Tofautisha kusaidia watu kwa kuwapa hela ya kula na kusaidia kwa kuwajengea capacity.
Kwani Bakhresa kajenga shule, vyuo, veta au hospitali ya maana ipi nchini?
Ni hIvi Kujenga, shule, Hospital, vyuo! Veta asifanye tena, namshauri asifanye ivo una vodhania weye!! anapoweza ni kutoa hayo anayo yafanya sasa! yeye ajenge tu, viwanda km alivo sasa yuko sahihi sana! mwishowe utasema kwa nini asijenge Africa yote!! mnaanzaga polepole km hivi!
usinge ujua msaada wake bila yeye kutoa hiyo misaada. sasa unataka zaidi! ndo mlivyo watu! unamsahihisha kwa kile unachoona weye ni bora kwako! hivyo vyuo vyooote,shule, hosp, jamani kila mkoa bado hutosheki tu! hizo unazo taja weye ni kazi za serikali!
Bakhresa anaandaa ajira! za wasomi! kwa kila nyanja wazalishe mali viwandani vya madawa, pembejeo,kalamu, chaki! mafuta nkhizi akili za wapi umelewa nini kijana!
Haya hao wafaulu wako watafanya nini km kazi hakuna???!! lazima aweke viwanda zaidi ili hao wahitimu wapate ajira, Miviwanda si ndo hiyooo! huko shuleni mtasomea nini km Madaftari,misumari, misumeno yakutengeneza madawati hakuna? hizo Hospital zitatoa wapi dawa? vitendea kazi? jibu; ni viwandani!
sasa km ni viwandani si ndo ivo kazi anazo fanya? hata hao wagonjwa/wafanyakazi/wanafunzi /waalimumashuleni,vyuoni wanahitaji lishe? km mikate , chapati, juice maji safi ili wasome vyema? ndo hayo sasa, maana analima na
kuwatengenezea Mikate bei rahisi! sabuni/usafiri/maji safi/michezo mburudike baada ya kazi/ngano safi/sembe, mpate pombe wewe bado hujaridhika tuuu!! tena kabisaaa unasema ajenge shtuureeee!! pwiii!