mnyanyuane jf mpelekane wapi bwana?Nasikitika sana nikiona wanawake kwa wanawake hatupendani, sisi tulipaswa kunyanyuana, kulindana, kuteteana lakini ndio tunakua wa kwanza kusemana na kushushana,
Ifike mahala tujirekebishe, sijapenda
mnyanyuane jf mpelekane wapi bwana?Nasikitika sana nikiona wanawake kwa wanawake hatupendani, sisi tulipaswa kunyanyuana, kulindana, kuteteana lakini ndio tunakua wa kwanza kusemana na kushushana,
Ifike mahala tujirekebishe, sijapenda
mkuu, me sio fan of bullying ila hawa watoto wamekuja kuwa na soft skin sana.Unatafuta kiki?
genta kaingiaje sasa?WEWE NI GENTAMYCINE NA USHAHIDI NINAO
own your shit, jiongeleeni wachache. acheni ku generalize.Fact 💯 na pia tunapenda kuglorify suffering kama ni lazima mtu apitie maumivu hata ambayo si ya lazima ndiyo tunamuona amekua ni binadamu kamili!
Mtag nimuone huyo mzee aliyekimbia mke kisa menopause ndo wanakuja kuleta ugomvi kwenye mirathi Hawa, wasio sikia la muazini wala kengele ya katolikiNayeye anataka tumpishe tukakae na familia zetu🤣
Mumewe ndege anakuja kumbomoa huyo genta mkuriagenta kaingiaje sasa?
genta ni one man army, haitaji cover for him to be himself, hahah
Nakuelewa mdada wanguMbaga najitahidi kuwa a decent lady unajua eeh🤭
Hahahaaa. Nimecheka sana ndugu yangu. Hii imekaa vizuri aisee. 😃Hauna haja ya kurudi bongo wewe taja location nchi gani Mimi nipande , nipo radhi nichome pesa yangu ya Korosho nilipie Visa na nauli ya ndege ili nije kukutwanga huko ulipo .
Ulinipa hasira mpaka nikatafuta passport sasa ninayo nataka uitaje nchi gani wewe location tu halafu swala la kukuteka kiMafia na kukutwanga niachie Mimi . Hata nisipokuja Mimi naweza kutuma vijana wangu kushughulikia wewe Nyabumbu maana nina classmates zangu wa chuo kibao wamemwagika Scandinavian countries
Kweli!mpwayungu aliondoka sababu alipata kazi inayoeleweka, sio kwa sababu ya umaarufu.
humu pia ukiona mtu anashinda sana either ni jobless au anafanya biashara mtandao hizi.
Bora umuulize weweephen kafanyaje tena mkuu? hahaha
ila huu uzi umenichekesha sana
Mtakuja kupigwa shauri yakoUpo wapi nije kukubonda?
Nilichojifunza wengi wanaodhurula humu 24/7 hawana kazi za kufanya.
Baada ya kupata kazi ya kufanya hata kuandika sana siwezi😂
Dah !! 😆😆Kuna kikundi fulan hum cha vijana wanaobalehe. Utawaona tu wanajitag tag kama wanakaa geto moja hiv au wanashindaga wote vijiweni. Na nafaham mtu anaejielewa lazima atagombana nao tu!
Wale ni watoto wa juzi
Nani anipige?Mtakuja kupigwa shauri yako
Bwege 😁WEWE NI GENTAMYCINE NA USHAHIDI NINAO