G
guest-1793599959
Guest
Ewaaanakunywa kwa niaba yake😋
Ewaaanakunywa kwa niaba yake😋
nyingine nitabeba ya kunywea njiani si ndiwoo? 😜We uje nyumbani unywee hapa hapa uondoke😁
Nipo sikuwa na bundle 😆😆Ulipotelea wapi jamani? Missed you😍😍
Jf haiishi vimbwanga.
Wamekataza mikutano ya hadhaaraKwani kulitokea nini humu tena 😅
Ulitakiwa uulize...'what did I miss?' 🙂🙂🙂Kwani kulitokea nini humu tena 😅
Kabisa , nimejisahau tu kidogo 🤣Ulitakiwa uulize...'what did I miss?' 🙂🙂🙂
🤣🤣🤣🤣 au sio!Nipo sikuwa na bundle 😆😆
Furaha yangu ni kuona jf haipoi
Hapana hakucheat labda kama umeisahau, Ragnar ndie alicheat, na baadae mwanamke aliyecheat nae akaenda akiwa ana mimba na wakati huo yeye aliambiwa hatoweza kubeba tena ujauzito, alichofanya aliondoka na kwenda kuanzisha empire yake.Kweli kabisa, was a very strong woman mvumilivu but she cheated her husband..
Ni kweli kabisa, walipo divorce kutokana na cheating ya ragner na aslaug ndio akasepa kisha akawa in relations with another manHapana hakucheat labda kama umeisahau, Ragnar ndie alicheat, na baadae mwanamke aliyecheat nae akaenda akiwa ana mimba na wakati huo yeye aliambiwa hatoweza kubeba tena ujauzito, alichofanya aliondoka na kwenda kuanzisha empire yake.
😅😅😅umaarufu na soko sidhani km vinahusiana, ni vile tu kawaida ya binadamu wakizoea kitu kinakuwa cha kawaida watazoea aina yako ya uchangiaji matusi nk so ikija ID mpya inakuwa na uchangiaji wake automatically yule aliyekuwepo atapunguza kushobokewa nk, hapo sasa itategemea akili ya mtu mwenyewe kuanza kuweka chuki nq wivu kwa ID mpya,Upo sahihi! Ukiwa maarufu kuna watu wanaona wivu wanaanza chokochoko yote hayo wivu hawataki kukubali soko lao limeisha
Mimi nachochea tu😂😅😅😅umaarufu na soko sidhani km vinahusiana, ni vile tu kawaida ya binadamu wakizoea kitu kinakuwa cha kawaida watazoea aina yako ya uchangiaji matusi nk so ikija ID mpya inakuwa na uchangiaji wake automatically yule aliyekuwepo atapunguza kushobokewa nk, hapo sasa itategemea akili ya mtu mwenyewe kuanza kuweka chuki nq wivu kwa ID mpya,
hata hii yangu kuna muda ilikuwa hot kweli sababu ulikuwa ndio wakati wake na hizi kero za mtoa mada nilikumbaba nazo ila kama nilivyojisema nina kiwango cha juu sana cha dharau na kiburi kwa wapumbavu,
saiv hata kuingia humu ni kwa nadra sababu ya genz na michango yao vile vile majukumu ya kimaisha kingine tunakua pia mtizamo unabadilika, kwahiyo sio ishu za soko wala sokoni,
Usichojua jumu zile ID low key ndio zina bahati ya kukutana na watu wa maana kuliko ID maarufu sababu wengi watataka kukujua ili wakudhalilishe wakuumbue, pia hauna faida yoyote
Kumbe mko sokoni🤔🤔🤔hawataki kukubali soko lao limeisha