Kuweni na huruma na Wazee 🤭wee! kweli?
Kama ndo wewe nipe code
wow!WEWE NI GENTAMYCINE NA USHAHIDI NINAO
Nimejaribu sana, ila "nyamu" sijajua kabisa nipe hintsoma polepole!
kumbe hadi kuna code mdogowanguKama ndo wewe nipe code
Na wewe ni wa kuogopa kabisa👌 naona unaitolea macho sana mali yangu toka muda😂Yanini wajukuu wateseke wakati babu zao tupo Mzee mwenzangu 😅
Alafu si unajua pension inatoka mwezi September tu hapo 🤪
Aaah Kweli ghete mwanike nyamuu nimekumbuka, Alafu Mbwa ndo liwa 😂
Ila na liwa inakubalika bana
Nimetoka kuhakiki nssf yangu mwezi March, aside na wasiwasi wazee tupo!Yanini wajukuu wateseke wakati babu zao tupo Mzee mwenzangu 😅
Alafu si unajua pension inatoka mwezi September tu hapo 🤪
Ule Uzi wangu wanafiki walidhani tumegombana nilipoanzisha wa mapenzi juu yako walidhani najipenekeza Leo umewajibu baraaaaawbara. Ubarikiwe mke.kwanini unafurahia hivi? kwani niewahi kukukea kitu hapa jukwaani?
Watu na viatu 🎶Watu Wana stress Sana...Watu hamjuani hata majina halisi lakini anachukia uwepo wako na maandishi yako, Mimi siwezi kuweka maradhi ya namna hii...watu wanashindwa kumiliki hisia zao.