Una akili na mentality ya kitoto sana hili linathibitisha ile kauli ya Jamaa fulani kuwa Nyerere anaongoza maiti.
Chama cha siasa cha upinzani kukiendesha si lelemama! Kundesha mkutano mkuu mmoja si chini ya milioni 600 hapo inajumuisha kusafirisha wajumbe,kuwalisha,kuwalaza na kuwakirimu kipindi chose cha mkutano ndio maana kuna vyama vinashindwa kufanya mikutano mikuu kisa uhaba wa fedha!!
Kufanya mkutano mkubwa mmoja wa hadhara si chini ya 20M maandalizi na kila kitu. Siasa sio biashara rahisi kama kuuza uchi unavyofikiria.
Chadema inapata ruzuku ya Mil 100 kwa mwezi hebu piga hesabu za kuendesha chama pamoja na harakati zote za kichama halafu ujiulize nini kimeliwa?
Mna fikra za kimalaya malaya na kichawi sana mkihusisha umaskini na kutu iliyowajaa rohoni.