Steven Joel Ntamusano
JF-Expert Member
- Jun 17, 2023
- 5,203
- 3,913
Mwenye akili timamu hawezi kuwa wewe unayesema mradi wa bandari hauna uhusiano na IGA iliyopita bungeni!!.Angalia usivyokuwa na akili timamu. Maslahi gani wanayo TEC katika lile swala la bandari?
Halafu hata hukumbuki uliyo kwish andika mwenyewe humu!
Umeandika mara kadhaa kuwa huo mpango wa DP World ulikuwepo toka enzi za Magufuli, na kwamba hiyo DP World walishawekwa ndani ya ilani ya CCM, halafu sasa hivi unapiga mengine kivyako, ujuavyo mwenyewe!
Hii kazi ya uwakala wa kuiuza nchi yetu msidhani inaweza kuwaacha salama.
Anayoyafanya Samia yana uhusiano wa moja kwa moja na ilani ya CCM. Nchi yetu haina wa kuiuza kwa yoyote yule ni uelewa wetu mdogo katika masuala ya kisasa ya uendeshaji wa bandari, ndio tatizo letu.