Ramtz Jr
JF-Expert Member
- Jun 18, 2026
- 269
- 529
Dada Seran usiondoke bwana japo ingia jf kwa siku mara moja binafsi nimekuzoea sana tangu sija jiunga nakukubali sana OK huna bayakwamba lazima nitakuwa nimewachoza sio?
halafu wewe mbona bado upo jukwaani kinachokuaminisha kuwa lazima miezi 6 nitaondoka ni nini? kama mtu anapata muda akachill humu kuna shida gani? kwahiyo humu hamtaki active member au member mpya aje kuwafunika mliopo? am here for fun nothing serious! na kuondoka kwangu humu ni majukumu yakinizidia not otherwise! kwanini mnampangia mtu aishie vibaya kama wengine? shida ni nini?