Pre GE2025 Barua ya wazi kwa mheshimiwa ex mayor wa ubungo na mwenyekiti wa chadema kanda ya Pwani

Pre GE2025 Barua ya wazi kwa mheshimiwa ex mayor wa ubungo na mwenyekiti wa chadema kanda ya Pwani

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Wapo walioshauri baada ya Uchaguzi kuwe na Maridhiano ya ndani lakini walipuuzwa
Sasa hivi neno maridhiano kwa Chadema limekuwa mwiko. Kuna viongozi bado wana usongo na Mbowe. Nahisi wako wanaoamini kuwa kwa sababu walishinda basi ni jukumu la walioshindwa kuwaangukia au kunyamaza.

Amandla...
 
kwanza atujibu, anajua waliko kina Ben Saanane ama hajui. Anahusika mauaji ya mzee Kibao ama hahusiki, anawajua wahusika ama hajui, na mambo mengine yanayofanana na hayo
Kufikiria tu kwamba Freeman alihusika na kifo cha Mzee Kibao ni ushahidi kwamba wewe ni kichaa
 
Wapo walioshauri baada ya Uchaguzi kuwe na Maridhiano ya ndani lakini walipuuzwa
Kura ndio yalikuwa maridhiano sahihi.
Kama mtu um3shindwa na unaamini uchaguzi ulikuwa haki unatakiwa kuungana na wenzako kuoush qjenda ya chama. Inamaanq ingekuwa Congo wajomba wangeingia mstuni au mimi ndio sielewi. Ukisemq unaqcha siasa unashughulika na biqshara ni kwa sababu ya kushindwa au malengo yako ya kisiasa yamefikiwa?

Sisi wannanchi tunashangaa sana haya yanayoendelea.
 
Basi hakuna haja ya kulalamika wengine wanapoamua kupumzika
 
Nimeuliza kujua mkuu. Kwa maoni yako wewe, unafikiri wanahitaji kuridhiana kuhusu nini ambacho ni tatizo?
Mkuu ni vigumu sana kufanya kazi na watu uliowatukana hadharani na kuwasingizia kula Rushwa ya Samia, kwa mfano Lissu amesema si mara moja kwamba Sugu alimshinda Msigwa kwa Rushwa, bila ushahidi wowote, ushahidi unaotolewa ni kwamba Mrema alihongwa bia 10 (bia moja ya kitanzania ni elfu 2 tu, hii maana yake ni kwamba Mrema alihongwa elfu 20), Je tuamini kwamba hii ndio rushwa ya uchaguzi? , hata kama ni kweli , hivi Mrema ni mpiga kura?

Sasa Sugu ni Mwenyekiti wa Kanda ya Nyasa na Msigwa ni Mwanaccm, Sasa unafanyaje kazi na Sugu kwa namna hii katika hali ya Ukweli wa kibinadamu? Unayemtetea Msigwa yuko ccm, tena alihama akiwa kakata rufaa na watu wakijiandaa kuijadili.

Tujifunze kuheshimu viongozi wengine kama sisi tunavyotaka kuheshimiwa, Hakuna Kiongozi anayeweza kuongoza Chama Peke yake kwa kutumia akili zake tu

Haya ni Mapungufu na ni lazima yarekebishwe ili kama chama twende pamoja
 
Una akili na mentality ya kitoto sana hili linathibitisha ile kauli ya Jamaa fulani kuwa Nyerere anaongoza maiti.

Chama cha siasa cha upinzani kukiendesha si lelemama! Kundesha mkutano mkuu mmoja si chini ya milioni 600 hapo inajumuisha kusafirisha wajumbe,kuwalisha,kuwalaza na kuwakirimu kipindi chose cha mkutano ndio maana kuna vyama vinashindwa kufanya mikutano mikuu kisa uhaba wa fedha!!
Kufanya mkutano mkubwa mmoja wa hadhara si chini ya 20M maandalizi na kila kitu. Siasa sio biashara rahisi kama kuuza uchi unavyofikiria.

Chadema inapata ruzuku ya Mil 100 kwa mwezi hebu piga hesabu za kuendesha chama pamoja na harakati zote za kichama halafu ujiulize nini kimeliwa?
Mna fikra za kimalaya malaya na kichawi sana mkihusisha umaskini na kutu iliyowajaa rohoni.
Umeongea kwa uchungu sana..
 
wanatakiwa ndio. chama kinahitaji watu. Wakuige wewe, wewe uko vzr mkuu!
Hata mimi nimetukanwa sana humu, tena nimetukanwa na Wahuni tu tena Chadema wa kuunga unga tu, nimevumilia kwa sababu watu wanapita lakini Chadema itabaki.

Tujifunze sana kuheshimu wengine
 
Basi hakuna haja ya kulalamika wengine wanapoamua kupumzika
Wanapumzika kwa sababu wameshindwa kwa nini wasipumzike kabla ya uchaguzi ili wenye nia njema wagombee wakishindwa waendelee kushiriki katika mapambano.
 
Wanapumzika kwa sababu wameshindwa kwa nini wasipumzike kabla ya uchaguzi ili wenye nia njema wagombee wakishindwa waendelee kushiriki katika mapambano.
Aliyeshinda Uenyekiti wa kanda ameshindwa nini?
 
Wapo walioshauri baada ya Uchaguzi kuwe na Maridhiano ya ndani lakini walipuuzwa
Hapa penye maridhiano,mwenyekiti mpya anaaminj ataishi kama kampeni zilivyokuwa.Tatizo anajiamini alifikiri ndivyo watu watakavyomwamini kama kwenye kampeni.Maridhiano ni muhimu sana
 
Hata mimi nimetukanwa sana humu, tena nimetukanwa na Wahuni tu tena Chadema wa kuunga unga tu, nimevumilia kwa sababu watu wanapita lakini Chadema itabaki.

Tujifunze sana kuheshimu wengine

Binafsi huwa ninakuelewa sana boss wangu. Ila ukianza kusema hapakuwa na pesa za Abdul zilizoingizwa chamani, ninakushangaa!
 
Haya maumivu ni wazi hawa watu walikuwa wamegeuza chama shamba lao la upigaji. Kushindwa kwenye uchaguzi wa kidemokrasia pekee hakuwezi kubeba maumivu makali namna hii.
Inatafakarisha pia
 
Back
Top Bottom