Barua ya wazi kwa Mrisho Gambo, ufisadi wako tunautambua

He should shut the fvck up sababu naye ni jizi.
Nimemsikiliza leo.
Nimeona hizo tuhuma amezitoa kwa chuki.
Amewachokoza majizi ..hakuna rangi ataacha kuons
 
Gambo hajawahi kuwa na sifa ya uadilifu hata mara moja! Gambo ni mtu mwenye hulka ya ubinafsi, wizi, utapeli, uchochezi na ni mwongo sana!
 
Nimemsikiliza leo.
Nimeona hizo tuhuma amezitoa kwa chuki.
Amewachokoza majizi ..hakuna rangi ataacha kuons
Ongeza popcorn tu tuendelee kuona majizi yakiparuana.
 
Kama si majungu, Je kuna ulazima wa kuwa na katiba mpyaaa ili tuweze kumuwajibishaaa..????
 
BARUA YA WAZI KWA MRISHO GAMBO

Asalaam Aleykum, Mheshimiwa mbunge wangu wa Arusha Mjini, kwanza nikupe pole kwa majukumu ya kututumikia wananchi wa Arusha mjini na pia najua utakua umechoka kwa ziara ya Mheshimiwa Waziri Mkuu hapa kwetu Arusha.
Kwa nini uyaseme haya leo?
 
Vipi mama ni mtu wa aina gani ?
Gabi si ni mkuu wa mkoa awamu hii?
 
hivi kwa nn mnatumia nguvu sana kuyanadi hayo mavyama yenu?kizuri chajiuza kibovu chajitembeza.tuache kuyanadi mavyama tuyaache yajinadi yenyewe au na sisi tuna maslahi ktk hayo mavyama?
Kuna sehemu hapa umeona nimekinadi chama au unawashwa[emoji848] tuu?,huna tofauti na niliemquote hapo juu,uzi unajieleza lakin nashangaa anaihusisha CHADEMA
 
Kiukweli nami limenishangaza, ko Gambo kuibua wizi ndo mtu unakuja kumuanika na wewe as if alichokiibua Gambo hakustahili kisa nae alikuwa anafanya wizi. Kwa hyo mwizi haruhusiwi kufichua waovu kisa nae ni mwizi. 😀😀
 
Makosa yake haywezi kutakasa makosa ya wengine wala kumzuia kuwalipua wengine
 
Mlikua wapi kutoa hizi tuhuma mpaka yeye kawawahi?
[emoji2957][emoji2957][emoji2957]Gambo kijukuu Cha mtume, hizo tuhuma zipogo tuu, lakini hawezekaniki. Na jana nimeinua mikono juu, mjj umetuliaaa, mshtuko ni mkubwa.
 
Nakusahihisha, Kihongosi hakuwahi kuwa dc wakati Gambo akiwa RC. Kihongosi alikuja Arusha baada ya Gambo kutumbuliwa. Kwa kukusaidia Gambo alikuwa Dc Arusha mjini nae ndo alimpiku aliekuwa mkuu wa mkoa wa hapa mheshimiwa F. Ntibenda
 
Ndio Tz walikuwa wapi sema haya hadi aseme yy kwanza
 
Wewe vipi? Hiyo mimba ya Magufuli utajifungua lini?? Naona inakutesa sana! Mada haihusiani kabisa na Magufuli lakini kwa sababu una mimba yake umeibuka kama fisi aliyeibuliwa toka kwenye pango!! Hahaha..
Kama mwaka umepita na sijajifungua sasa ujue kuwa Sina mimba ya Magufuli. Njoo na tusi jipya
 
Maswali uliyoyauliza, hayawezi kuwa ni tuhuma au uthibitisho wa uovu wa Gambo.

Take Note: ujana siyo sifa ya kuwa kiongozi au kutokuwa kiongozi. Ujana siyo uthibitisho wa kuwa msafi au mchafu.

Jenga hoja kwa kusimama katika msingi sahihi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…