Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 27,031
- 49,928
Sina kitu bnaKwahiyo una Kitambalizio au?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sina kitu bnaKwahiyo una Kitambalizio au?
Nasema 7baya HahahaGenta best yangu Hana shida na mie bna
Mkuu jiandae anakuja kwa kasii ukoNi muda mrefu sana huyu jamaa nimekuwa namfatilia huyu jamaa..Anaandika vitu vingi some are logical na mengine are not logical...Hapa simlaumu maana kila mtu ana uhuru wa kuandika anachojisikia as long as havunji sheria za JF. Tatizo kubwa la huyu ndugu yetu ni kuamini kila anachokifahamu yeye au alichokiandika yeye ndio sahihi kiasi kwamba ukimpinga hata kwa hoja anakuja na matusi juu na lugha nyingi za kuudhi...Popoma ndio tusi lake maarufu sana.
USHAURI WA BURE:
Wewe jamaa sio perfect kiasi kwamba hukosei...acha mambo ya kutusi na kutolea lugha chafu karibia kila mtu ambae atakosoa/atakataa kile ulichokiandika au kukiamini...Unaboa kinoma mkuu...waache watu wawe free kuchangia wanachojisikia sio kutaka tu wale wanaosapoti ulichokisema..wewe ni nani hadi usikosee?...Are you an angel?...Acha upopoma mkuuu!
Kinachoumiza zaidi, wengine wanakukosoa kwa lugha za kistaarabu tu lakini jinsi unavyowajibu naamini kabisa wanajisikia vibaya..Sasa mimi ni mtetezi wao...Acha ushamba na ubabe wa kule kwenu kanda maalumu ukiwa humu ndani..Matusi yako kwa kila anayekukosoa yanakufanya hata usionekane kama ni game changer....They make you look like a useless sub and not a game changer as you have always been addressing yourself....ACHA USHAMBA.
Sio kwamba nakuchukia hapana, ila ujue tu kauli zako chafu huwa zinawaboa wengi...Toka nijiunge JF sikuwahi kupigwa ban..ila siku moja wewe umepost kitu nikakuuliza swali moja ili nijifunze maana sikuwa naelewa ila ukanitafsiri kama nakudhihaki..ukaja na kauli chafu juu, namimi nikajaa nikarudisha shambulizi (Huwa silipi wema kwa ubaya)...nadhani ilikuuma ukakimbilia kwa mods wakaniweka lock up (Ban) kwa muda mrefu..nilikaa nje ya dimba nikikosa madini na taarifa muhimu humu ndani kutoka kwa wenye madini kama INFANTRY SOLDIER na MSHANA JR...This was three months ago...
Hivi huoni wenzio wakikosolewa kwa hoja wanajibu kistaarabu?......Unadhani kila unachokiandika kiko sahihi 100%...YOU ARE WRONG!!!!!!!!!!!!!
Sijui na hii utashitaki ili nipigwe ban?...
mzee baba umenichekesha si mchezo,, jamaa ajiandae !!!!Jinsia mtoa mada anavyokaribisha matusi kutoka kwa mtolewa madaView attachment 1816315View attachment 1816314
😂😂😂
Nimemsalimia blaza tu 😂😂😂Boss nawe mpambe nuksi yaani
🤣😂Sijaona ulichokiandika cha maana sana sana ninaona tu umeendelea Kuonyesha jinsi ulivyorithi Upumbavu kutoka kwa waliokuleta hapa duniani.
Yule fala sabaya akafie mbele huko.hatokaa aone Tena njeHahahaha
Ila ungepita kwenye 18 zake asingekuwacha[emoji23]
Ova
HahahaYule fala sabaya akafie mbele huko.hatokaa aone Tena nje
Utakuja tukanwa na infinix yako uanze kulia hapa uhuhuuuiAcha upumbavu wewe GENTAMYCIN unajipigia promo ili upate madem hapa
Mtu mzima ovyo kabsaa wewe
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Haaaaa King Kong III wahi huku kabla uzi haujafungiwaAcha upumbavu wewe GENTAMYCIN unajipigia promo ili upate madem hapa
Mtu mzima ovyo kabsaa wewe
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Ban zilifululiza ndo mana akawa mpoleHalafu mbona Genta kastaarabika siku hizi, Yule wa 2017/18 ndio alikuwa anasepa na kijiji
[emoji3][emoji3] hatuna dogo ... Atulie kitako tumsuke twende kilion na tumvishe Dela maana kazidi.Haaaaa Haaaaa [emoji23] leo mmemuamulia sio