cool down lamama usipanicTaharuki hii unajua😆
Kilichounganishwa kwa true sio Rahisi kukivunja...
Hii utakunywa wewe BuKula na hii tqmu kuliko ki-glass cha wine🔥View attachment 3618296
usiogope kwanza hakuna uchawiUsimuite huyu balaa lake zito!🤣
Akutafutie Dada wa kazi sasa,si unaona mpaka umeungua hapo mkononi.Kula na hii tamu kuliko ki-glass cha wine🔥View attachment 3618296
🥴mmeshagombana tayari na mwanzisha uzi? Maana hukawii 🤭
Hajaungua ako ni kaalama tu kazaliwa nacho first pia mm nilidhan kaungua kumbe sio😊Akutafutie Dada wa kazi sasa,si unaona mpaka umeungua hapo mkononi.
Tugombanie nini sasa?🥴mmeshagombana tayari na mwanzisha uzi? Maana hukawii 🤭
staki kutumia hiyo ntakunywa coca tu pombe nimeacha kwaajili yako mamy sitaki kurudi nyumaUnakosa mambo mazuri
I have one qn to youMy heart is at peace!✌🏽