Barua ya wazi kwa Mrisho Gambo, ufisadi wako tunautambua

He should shut the fvck up sababu naye ni jizi.
Nimemsikiliza leo.
Nimeona hizo tuhuma amezitoa kwa chuki.
Amewachokoza majizi ..hakuna rangi ataacha kuons
 
Gambo hajawahi kuwa na sifa ya uadilifu hata mara moja! Gambo ni mtu mwenye hulka ya ubinafsi, wizi, utapeli, uchochezi na ni mwongo sana!
 
Nimemsikiliza leo.
Nimeona hizo tuhuma amezitoa kwa chuki.
Amewachokoza majizi ..hakuna rangi ataacha kuons
Ongeza popcorn tu tuendelee kuona majizi yakiparuana.
 
Kama si majungu, Je kuna ulazima wa kuwa na katiba mpyaaa ili tuweze kumuwajibishaaa..????
 
BARUA YA WAZI KWA MRISHO GAMBO

Asalaam Aleykum, Mheshimiwa mbunge wangu wa Arusha Mjini, kwanza nikupe pole kwa majukumu ya kututumikia wananchi wa Arusha mjini na pia najua utakua umechoka kwa ziara ya Mheshimiwa Waziri Mkuu hapa kwetu Arusha.
Kwa nini uyaseme haya leo?
 
Very unfortunate nation. Yaani ukitaka kujua kuwa Magufuli alikuwa mtu wa HOVYO angalia watu ambao akiwakumbatia kama wasaidizi wankaribu.

1. Daud Bashite aka Makonda
2. Lengai Ole Sabaya
3. Mrisho Gambo
4. Albert Chalamila

Hiyo mijitu yote ni takataka, miuaji, mijitu ya unyang'anyi na iliyokosa maadili. Still wapumbavu bado wanamuita Magufuli shujaa wao
Vipi mama ni mtu wa aina gani ?
Gabi si ni mkuu wa mkoa awamu hii?
 
hivi kwa nn mnatumia nguvu sana kuyanadi hayo mavyama yenu?kizuri chajiuza kibovu chajitembeza.tuache kuyanadi mavyama tuyaache yajinadi yenyewe au na sisi tuna maslahi ktk hayo mavyama?
Kuna sehemu hapa umeona nimekinadi chama au unawashwa[emoji848] tuu?,huna tofauti na niliemquote hapo juu,uzi unajieleza lakin nashangaa anaihusisha CHADEMA
 
Tanzania ni nchi ya ajabu sana.....yaani uchafu wa mtu unakemewa kwa kuibuliwa uchafu wa mtu huyo huyo........

Ukisema viongozi wa chama fulani Wana fanya ufisadi utasikia mbona kiongozi wa chama fulani anafanya..........

Kinachosikitisha zaidi kuna makundi ya watu wanaoshangilia hali hiyo.......mpaka unapata mashaka na utendaji kazi wa akili zao.....
Kiukweli nami limenishangaza, ko Gambo kuibua wizi ndo mtu unakuja kumuanika na wewe as if alichokiibua Gambo hakustahili kisa nae alikuwa anafanya wizi. Kwa hyo mwizi haruhusiwi kufichua waovu kisa nae ni mwizi. 😀😀
 
Makosa yake haywezi kutakasa makosa ya wengine wala kumzuia kuwalipua wengine
 
Mlikua wapi kutoa hizi tuhuma mpaka yeye kawawahi?
[emoji2957][emoji2957][emoji2957]Gambo kijukuu Cha mtume, hizo tuhuma zipogo tuu, lakini hawezekaniki. Na jana nimeinua mikono juu, mjj umetuliaaa, mshtuko ni mkubwa.
 
Nimesoma mpaka mwisho ulichoandika, naomba nikusaidie machache :

1) Kuna kipindi tuliaminishwa kwamba kazi ya mbunge ni kupiga makofi na kukubali kila kitu, kitu hiki kimeathiri utendaji wa wabunge na kupelekea wabunge kuwa sehemu ya Serikali. Kazi kubwa ya wabunge ni uwakilishi wa wananchi na lolote lililo la kero kero ni kazi ya mbunge kunisaidia kunisemea. Gambo kafanya kile mbunge anatakiwa kufanya bila kujali historia yake.

2.) Tunajua kwamba Gambo na Kihongosi wana uadui na hii ilitokana na hulka za wote na kipindi Kihongosi akiwa DC wa Arusha huku Gambo ni RC wake akataka kufanya counter-attack ili awe RC Gambo alivyoona hivyo akakimbilia kwenye Ubunge. Kwa hiyo wote wamekutana kwa siasa chafu lakini hii haindoi ukweli kwamba Gambo akifichua uovu wa Kihongosi ni kutokana na uadui wao. Gambo sio mamlaka ya nidhamu ya Kihongosi kazi yake ni kuieleza mamlaka yake yanayofanywa na Kihongosi.

3.) Hili andiko lako linaonyesha ni chuki gani uliyonayo kwa Gambo na pengine umetumwa na Kihongosi. Haya yote uliyoyasema juu ya Gambo hayakuwepo kabla mpaka Kihongosi alipotajwa na Gambo?

Yote
Nakusahihisha, Kihongosi hakuwahi kuwa dc wakati Gambo akiwa RC. Kihongosi alikuja Arusha baada ya Gambo kutumbuliwa. Kwa kukusaidia Gambo alikuwa Dc Arusha mjini nae ndo alimpiku aliekuwa mkuu wa mkoa wa hapa mheshimiwa F. Ntibenda
 
BARUA YA WAZI KWA MRISHO GAMBO

Asalaam Aleykum, Mheshimiwa mbunge wangu wa Arusha Mjini, kwanza nikupe pole kwa majukumu ya kututumikia wananchi wa Arusha mjini na pia najua utakua umechoka kwa ziara ya Mheshimiwa Waziri Mkuu hapa kwetu Arusha.

Mheshimiwa mimi ninayo machache ya kukwambia siku ya leo, Nimesikiliza kwa makini hoja zako ulizotoa mbele ya Waziri Mkuu juu ya Mkurugenzi wa jiji la Arusha Dr. John Maco Pima ambaye Kitaaluma, ni Mtafiti katika fani ya Sayansi ya Teknolojia ya Habari katika Nyanja za “Blended Learning”, Elimu Mtandao; “E-Government”; na “E-Records and Archival Management”.

Malalamiko yako juu ya Mkurugenzi huyu yalinirudisha nyuma na kuanza kujikuta nikitaka kufahamu ulipotoka kabla ya kufika Arusha,

Nimefahamu ulikua Mkuu wa wilaya ya Korogwe na kilichosababisha kuhamishwa toka Korogwe na kuletwa Arusha sababu ni mgogoro wako na mwanasheria wa Halmashauri hiyo hadi mkafikishana Tume ya Maadili ya Viongozi wa Umma. Na kupelekea Rais Kikwete Akutumbue.

Baada ulipokuja Arusha uliingia katika mgogoro na aliyekua Mkurugenzi wa Jiji la Arusha Dr. Maden sababu ikiwa ni fidia ya 1.9 Bilioni ambazo ulilazimisha zilipwe wakazi wa Oloresho, Kata ya Olasiti, ili kupisha ujenzi wa kituo cha mabasi.

Dr. Madeni alipokataa na kuunda tume ya kupitia malipo hayo na kugundua kuna zaidi ya milioni mia 8 zilikua zimezidishwa tofauti na kiwango halisi cha Milioni 40 kwa heka ambapo wewe na genge lako mliweka milioni 80 kwa heka ndio vita yako ikaanzia hapo na kusababisha Mheshimiwa Rais kuwatumbua wewe na Mkurugenzi huyo.

Nimejikuta nikijiuliza maswali na kupelekea kukuandikia barua hii ili kujua TATIZO LAKO NI NINI NA WATUMISHI WENZAKO?

Malalamiko yako ya leo yamenifanya nikuandikie barua hii kukukumbusha mambo machache ukiwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha ambapo nafasi hiyo uliipata kwa figisu uliyomfanyia aliyekua Mkuu wa mkoa wa Arusha Felix Ntibenda na tarehe 18, Agost 2016 uliteuliwa nafasi hiyo. (Hili tuliache sina uhakika nalo.)

Mheshimiwa Mbunge Unakumbuka ule Mradi wa bodaboda 2017 hadi 2020 wewe na kikundi chako mlikusanya pesa kutoka kwa wadau kwa ajili ya kununua pikipki 200 ambazo thamani ya kila pikipiki moja ni shilingi 2,100,000/- Je uliunda kamati kwa mujibu wa Sheria? Je fedha hizo zipo wapi? Unakumbuka wakati wa kampeni ulisema pesa zipo bank kwenye acc maalum iliyopo NMB na mpaka sasa kimya.

Je, unakumbuka Ajali ya Luck Vicent? Unakumbuka ulikusanya zaidi ya Milioni mia tatu? Je, ni kamati gani ilikusanya pesa hiyo?

Unakumbuka mkopo wa wanawake 600 wa kiasi cha laki 2 kila mmoja na fedha hizo ulisema ulichanga kutoka kwa wadau, Je ni kamati gani ilisimamia zoezi hilo? Je fedha hizo zipo wapi?

Unakumbuka ujenzi wa msikiti wa Murieti? Pesa ilitoka kwa wadau je Kamati gani ilisimamia zoezi hilo?

Unakumbuka ugomvi wako na DC wa Jiji la Arusha wakati ukiwa RC kuhusu ununuzi wa Mabati feki 200 pale Murieti?

Je tuhoji juu ya Shule ya Mrisho Gambo ? Ujenzi wake ulifuata utaratibu? Kuipa shule jina kulifuata utaratibu?

Unakumbuka ujenzi wa soko la Samunge? Au tukukumbushe?

Unakumbuka timu ya Arusha United? Michango ya timu hiyo, Jinsi ilivyouzwa?

Unakumbuka nyumba za Polisi ambazo Mheshimiwa Rais Magufuli alikataa kutoa vyeti vya pongezi kwa wadau waliochangia baada ya kugundua kuna upigaji? Je kamati ya Michango ya ujenzi iliundwa kwa mujibu wa sheria?

Mheshimiwa mbunge, Wewe ni mtu wa maslahi na usipokua kwenye maslahi unafanya fitna. Wewe ni mtu ambaye hutaki kuona vijana wakifanikiwa katika nyanja ya Siasa. Bila aibu umemsema Katibu Mkuu wa UVCCM na ulishawahi sema utamshughulikia.

Leo nimekuona ukiwa na Diwani wa wa Sombetini ndugu Msangi, Huyo diwani ndiye uliyemtuma leo kazi ya kupiga picha ambazo umemwambia Mheshimiwa Waziri unazo na pia ndiye kaandaa watu wa kukushangilia wakati unaongea. (Planning Presentation)

Una nini na vijana? Juzi bungeni ulimshambulia Mbunge kijana Mheshimiwa Asia Halamga Mbunge wa Viti Maalum Manyara kwa tiketi ya Vijana.

Katika barua hii nakushauri upunguze kiburi cha Madaraka na kutengeneza migogoro isiyo na Afya, Msaidie Rais Samia Suluhu Hassan kujenga nchi. Rais anahubiri Amani na Umoja. Anapambana kutafuta Mshikamano wa Kitaifa wewe unatengeneza Migogoro.

Wacha leo niishie hapa siku ingine tukionana nitakwambia kwa kirefu.

_Ni mimi mtoto wa Mama Ntilie
Wa soko Kuu Arusha_
Ndio Tz walikuwa wapi sema haya hadi aseme yy kwanza
 
Wewe vipi? Hiyo mimba ya Magufuli utajifungua lini?? Naona inakutesa sana! Mada haihusiani kabisa na Magufuli lakini kwa sababu una mimba yake umeibuka kama fisi aliyeibuliwa toka kwenye pango!! Hahaha..
Kama mwaka umepita na sijajifungua sasa ujue kuwa Sina mimba ya Magufuli. Njoo na tusi jipya
 
Maswali uliyoyauliza, hayawezi kuwa ni tuhuma au uthibitisho wa uovu wa Gambo.

Take Note: ujana siyo sifa ya kuwa kiongozi au kutokuwa kiongozi. Ujana siyo uthibitisho wa kuwa msafi au mchafu.

Jenga hoja kwa kusimama katika msingi sahihi.
 
Back
Top Bottom