Fundi Mchundo
Platinum Member
- Nov 9, 2007
- 10,448
- 8,705
Sasa hivi neno maridhiano kwa Chadema limekuwa mwiko. Kuna viongozi bado wana usongo na Mbowe. Nahisi wako wanaoamini kuwa kwa sababu walishinda basi ni jukumu la walioshindwa kuwaangukia au kunyamaza.Wapo walioshauri baada ya Uchaguzi kuwe na Maridhiano ya ndani lakini walipuuzwa
Hilo ni kweli kabisa.Freeman Anaipenda sana Chadema, Atakuja kuwasaidia wakihitaji msaada wake, hajawahi kuwa na kinyongo
Basi sawaKuridhiana kuhusu nini? Kuna conflict?! Inahusu nini? Madai yao ni nini? Isije kuwa maridhiano ya kutaka ulaji?
Kufikiria tu kwamba Freeman alihusika na kifo cha Mzee Kibao ni ushahidi kwamba wewe ni kichaakwanza atujibu, anajua waliko kina Ben Saanane ama hajui. Anahusika mauaji ya mzee Kibao ama hahusiki, anawajua wahusika ama hajui, na mambo mengine yanayofanana na hayo
Kura ndio yalikuwa maridhiano sahihi.Wapo walioshauri baada ya Uchaguzi kuwe na Maridhiano ya ndani lakini walipuuzwa
Basi hakuna haja ya kulalamika wengine wanapoamua kupumzikaKura ndio yalikuwa maridhiano sahihi.
Kama mtu um3shindwa na unaamini uchaguzi ulikuwa haki unatakiwa kuungana na wenzako kuoush qjenda ya chama. Inamaanq ingekuwa Congo wajomba wangeingia mstuni au mimi ndio sielewi. Ukisemq unaqcha siasa unashughulika na biqshara ni kwa sababu ya kushindwa au malengo yako ya kisiasa yamefikiwa?
Sisi wannanchi tunashangaa sana haya yanayoendelea.
Nimeuliza kujua mkuu. Kwa maoni yako wewe, unafikiri wanahitaji kuridhiana kuhusu nini ambacho ni tatizo?Basi sawa
Kweli ni ukomavu . Inabidi awatulize wafuasi wake pia waendelee na kaziUnaitwa Ukomavu wa kisiasa
Mkuu ni vigumu sana kufanya kazi na watu uliowatukana hadharani na kuwasingizia kula Rushwa ya Samia, kwa mfano Lissu amesema si mara moja kwamba Sugu alimshinda Msigwa kwa Rushwa, bila ushahidi wowote, ushahidi unaotolewa ni kwamba Mrema alihongwa bia 10 (bia moja ya kitanzania ni elfu 2 tu, hii maana yake ni kwamba Mrema alihongwa elfu 20), Je tuamini kwamba hii ndio rushwa ya uchaguzi? , hata kama ni kweli , hivi Mrema ni mpiga kura?Nimeuliza kujua mkuu. Kwa maoni yako wewe, unafikiri wanahitaji kuridhiana kuhusu nini ambacho ni tatizo?
Umeongea kwa uchungu sana..Una akili na mentality ya kitoto sana hili linathibitisha ile kauli ya Jamaa fulani kuwa Nyerere anaongoza maiti.
Chama cha siasa cha upinzani kukiendesha si lelemama! Kundesha mkutano mkuu mmoja si chini ya milioni 600 hapo inajumuisha kusafirisha wajumbe,kuwalisha,kuwalaza na kuwakirimu kipindi chose cha mkutano ndio maana kuna vyama vinashindwa kufanya mikutano mikuu kisa uhaba wa fedha!!
Kufanya mkutano mkubwa mmoja wa hadhara si chini ya 20M maandalizi na kila kitu. Siasa sio biashara rahisi kama kuuza uchi unavyofikiria.
Chadema inapata ruzuku ya Mil 100 kwa mwezi hebu piga hesabu za kuendesha chama pamoja na harakati zote za kichama halafu ujiulize nini kimeliwa?
Mna fikra za kimalaya malaya na kichawi sana mkihusisha umaskini na kutu iliyowajaa rohoni.
Je bado wanatakiwa?Kweli ni ukomavu . Inabidi awatulize wafuasi wake pia waendelee na kazi
wanatakiwa ndio. chama kinahitaji watu. Wakuige wewe, wewe uko vzr mkuu!Je bado wanatakiwa?
Hata mimi nimetukanwa sana humu, tena nimetukanwa na Wahuni tu tena Chadema wa kuunga unga tu, nimevumilia kwa sababu watu wanapita lakini Chadema itabaki.wanatakiwa ndio. chama kinahitaji watu. Wakuige wewe, wewe uko vzr mkuu!
Wanapumzika kwa sababu wameshindwa kwa nini wasipumzike kabla ya uchaguzi ili wenye nia njema wagombee wakishindwa waendelee kushiriki katika mapambano.Basi hakuna haja ya kulalamika wengine wanapoamua kupumzika
Yaani nyie maccm mnataka kuifundisha chadema jinsi ya kuendesha chama?The beginning of the end, chama hakiwezi kujengwa kwa uhuni wa namna hiyo.
Aliyeshinda Uenyekiti wa kanda ameshindwa nini?Wanapumzika kwa sababu wameshindwa kwa nini wasipumzike kabla ya uchaguzi ili wenye nia njema wagombee wakishindwa waendelee kushiriki katika mapambano.
Hapa penye maridhiano,mwenyekiti mpya anaaminj ataishi kama kampeni zilivyokuwa.Tatizo anajiamini alifikiri ndivyo watu watakavyomwamini kama kwenye kampeni.Maridhiano ni muhimu sanaWapo walioshauri baada ya Uchaguzi kuwe na Maridhiano ya ndani lakini walipuuzwa
Hata mimi nimetukanwa sana humu, tena nimetukanwa na Wahuni tu tena Chadema wa kuunga unga tu, nimevumilia kwa sababu watu wanapita lakini Chadema itabaki.
Tujifunze sana kuheshimu wengine
Inatafakarisha piaHaya maumivu ni wazi hawa watu walikuwa wamegeuza chama shamba lao la upigaji. Kushindwa kwenye uchaguzi wa kidemokrasia pekee hakuwezi kubeba maumivu makali namna hii.
Tuhuma zozote nzito kama hizi ushahidi mwanana ni muhimu sanaBinafsi huwa ninakuelewa sana boss wangu. Ila ukianza kusema hapakuwa na pesa za Abdul zilizoingizwa chamani, ninakushangaa!