Asiwachukulie serious kina nani wakati na wewe ni mmoja wao hao mnaomuanzishia nyuzi?Seran leo umewaka, usiwachukulie serious sana
Sawa.Ndio
NdioUnakumbuka hii mada?
Makosa tuyafanyayo ndani ya JF | JamiiForums Tanzania Makosa tuyafanyayo ndani ya JF
Ni kweli nimechanganya,huyu hakukuanzishia uzi wewe,Huyu alinianzishia pia? Hapana bwana sio mimi!
Ndio sasa mimi sikuwazingua kama yeye alivyonyooshwa naona shida ndio imekuwa kubwa hapo!Ni kweli nimechanganya,huyu hakukuanzishia uzi wewe,
JF VAR CHECK
hata yeye mwenyewe ShesRise_1 hawezi
watu wote waelewe mapema kwamba kuna baadhi ya mioyo ikikutana, hata dunia ikijaribu kuzitenganisha hushindwa.
Mimi na yeye hatukuunganishwa na bahati, wala maneno matupu ya mapenzi ya kupita. Kuna namna macho yake yalivyoutambua moyo wangu kabla hata majina yetu hayajazoeana.
Yeye si mwanamke wa kawaida kwenye maisha yangu.
Ni utulivu wangu katikati ya vurugu, ni mwanga wangu kwenye siku zenye giza, ni sauti ambayo moyo wangu huisikia hata akiwa kimya.
Na kama ulimwengu ni bahari yenye mawimbi mengi, basi yeye ndiye ufukwe ambao moyo wangu...
- chai ya rangi
- nami
- Replies: 163
- Forum: JF Chit-Chats
Sijakuelewa,Ndio sasa mimi sikuwazingua kama yeye alivyonyooshwa naona shida ndio imekuwa kubwa hapo!
Mimi nishazaoe Kuna Uzi nilichangia kuhusu maswala ya kula Tako DM ilipata mtafaruku mkubwa sana anyway, siwekei maanani sana maneno ya nje zaidi ya kuwa mkweli kwangu mwenyewe tuNishashusha kitambo sana mkuu! Usicheke sana leo kwangu kesho kwako🤣
Hmm, ngoja kwanza ulipata wateja wengi? Usikute ndio wanahisi nimezima soko alo humu wakati mimi najifurahisha zangu katika hiki kipindi cha mpito!😬Mimi nishazaoe Kuna Uzi nilichangia kuhusu maswala ya kula Tako DM ilipata mtafaruku mkubwa sana anyway, siwekei maanani sana maneno ya nje zaidi ya kuwa mkweli kwangu mwenyewe tu
Umaarufu jf? Who think is famous here to take other people attention to his/her life?. Hawa watu wanaofikiria kuna mtu jf maaruf wanaupima kwa vigezo ganNimekuelewa dear, ila sikutaka kuwa maarufu! inanisaidia nini na huu umri wangu?
Sijajua bado mkuu, mi mwenyewe mgeni, sikujua tu kuna vipimo vya kukaa humu sio kama mitandoa mingine!Umaarufu jf? Who think is famous here to take other people attention to his/her life?. Hawa watu wanaofikiria kuna mtu jf maaruf wanaupima kwa vigezo gan
Not good to mention ila Kuna mapunga wengi sana na huwezi dhaniaHmm, ngoja kwanza ulipata wateja wengi? Usikute ndio wanahisi nimezima soko alo humu wakati mimi najifurahisha zangu katika hiki kipindi cha mpito!😬
Wale hawana hasadi wale wanabalehe mm nawajua hao anaowasema mtoa mada. Nilishawah kuwaunga kwenye kazi sehem flani hiv wakadhulumiana wakaja kuniletea ujinga humu. Nikawakomesha kenge tu waleMimi nakuelewa kipenzi, umaarufu hujautafuta ila umekuangukia miguuni mwako, sasa ile kutajwa tajwa kwa wema kila sehemu kuna watu wana hasadi za kuzaliwa wanaumia, hapo ndio hujiunga na kuanza kukuchafua, siku hizi wachawi sio vizee ni sie sie vijana wa hovyo