Barua ya wazi kwa members wenye chuki zisizo na msingi kuhusuya Id yangu!

Barua ya wazi kwa members wenye chuki zisizo na msingi kuhusuya Id yangu!

Hapana, ila tulikuwa tunaelekea Huko.

Bahari mbaya ndo hvy ameshikwa Akili na watu wa humu hvy akaona tuachane mana anadhani Nami ntakuwa kama hao wengine wa humu ety labla ntakuja kumdhalilisha Humu.
Huu mtandao watu wana uoga hata wa kuonana tu!. Mana utofauti wa wanaume na wavulana humu ni mdogo. Na utofauti kati ya wavulana na wanawake haupo kabisaaaaa. Kuna kenge, dipshit! Fucking hole of shits kibao humu.


Il mm nimepata mke humumhum na wiki ijayo naoa sahiv niko nae vacation Labella
 
Hebu ngoja kwanza twende taratibu....ni umeanzishiwa manyuzi kuwa we ni shoga?, mwanaume, jobless?

Hao ni wanawake au wanaume?

Na je hata kama ni kweli inawahusu nini?😏😏

Ningekuwa wewe ningeyapotezea, hivi unafanya kuyapa kichwa!
 
Hello members,

Kwanza kabisa, mimi sio mwanaume! kuna watu wananifahamu na ninaongea nao mambo mbalimbali ya kiimani na kibiashara! mimi sio malaya wala shoga! kukaa kwangu jf muda mwingi au kila siku sidhani kama inamuhusu mtu yoyote humu! mnaotaka kuni-babysit please sihitaji! yamekuja maparody na ids kibao kunijazia kunguni kila mahala, sitaki na ninaomba mniaiche! mara mtu akusalimie leo, kesho kajinunisha upumbavu, please!

Na kama kuna member yoyote ambaye nimewahi kuchat naye mambo ya pesa sijui umalaya ajitokeze na ushahidi! sijawahi kuomba pesa humu na wala sina hizo tabu ndogo ndogo kama mnavyonikadiria. Naona tuhuma zimekuwa nyingi si wame wala wake! mnanivamia sana kwenye comments na kukicha mnaongezeka! Hizo chuki zidi yangu zinawasaidia nini?

Inashangaza kuona jinsi baadhi ya watu wanavyotumia muda wao mwingi kutengeneza simulizi, tuhuma na hitimisho kuhusu kitu ambacho hawakifahamu kikamilifu. Wengine wamejigeuza wachunguzi, waendesha mashtaka na majaji kwa wakati mmoja, ilhali hawana ushahidi wala uelewa wa jambo lenyewe.

Kwa wale vijana mnaojitafuta na kunianzishia nyuzi zisizo na kichwa mimi huwa nahesabu kama utani na wengi wenu ni wadogo kwangu! nikisema niwe serious sana hapo tutazinguana sana halafu mimi ndio nitabaki kuonekana mjinga! Nyuzi nyingi haziko serious ila kuna hawa viumbe wenye nyota za mbwa wanaumia sana, mimi sijamtuma mtu kunianzishai nyuzi! kama kuna yoyote nachati naye nje ya uzi wake aje kunianika hapa!

Kuwa na maoni ni haki ya kila mtu, lakini kujenga chuki juu ya dhana, uvumi na hisia binafsi ni upungufu wa fikra, si hoja. Kama mngewekeza nguvu mnazotumia kunichunguza katika maisha yenu binafsi, huenda mngekuwa mbali zaidi kuliko mlipo sasa. Kama humjui mtu kwanini ujifanye unamjua? unapata faida gani kumchafua mtu? ukikaa kimya kuna biashara yako labda inaharibika?

Sina deni la kuwafurahisha wanaonichukia, wala sitabadilisha ukweli ili uendane na simulizi mnazozipenda. Ukweli hubaki kuwa ukweli hata kama hauwapendezi.

Kwa hiyo kabla ya kuhukumu, hakikisheni mnajua mnachokizungumzia. Vinginevyo, mnachobaki nacho si ukweli bali ni kelele za chuki zisizo na msingi.

Naruhusu maoni, chonde chonde leo sukari yangu iko juu!
Unasumbuka namna hii kwa post za JF??? I think you are better than that Seran
 
sawa, kwanini mlundikano wa ids unahangaika na id yangu tu? ids zipo kibao kwanini mimi? sasa hivi uzushi wa kula sijui nauli na upumbavu kibao! unahisi kila mtu anapuuzia? kuna watu tunaheshimiana humu na tunaplan mambo makubwa, haya uaminifu haulegilegi?
Achana nao wasengee hao shost...usipanikii
 
Ila kweli wamezidi. Mpaka wamekubatiza eti we Pawa Mabula. Hata sijui ni kwa nini. Pengine ni kwa vile umekuja na moto sana 24/7 uko active kila post upo tena inaonekana ni wale watu wanaojua kila kitu na matusi unaporomosha ikibidi. Sasa wenzio wanakuwa threatened hence the personal attacks. Sijui kama umeshawachukulia waume zao humu. Wabongo sisi 🚮

View attachment 3614802
View attachment 3614803
Ila JF hii haina mtaalamu aisee! Walikuwepo wengi waliokuwa na moto zaidi yako lakini wengi waliishia kwenye aibu wakaikimbia JF au kubadili ID. Walikuwepo akina Demiss. Akina Mbitiyaza. Akina Wangari Mathai. Akina Cutelove. Wengi tu. Hata wewe chukua tahadhari. Usijifanye mjuaji wa kila kitu na kuporomosha matusi. Mwisho wako hapa JF unaweza usiwe mzuri na usiwaone wenzio wametulia ukafikiri ni wajinga. But again you are you and you are free. Uko huru kufanya cho chote utakacho ali mradi tu huvunji sheria. Na jamii itakuelewa tu hatimaye. Vumilia! 👏👏👏👏

View attachment 3614800
Eti Pawa mabula jf bana🤣🤣🤣🤣🤣
 
Huu mtandao watu wana uoga hata wa kuonana tu!. Mana utofauti wa wanaume na wavulana humu ni mdogo. Na utofauti kati ya wavulana na wanawake haupo kabisaaaaa. Kuna kenge, dipshit! Fucking hole of shits kibao humu.


Il mm nimepata mke humumhum na wiki ijayo naoa sahiv niko nae vacation Labella
Humu mafala n wengi aisee
 
Back
Top Bottom