Barua ya wazi kwa members wenye chuki zisizo na msingi kuhusuya Id yangu!

Barua ya wazi kwa members wenye chuki zisizo na msingi kuhusuya Id yangu!

867987cf-36f6-48fd-a18f-01bea31aa415.jpeg
09294aa4-3c5c-4627-8519-c00f8e3a824a.jpeg
Relax
 
Kila jambo hua lina faida yake na hasara zake,

Mfano huu uzi inategemea na kila member atakavyouelewa na atakavyo react,

Ungeniuliza mimi kabla ya kupost huu uzi,ningekushauri usipost,potezea tu coz mfano hizo chuki dhiki yako zinaweza kuzidi au watu kukutenga hata katika mijadala ya kawaida tu,

Anyway i hope wahusika watauelewe huu uzi in a positive way,

Good luck.
 
Back
Top Bottom