Mbaga Jr
JF-Expert Member
- May 28, 2018
- 54,814
- 133,717
Afu ndo wanawaharibia wngn,Halafu wapuuzi ni walewale kila mwaka hawabadiliki
assanal zao kmmmkee zao
Afu ndo wanawaharibia wngn,Halafu wapuuzi ni walewale kila mwaka hawabadiliki
Sijui ila ninachojua kuna siku alisema anatamani angezaliwa mwanamke na Sexless anaweza kutoa post mbili ndani ya 24 hrs akiwa na jinsia tofauti tofautiMpwayungu alimaliza beef lake na walimu wenzake?
Mzee chezea wengine ila huyu niachie tafadhaliPole sana,
Hizi ni series tu na huwa zinapita kama upepo, ukimalizana nao njoo upate pumziko kwa babu!
Mwanike ihaha uletumilaga lichisukuma lidimu sana, Wanileka hangeka nyamu hangu?
HahahahaSasa kama umeolewa tunda unakula saa ngapi masaa 24 upo jf
Humu watu wanapata wachumba ?Kumbe ushawahi kupata mchumba
Mimi sishiki mtu, sina hulka hiyo, ila mjukuu akitaka pumziko baada ya kusulubiwa na waja nipo, nampa nafasi apumzike kwangu!!Mzee chezea wengine ila huyu niachie tafadhali
Wazee kama nyie hamfai kabs, mali yangu hiyoo, nitamwonya asisikilize neno lolote toka kwako😆Mimi sishiki mtu, sina hulka hiyo, ila mjukuu akitaka pumziko baada ya kusulubiwa na waja nipo, nampa nafasi apumzike kwangu!!
Uzuri huyu mjukuu nilishamwambia kuwa nina jambo nae, ila waja wakawa wanaandika sana kuhusu yeye, naona alipoteza focus hapa katikati 😅😅😅Wazee kama nyie hamfai kabs, mali yangu hiyoo, nitamwonya asisikilize neno lolote toka kwako😆
Wazee wa humu kwenye mambo yahusuyo utelezi, mmekubuhu!Mjukuu atulie, haya mambo yapo tu, sisi tupo kupooza machine😅
Mzee tafadhali sana, si wakina @epsy wapo mzee wangu, huyu niachie, umaarufu wake usikuchanganyeUzuri huyu mjukuu nilishamwambia kuwa nina jambo nae, ila waja wakawa wanaandika sana kuhusu yeye, naona alipoteza focus hapa katikati 😅😅😅
Huku mjini hamna mpya zaidi ya kuchangamsha kijiwe.Leo nilipitiwa na usingizi. Huu uzi nilichelewa kuuona mjukuu. Sijajua kumetokea nini huko mjini.