Mwanike kumbe ulenatress nzogo lulu kwane zishile Jose.Kazi kweli! Itakuwa kuna ka utoto aisee! Mbona there’s more to life! Wengine tuna stress zetu tunakuja ziacha humu kwa kuandika tu n not otherwise 🤭
Hujakosea Sumbai, na mimi nimelitoa huko huko baada ya kuvutiwa na uigizaji wake mahiri.Hii jina limenikumbhsha series ya viking mke wa ragna alikuwa anaitwa lagertha
Kweli kabisa, was a very strong woman mvumilivu but she cheated her husband..Hujakosea Sumbai, na mimi nimelitoa huko huko baada ya kuvutiwa na uigizaji wake mahiri.
🤣🤣🤣Mwanike kumbe ulenatress nzogo lulu kwane zishile Jose.
Amekuwa low key sana mchumba nn shida?
Kuna lecturer wangu mmoja alikuwa anaitwa Sumbai pale Udsm. Una undugu naye?Hii jina limenikumbhsha series ya viking mke wa ragna alikuwa anaitwa lagertha
Ameamua kwenda low profile ili haters wake wasimsome kwenye radar zao.Amekuwa low key sana mchumba nn shida?
Nilisha mwambia asioneshe unyonge watamchukulia pointAmeamua kwenda low profile ili haters wake wasimsome kwenye radar zao.
Huyo sumbai na kobazi zake alinitesa saana Mzee wa pre historyKuna lecturer wangu mmoja alikuwa anaitwa Sumbai pale Udsm. Una undugu naye?
🤣🤣🤣 ukaamua kutumia jina lake JfHuyo sumbai na kobazi zake alinitesa saana Mzee wa pre history
Yeah nilijiunga kipindi hicho anatunyima oxygen hahaha KAZI yake ilikuwa kutulazumisha kusoma articles hazina mbele wala nyuma🤣🤣🤣 ukaamua kutumia jina lake Jf
Ulipotelea wapi jamani? Missed you😍😍Dada shemeji
Happy to see you😍😍
Hivi sadistic bado wapo jf? Haha vita zinaisha zinaibuka mpya
Watu wanaingiza hela wakiwa wamelala mkuu.Upo wapi nije kukubonda?
Nilichojifunza wengi wanaodhurula humu 24/7 hawana kazi za kufanya.
Baada ya kupata kazi ya kufanya hata kuandika sana siwezi😂
Hongera yenuWatu wanaingiza hela wakiwa wamelala mkuu.
Ahsante sana best. Kitimoto nakula 😋Smart! Ungekuwa unakunywa bia leo weekend ningekubless rafkiangu!🥂
nakunywa kwa niaba yake😋Smart! Ungekuwa unakunywa bia leo weekend ningekubless rafkiangu!🥂