Steven Joel Ntamusano
JF-Expert Member
- Jun 17, 2023
- 5,203
- 3,913
Juha ni wewe na wote wa aina yako, msioweza kuunganisha uwepo wa IGA na hii mikataba iliyopitishwa na kusainiwa ambayo inatoa kibali kwa mradi wa uwkezaji kuanza.Wataalam wapi, akina Hamza?
Utakuwa unafanya utani mkubwa.
Haya maswala ya bandari hayana ugumu wa kuyaelewa, hata bila kuwa msomi juu yake.
Na isitoshe, unachokomalia hapa siyo maswala ya utaalam na uendeshaji wa bandari kwa ufanisi. Wewe unakomalia DP World na IGA yake.
Huu ndio uhjuha mkubwa sana unaokusumbua wewe.
Tafuta mtaalam akupe shule. Hamza Johari yupo juu sana nchi hii kwa kipindi cha hayati JPM na kipindi hiki cha SSH.