Rhz4567
JF-Expert Member
- Mar 16, 2018
- 5,371
- 7,382
Waulize walio olewa walitafutaje waume watakujuza.nitafute wapi? unatoa details nusunusu sasa nashindwa nianzie wapi!
Waulize walio olewa walitafutaje waume watakujuza.nitafute wapi? unatoa details nusunusu sasa nashindwa nianzie wapi!
🤣🤣🤣🤣kuna mwamba alikuwa anajiita Joseverest, yule mdau hakuna mtu ambaye amewahi kumfikia viwango vyake.Sasa kama umeolewa tunda unakula saa ngapi masaa 24 upo jf
Em ngoja nikufuate pm 😎sasa unabisha ulikuwepo?
I love youNambie mdogo'angu!
Dah wapuuzi wa humu wanazingua sana aisee.Hiyo tabia humu ipo! Kuna watu wakiona watu wawili wananyegeshana basi wanaanza chokochoko ukiwa mwepesi unakosa utamu hivihivi.
Mimi mwenyewe mbona ilinikuta hii ila sasa walitukuta wote mioyo yetu ya chuma tukawaona mavii tu.
Wangekua binadamu ningewatumia mwaliko waje kula ubwabwa
Hakuna kutulia.. toa kick.. ukitulia tutapata wapi headlinesKwahiyo mimi ndio nina kiherehere! 😩
Sawa bc ntakuchek next time ukiwa sawaTulia kwanza, leo natema shit balaa!
Halafu wapuuzi ni walewale kila mwaka hawabadilikiDah wapuuzi wa humu wanazingua sana aisee.
Afu girl mwnyw nilikuwa namkubali na hadi nshaanza kumuweka akilini akaja kunizngua mm nikiwa dkk ya 80 😂
Wanamuandama sana huyu mdogo wangu, sijui kawakosea nini 🤦🏽♀️
Wakinichefua humu, huwa naona kama wametumwa hivi, basi namsikiliza kaka Mwasongwe, natulia zangu!"UWE HAI, YESU YU HAI"
Zilipendwa.. twataka mapya sieeeKwani si mna pastpapers nyingi tu wajameni!
Hii sio kufuta mada.Anawaambia wahusika wa JF waufute ama ana edit anaacha kinukta tu
ndio😅Unaungana na mimi kujiunga freemason?
Naona kama vile mwezi wa nane niende na mtu hanoi, akatulie..au Binti wa zamani umesahau haya mambo.Wanamuandama sana huyu mdogo wangu, sijui kawakosea nini
Wakinichefua humu, huwa naona kama wametumwa hivi, basi namsikiliza kaka Mwasongwe, natulia zangu!
View attachment 3614893
Sijasahau, best vacation ever 🤣.Naona kama vile mwezi wa nane niende na mtu hanoi, akatulie..au Binti wa zamani umesahau haya mambo.