Naomba unifanyie mpango wa miguuni, nitafute tuongeeMsubirie aje kama ni utaratibu wenu atakusanua, huenda tayari yupo anasoma mchezo.
, yalikuwepo makundi ya wambea, wanafiki, malaya nk lakini yalipotea kimya kimya, hao nao wameshapotea sasa wanakuangushia hasira zao za kukosa attention
Haina noma!Naomba unifanyie mpango wa miguuni, nitafute tuongee
Jf members wengi ni sadistic. Hiyo ndio furaha yao.
Kwamba wanapenda ku manipulate mtu?Wabongo wote tupo hivyo!
Kwamba wanapenda ku manipulate mtu?
Nilivyoenda sec nakaachaga kutumia,labda likizo,siku naingia siipati,,Kule nilikuwa nikiingia JF sioni picha wala video
Aisee, hongera sanaI got love of my life humu
"Ungejifunza kupuuza na nguvu yake ingekusaidia kuishi na hao wapumbavu"Ungejifunza kupuuza na nguvu yake ingekusaidia kuishi na hao wapumbavu, huu uzi haukutakiwa kuwaandikia kabisa hao malaya kunuka, natamani ningekupa hata robo ya ego yangu, hakika hiki ni kiburi cha uzima,
Inakera sana kuona kuna wajinga na wapumbavu wanajiunga kakikundi na kujifanya wao wana haki za kuwa humu na kufanya chochote ila sio mwingine ambae hayumo kwenye hiyo cycle yao, yalikuwepo makundi ya wambea, wanafiki, malaya nk lakini yalipotea kimya kimya, hao nao wameshapotea sasa wanakuangushia hasira zao za kukosa attention.
Fact 💯 na pia tunapenda kuglorify suffering kama ni lazima mtu apitie maumivu hata ambayo si ya lazima ndiyo tunamuona amekua ni binadamu kamili!No! Sadism, tunapenda sana kuona mtu ana maumivu yani tukianzia na masisiemu yetu
Pole sana binti.acha tu wameniharibia jambo langu nyeti sana!
Acha nao kabisa, kuwa na amani mamaHii italeta shida hii!