Barua ya wazi kwa Mzee Bakhresa, Gharib wa GSM na Mo Dewji: Wakati mkiwekeza katika michezo, isaidieni jamii pia kwenye mambo mengine ya maana

Tofautisha kusaidia watu kwa kuwapa hela ya kula na kusaidia kwa kuwajengea capacity.
Kwani Bakhresa kajenga shule, vyuo, veta au hospitali ya maana ipi nchini?
 
Tafuta hela wewe acha kupangia watu watumieje pesa zao. Kwa taarifa yako Mo anafadhili mpaka wanafunzi vyuo vikuu.
Bahkresa Kila ikifika sikukuu ya IDD watu kibao wanajazana nyumbani kwake masaki wanasubiria msaada!
 
Tofautisha kusaidia watu kwa kuwapa hela ya kula na kusaidia kwa kuwajengea capacity.
Kwani Bakhresa kajenga shule, vyuo, veta au hospitali ya maana ipi nchini?
Ni hIvi Kujenga, shule, Hospital, vyuo! Veta asifanye tena, namshauri asifanye ivo una vodhania weye!! anapoweza ni kutoa hayo anayo yafanya sasa! yeye ajenge tu, viwanda km alivo sasa yuko sahihi sana! mwishowe utasema kwa nini asijenge Africa yote!! mnaanzaga polepole km hivi!

usinge ujua msaada wake bila yeye kutoa hiyo misaada. sasa unataka zaidi! ndo mlivyo watu! unamsahihisha kwa kile unachoona weye ni bora kwako! hivyo vyuo vyooote,shule, hosp, jamani kila mkoa bado hutosheki tu! hizo unazo taja weye ni kazi za serikali!

Bakhresa anaandaa ajira! za wasomi! kwa kila nyanja wazalishe mali viwandani vya madawa, pembejeo,kalamu, chaki! mafuta nkhizi akili za wapi umelewa nini kijana!

Haya hao wafaulu wako watafanya nini km kazi hakuna???!! lazima aweke viwanda zaidi ili hao wahitimu wapate ajira, Miviwanda si ndo hiyooo! huko shuleni mtasomea nini km Madaftari,misumari, misumeno yakutengeneza madawati hakuna? hizo Hospital zitatoa wapi dawa? vitendea kazi? jibu; ni viwandani!

sasa km ni viwandani si ndo ivo kazi anazo fanya? hata hao wagonjwa/wafanyakazi/wanafunzi /waalimumashuleni,vyuoni wanahitaji lishe? km mikate , chapati, juice maji safi ili wasome vyema? ndo hayo sasa, maana analima na

kuwatengenezea Mikate bei rahisi! sabuni/usafiri/maji safi/michezo mburudike baada ya kazi/ngano safi/sembe, mpate pombe wewe bado hujaridhika tuuu!! tena kabisaaa unasema ajenge shtuureeee!! pwiii!
 
Nimejitahidi kusoma mara mbilimbili ila ninachokiona hapo hoja yako ni namba 2 hizo zingine ni wasindikizaji.
 
Subiri siku ya hukumu (kiyama) ndiyo utajua hujui [emoji12][emoji12]
Wewe siku ya kiyama umeshaiona ama unatishwa na mafundisho unayolishwa.
Mbona wao hawakuogopa kiyama walituuza na wakatuibia Mali zetu ama kiyama kipo kwa masikini tu jamani ambaye ni mwafrika
 
Hao GSM ukiacha maduka yao na uwekezeji mwingine ukiwa unasafiri kila dakika lazima upishane na truck za GSM, maana yake madereva wengi wamekula shavu hapo.
Ndo sijamuelewa huyo mleta mada, sijui anatakaje aisee.
 
Hilo ni jambo zuri lakini shule, vyuo, hospitali ni mambo mazuri pia
Hauwezi kulazimisha kipaumbele chako kiwe ndio cha Bakhresa. Hata hivyo wewe umechangia madawati mangapi kwenye elimu?Au uliwahi hata kununua fagio moja ukapeleka shuleni?
 
Mnawaonea bure Mo,GSM,Bakresa.Kwanza tuwashukuru kujitokeza hadharani.Simba,Azam,Yanga ni moja ya uwekezaji na heshima kwa Watanzania.Kuna watu Wana miela mingi lakini hawajitokezi wanasaidia familia zao.Mwafikiri hao ndugu Wana mafuriko sana ya ela? Morogoro/Dodoma/Mwanza/Kagera/Arusha kwa bilionea nk mbn hamuwasakami?
 
Hao wote uliwataja wametoa ajira

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…