Barua ya wazi kwa members wenye chuki zisizo na msingi kuhusuya Id yangu!

Barua ya wazi kwa members wenye chuki zisizo na msingi kuhusuya Id yangu!

Ila kweli wamezidi. Mpaka wamekubatiza eti we Pawa Mabula. Hata sijui ni kwa nini. Pengine ni kwa vile umekuja na moto sana 24/7 uko active kila post upo tena inaonekana ni wale watu wanaojua kila kitu na matusi unaporomosha ikibidi. Sasa wenzio wanakuwa threatened hence the personal attacks. Sijui kama umeshawachukulia waume zao humu. Wabongo sisi 🚮

View attachment 3614802
View attachment 3614803
Ila JF hii haina mtaalamu aisee! Walikuwepo wengi waliokuwa na moto zaidi yako lakini wengi waliishia kwenye aibu wakaikimbia JF au kubadili ID. Walikuwepo akina Demiss. Akina Mbitiyaza. Akina Wangari Mathai. Akina Cutelove. Wengi tu. Hata wewe chukua tahadhari. Usijifanye mjuaji wa kila kitu na kuporomosha matusi. Mwisho wako hapa JF unaweza usiwe mzuri na usiwaone wenzio wametulia ukafikiri ni wajinga. But again you are you and you are free. Uko huru kufanya cho chote utakacho ali mradi tu huvunji sheria. Na jamii itakuelewa tu hatimaye. Vumilia! 👏👏👏👏

View attachment 3614800
Dah watu mna tunza kumbukumbu🤣
 
Aizat ❤️❤️❤️🔥🔥🔥 Niko tayari kuhonga akiba yangu yote
 

Attachments

  • Screenshot_20260624-204207.jpg
    Screenshot_20260624-204207.jpg
    31.5 KB · Views: 6
Hebu ngoja kwanza twende taratibu....ni umeanzishiwa manyuzi kuwa we ni shoga?, mwanaume, jobless?

Hao ni wanawake au wanaume?

Na je hata kama ni kweli inawahusu nini?😏😏

Ningekuwa wewe ningeyapotezea, hivi unafanya kuyapa kichwa!
Nisikilize aizat pliz hivi wewe una tatizo gani? Haiwezekani unanichunia bila sababu za msingi, sio poa hivo maisha hayaendi hivo dear, mi na kukubali sana
 
Yaani unashindwa kuona kwamba hayo yote ni mzaha? Basi wewe ndo unajidanganya.

Kuna kamtindo humu, ID za kike zinakuja zinachangamka sana, zinaburudisha jukwaa mwishowe zinapotea. Kabla yako walikuja kina ephen_, leejay49, unique flower, figo 97 nafikiri na wengine wengi.

Itafika mahali utachoka tu, ule uchangamfu utaisha.
Na huu ndo ukweli.Humu watu wanatania Sana.Huna sababu ya kufokea maandishi maana huwajui walioandika.Humu ni kusoma,kucheka na kujifunza basi.Nakuhakikishia hata baada ya hii barua yako wataendelea kukuchokoza trust me.Waja hawaishiwi vioja nimekaa paleee.
 
Kwahiyo kumbe mnanisubiri nichoke? hakuna kazi zingine za kufanya? utani upi unaouongelea kwanza? mimi watu ninaotaniana nao nawajua wanatania!
Hao unaohisi hawatanii nao pia wanatania.Maisha ya humu hutakiwi kuwa nayo serious kwasababu wengi humu hatujuani zaidi ya miandiko yetu so huna sababu ya kuparangana na watu usojuana nao.
 
Nimesoma Uzi wote,next time usisumbeke Hadi kuwaandikia Uzi.

Aisee humu usiichukulie siriazi,jf ni kama kijiwe Cha kahawa,

Hao wa kuanzishia mtu Uzi walikuwepo kitambo sana,Kuna huyu alikuwa anaitwa @Demiss,hakuna mtu alikuwa anaandamwa kama huyu humu jf, enzi hizo 2014,nipo zangu skuli naiba simu naingia free basic,

Wengina Hawa,Kuna huyu Mama Sabrina😁, Kuna huyu @waangalimaasai sijui huyu kilimramba kitu, Kuna wadada nilikuwa nawapenda I'd zao,Jolie Jolie,Paula Paul,

Jf nishaisoma zamani sana,full upepo.
 
Seran unaweza kudhani unashambuliwa na watu 100 kumbe ni mmoja tu mwenye rundo la ID.

Your aura is likeable and cool yawezekana tu mtu hajapenda kuhusu hilo akaona akubully. Nothing is real your fault.

Tupo hapa 12 years and counting hatujawahi badili ID,why? We are never cool ….! Japo hata mtu akiamua kubadili ID ni sawa pia , JF sio kitu serious hivyo. Be you mwaego…
 
Back
Top Bottom