Barua ya wazi kwa members wenye chuki zisizo na msingi kuhusuya Id yangu!

Ni sawa lakini mbona sijaona cha ajabu nilichofanya mpaka mtu anakomaa na wewe miezi, kidogo anaiubuka mwingine mpaka inakuwa kero!
Kuna kikundi fulan hum cha vijana wanaobalehe. Utawaona tu wanajitag tag kama wanakaa geto moja hiv au wanashindaga wote vijiweni. Na nafaham mtu anaejielewa lazima atagombana nao tu!

Wale ni watoto wa juzi
 
Upo wapi nije kukubonda?
Nilichojifunza wengi wanaodhurula humu 24/7 hawana kazi za kufanya.
Baada ya kupata kazi ya kufanya hata kuandika sana siwezi😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…