa mchawi wa jitihada zao ni mtu mwingine wanayemuona. Adui yako ni yule unayemuona kila unapojitazama kwenye kioo.
Mpuuzi tu wewe dada. Samia kila anapokwenda huko nje ni kwa faida ya kutafuta pesa zinazojenga zahanati na utanuzi wa barabara, Kwa kifupi huwezi kukwepa uwekezaji.Jibu la kipumbavu kabisa hili.
Hiyo mistari miwili ya mwanzo, huoni uhusika wa hao viongozi, kama huyo SSH katika kushindwa kwao kuwa viongozi wa wananchi na kusimamia shughuli za wananch hao? Badala yake unakimbilia kulaumu wasiohusika!
Halafu unasema "kuna wengi huko mitaani wanaotazama dunia halisi..." dunia halisi kwa maoni yako ni kutawanya na kugawa mali za taifa kwa mataifa mengine, bila ya kuhakikisha zinaleta manufaa kwa wananchi?
Sasa ni dhahiri kabisa adui wa nchi hii hasa ni nani. Ni watu kama nyinyi, na SSH mnaotafuta kuturudisha tena katika utmwa mambo leo. Hili kamwe hatutalikubali.
Hujui unaloliandika na kwanini hujui hilo jibu unalo mwenyewe. Kinachofanyika bandarini muda huu kimezaliwa kutokana na IGA iliyopita bungeni ndio imezaa hizi commercial agreements zilizosainiwa mbele ya rais pale Ikulu Dodoma.Kila mara ninakueleza juu ya hili, na bado akili yako imelala.
Mikataba hii haitangazwi chini ya mpango wenu huo wa kifisadi wa IGA; lakini wewe umekomalia IGA IGA, IGA. IGA ilikufa kifo cha kibudu.
Hizi shughuli zote zinazoendelea hazina uhusiano wowote na ile GA yenu.
Uhujumu na uhaini upi alioufanya Samia kwenye mradi wa DP World?.Haya yote nilisha kueleza; lakini kwa vile una kichwa cha panzi huwezi kuelewa.
"Chuki", kama ni chuki juu ya nchi yetu kunajisiwa na watu wa hovyo kama nyinyi, hiyo chuki siijutii hata mara moja, na Mungu ataona roho yangu juu ya hili.
Kwa hiyo, nikueleze kwa mara ya mwisho, chuki ya kuchukia anayoifanyia Tanzania Samia na genge lote lililomshikilia, hii chuki nitakuwa nayo sana, na nitawahimiza waTanzania wenzangu wote wenye mapenzi na nchi yao kuwa na chuki juu yenu nyote.
Unajionyesha kuwa mtu wa hovyo kabisa asiye elewa chochote, kwa kudai kuwa "...DPW wameletwa na ilani ya CCM..." Ni wapi Ilani ya CCM imewataja DPW kwa jina, na ni lini iliagiza pawepo na IGA ya kijinga aina ile.
Kuwepo kwa ilani ya CCM ikitaka pawepo na ushindani, haina maana ya Samia kuichukulia kuwa nafasi ya kwenda kuhujumu nchi anayoiongoza na kwa kweli kushiriki katika uhaini wa nchi.
Kama akili yako haiwezi kutofautisha haya, ni kwamba nyote kwenye hilo genge, akiwemo na Samia mwenyewe akili zenu hazifanyi kazi vizuri. Mnaliangamiza taifa letu.
Mwisho, Mungu kamwe hawezi kulinda watu wenye nia mbaya kwa waTanzania kama nyinyi. Tutawakabiri tu.
Ninaposema upeo wako ni mdogo sana, usifikiri natania au nina bahatisha.Mpuuzi tu wewe dada. Samia kila anapokwenda huko nje ni kwa faida ya kutafuta pesa zinazojenga zahanati na utanuzi wa barabara, Kwa kifupi huwezi kukwepa uwekezaji.
Kila mara unakimbia swala husika, toka mwanzo. Ni mara ngapi umeambiwa humu tatizo siyo uwekezaji, tatizo ni nyinyi mawakala mnaotumia uwekezaji huo kuwa mbaya kwa mikataba mibaya kama huo wa IGA.Mpuuzi tu wewe dada. Samia kila anapokwenda huko nje ni kwa faida ya kutafuta pesa zinazojenga zahanati na utanuzi wa barabara, Kwa kifupi huwezi kukwepa uwekezaji.
Haipo namna ambayo Tanzania inaweza kuishi ikifanana na kisiwa fulani, binadamu tumeumbwa ili tutegemeane, ni akili na mawazo ya kijamaa siku zote pale tunapodhani kwamba ni sisi tu tunaoibiwa utajiri wetu!. Mawazo ya kichoyo na kishamba sana haya.
Mwekezaji kaja ili tija ya bandari iongezeke, ikishaongezeka maana yake pato la nchi limeongezeka, na linapokuwa limeongezeka maana yake pesa za kuhudumia sekta za afya, maji, umeme na zenyewe zinaongezeka.
Tujitahidi tuwe na maono hayo, sio kubakia na akili za kudhani tunaibiwa sisi tu siku zote, pathetic mindsets.
Sasa ni dhahiri kabisa uliitegemea sana hiyo IGA katika mipango yenu ovu kwa nchi hii. IGA haihusiki na chochote kinacho fanyika sasa hivi.Hujui unaloliandika na kwanini hujui hilo jibu unalo mwenyewe. Kinachofanyika bandarini muda huu kimezaliwa kutokana na IGA iliyopita bungeni ndio imezaa hizi commercial agreements zilizosainiwa mbele ya rais pale Ikulu Dodoma.
Sitachoka kukuelimisha kuhusiana na hilo.
Kutaka kutuingiza katika mkataba ule wa kitumwa, IGA, tena akijua wazi na kushiriki moja kwa moja katika hujuma hiyo.Uhujumu na uhaini upi alioufanya Samia kwenye mradi wa DP World?.
Angalia usivyokuwa na akili timamu. Maslahi gani wanayo TEC katika lile swala la bandari?Unajua kwamba bandari ilimshinda marehemu JPM kuiendesha?. Makelele mengi kutoka kwa TEC na kwa wengine ni baada ya kugundua kuwa mirija yao inakwenda kukatwa mazima.
Sasahiv anaitwa mama wa taifa.UTanzania wa huyu kiongozi ni wa 'maslahi' tu; nafsi yake inamweka nje ya nchi hii. Huyu ni Mwarabu, hana uTanzania wowote.
Wakati Salim Ahmed anazongwa na akina Kikwete, tena mtu aliyekuwa kalitumikia taifa lake kwa heshima kubwa sana, hao hao akina Kikwete wakaenda kumwokota Mwarabu halisi na kumweka atawale taifa letu!
Hao wanaoimba hizo nyimbo ni unafiki tu na uchawa. Atakapo enguliwa hapo utawasikia hao hao wanamwimbia nyimbo huyo atakayekuwepo kwenye nafasi hiyo. Makundi ya aina hii huwa hayana uzito wowote.Sasahiv anaitwa mama wa taifa.