nivoanzisha nilijitahidi ziwe nyuzi zenye heshima,Ni kweli nimechanganya,huyu hakukuanzishia uzi wewe,
JF VAR CHECK
hata yeye mwenyewe ShesRise_1 hawezi
watu wote waelewe mapema kwamba kuna baadhi ya mioyo ikikutana, hata dunia ikijaribu kuzitenganisha hushindwa.
Mimi na yeye hatukuunganishwa na bahati, wala maneno matupu ya mapenzi ya kupita. Kuna namna macho yake yalivyoutambua moyo wangu kabla hata majina yetu hayajazoeana.
Yeye si mwanamke wa kawaida kwenye maisha yangu.
Ni utulivu wangu katikati ya vurugu, ni mwanga wangu kwenye siku zenye giza, ni sauti ambayo moyo wangu huisikia hata akiwa kimya.
Na kama ulimwengu ni bahari yenye mawimbi mengi, basi yeye ndiye ufukwe ambao moyo wangu...
- chai ya rangi
- nami
- Replies: 163
- Forum: JF Chit-Chats
Thanks sis ❤️Pole sana mkuu Seran
Moderators wana entertain huu upumbavu...
Unakuta mtu kakudhalilisha wee...kakutusi wee....kisha anaanzisha topic, fulani nakupenda! If this is not BULLYING..what is it? Nasema Moderators wanaona kila kitu ila wana condone huu upumbavu for viewing/content ..wanasingizia mtu hajatusi kwenye topic yake hivyo hajavunja sheria za JF...while mtu mwingine anafeel Intimidated...
Moderator na wenzio shame on you!
Kimeshashuka mzee usijali!Pole sana mjukuu, watu wa hivyo tumekuwa nao humu miaka nenda rudi, jambo la kuzingatia ni kujifunza kupuuzia
Umenitisha hapo mwisho uliposema nawe umepandwa na kisukari, yaani wakati wajukuu wenzio nawarithisha mashamba ya tumbaku, wewe unarithi kisukari cha babu yako 🤪
Halafu wanasema hao ni wanaume machine🤣
Jf ina watu wana vituko sana.Sijui ila ninachojua kuna siku alisema anatamani angezaliwa mwanamke na Sexless anaweza kutoa post mbili ndani ya 24 hrs akiwa na jinsia tofauti tofauti
Hahaa
Kuna kaka angu siku hizi simuoni, nakufananisha nae
Demokrasia ni ngumu sanaPole sana mkuu Seran
Moderators wana entertain huu upumbavu...
Unakuta mtu kakudhalilisha wee...kakutusi wee....kisha anaanzisha topic, fulani nakupenda! If this is not BULLYING..what is it? Nasema Moderators wanaona kila kitu ila wana condone huu upumbavu for viewing/content ..wanasingizia mtu hajatusi kwenye topic yake hivyo hajavunja sheria za JF...while mtu mwingine anafeel Intimidated...
Moderator na wenzio shame on you!
hata mimi nipo tayari kuwa kaka yako wa jfKuna kaka angu siku hizi simuoni, nakufananisha nae