MGOGOHALISI
JF-Expert Member
- Apr 16, 2011
- 3,294
- 4,920
Tafuta hela wewe acha kupangia watu watumieje pesa zao. Kwa taarifa yako Mo anafadhili mpaka wanafunzi vyuo vikuu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watanzania wengi wanafikiri kusaidia jamii yako hadi uwe na mamillion kama kina Mo au Bakhresa.msaada unaanza na wewe, anza kusaidia kwanza jamii yako ndo uanze kupangia wengine.
Ni kweliMimi najua bwana Mohamed ana Mo Foundation
Hana akiLi uyuNaona umeleta Udini tena kwani hizo bidhaa wananunua waislamu pekee
Maisha ya Akhera nayo muhimu piaUna udini sana sana ww jamaa
Gazeti reeefu halafu pumba tupu, hujui ulichokiandika wala hujafanya utafiti.Ndugu Gharib, Mzee Bakhresa na Mo Dewji
Amani ya Mwenyezi Mungu iwe nanyi
Nichukue fursa hii kukupongezeni kwa jitihada zenu za kuinua michezo, hakika uwekezaji wenu utasaidia kuinua michezo nchini, kutoa ajira kwa vijana wetu wanaoshiriki ligi n. k
Lakini pamoja na hayo, naomba niongee na nyie mambo yafuatayo:
1. Hebu sasa isaidieni jamii kuwekeza kwenye mambo mengine ya msingi zaidi
Siwapangii namna ya kutumia pesa zenu, lakini je mnalionaje wazo la nyinyi kusaidia mambo ya maana zaidi kuliko hii mipiramipira?, Kwa mfano mnaonaje mkitengeneza makampuni ya uwezeshaji vijana wetu kwa kufinance startups zao?, kutengeneza funds mbalimbali za kusidia wenye uhitaji kama vile Yatima, Vikongwe n. k?
2. Saidieni Waislamu wajinyanyue kielimu
Nyinyi ni matajiri wa kiislamu, na jamii ya waislamu wenzenu iko nyuma sana kielimu, Takwimu zinaonyesha wazi katika madhehebu ya dini yanayoongoza kwa umiliki mdogo wa shule na mifumo ya huduma za jamii ni Waislamu, pia wako wachache vyuoni na katika ajira rasmi za serikali. Sasa nyie kama waislamu mliobarikiwa, Mnawasaidiaje Waislamu wenzenu kujikwamua kielimu?
Maana naona mipesa mingi mnaiingiza katika mpira. Je, vipi Waislamu wenzenu mnawasaidiaje? Na nyie tengenezeni Ahera yenu, pamoja na kuwekeza katika hii "michezomichezo" ya duniani, hebu wekezeni na ahera kwa kuinua waislamu wenzenu!
3. Ongezeni investment katika nyanja zinazoweza kutoa ajira zaidi kwa wananchi wa chini
Sina wasiwasi na uzalendo wenu, lakini naamini mna potential ya kuinvest kwenye sekta zinazoweza kugusa maisha ya wananchi wetu wengi, hii mipesa mnayomwaga kwenye mpira, kwanini msifikirie pia kufanya kilimo, tena kufanya kilimo. kwa kulenga watu wetu masikini? What if msianze kutafutia watu wetu masoko huko nje? What if msiweke dhamira ya kupanua ununuzi wa mazao ya wakulima zaidi? Nafahamu kuwa Mzee Bakhresa na Mo wanafanya kilimo ktk hatua kadha wa kadha, lakini hapa nazungumzia kilimo strategic kwa ajili ya kuwainua wakulima wadogowadogo na kutia ajira kwa vijana wetu.
Mwisho kabisa ningependa kumalizia kwa kusema kuwa, SIWAPANGII namna ya KUTUMIA PESA YENU lakini mimi kama mwanadamu na Mtanzania naona kuwa wakati mkiwekeza kwenye Mpira mbona hamuwekezi na kwenye mambo mengine ya maana zaidi kuliko mpira?
Ziko wapi universities, Au State of art schools, Au hospitali za maana mnazojenga nchini?
Ziko wapi investments za kumuinua mtu wa chini kwa kumjengea capacity?
Na pia mbona hamuinvest vya kutosha kusaidia waislamu wenzenu kielimu na kiuchumi?
Hayo tu!
Assalam aleikum
Hao GSM ukiacha maduka yao na uwekezeji mwingine ukiwa unasafiri kila dakika lazima upishane na truck za GSM, maana yake madereva wengi wamekula shavu hapo.Daah we jamaa yale maviwanda ya bakhressa yako zaidi ya 3 dar pale tena yako barabarani tu na ajira zake waala sio kazi kupata na vijana kibao wako pale wanapiga job.
Wewe uko wapi huko unakosema hawa jamaa hawajawekeza kwenye sekta zinazowapa ajira watanzania. Wana magari na viwanda vilivyoajiri wajuzi na wasowajuzi, achana na huko hata hiyo sekta ya michezo watu kibao wamelamba kazi huko.
Wabongo tupunguze chuki kwa waliofanikiwa, hii kitu ni mbaya mno na inazidisha umaskini. Yaani huoni faida ya kitu mpaka kikuguse wewe moja kwa moja, unahisi hizo Billion 2 ni nyingi kuliko maviwanda, usafirishaji na biashara walizofungua hao jamaa.
Jifunze kuappreciate hata kama hizo pesa hutaramba hata mia kijana.
Mkuu wewe pigana nawe uwasaidie.na wewe ni binadamu. Usiwe unategemea kusaidiwa bali tegemea kusaidia na wewe ama wewe sio binadamu.Ndugu Gharib, Mzee Bakhresa na Mo Dewji
Amani ya Mwenyezi Mungu iwe nanyi
Nichukue fursa hii kukupongezeni kwa jitihada zenu za kuinua michezo, hakika uwekezaji wenu utasaidia kuinua michezo nchini, kutoa ajira kwa vijana wetu wanaoshiriki ligi n. k
Lakini pamoja na hayo, naomba niongee na nyie mambo yafuatayo:
1. Hebu sasa isaidieni jamii kuwekeza kwenye mambo mengine ya msingi zaidi
Siwapangii namna ya kutumia pesa zenu, lakini je mnalionaje wazo la nyinyi kusaidia mambo ya maana zaidi kuliko hii mipiramipira?, Kwa mfano mnaonaje mkitengeneza makampuni ya uwezeshaji vijana wetu kwa kufinance startups zao?, kutengeneza funds mbalimbali za kusidia wenye uhitaji kama vile Yatima, Vikongwe n. k?
2. Saidieni Waislamu wajinyanyue kielimu
Nyinyi ni matajiri wa kiislamu, na jamii ya waislamu wenzenu iko nyuma sana kielimu, Takwimu zinaonyesha wazi katika madhehebu ya dini yanayoongoza kwa umiliki mdogo wa shule na mifumo ya huduma za jamii ni Waislamu, pia wako wachache vyuoni na katika ajira rasmi za serikali. Sasa nyie kama waislamu mliobarikiwa, Mnawasaidiaje Waislamu wenzenu kujikwamua kielimu?
Maana naona mipesa mingi mnaiingiza katika mpira. Je, vipi Waislamu wenzenu mnawasaidiaje? Na nyie tengenezeni Ahera yenu, pamoja na kuwekeza katika hii "michezomichezo" ya duniani, hebu wekezeni na ahera kwa kuinua waislamu wenzenu!
3. Ongezeni investment katika nyanja zinazoweza kutoa ajira zaidi kwa wananchi wa chini
Sina wasiwasi na uzalendo wenu, lakini naamini mna potential ya kuinvest kwenye sekta zinazoweza kugusa maisha ya wananchi wetu wengi, hii mipesa mnayomwaga kwenye mpira, kwanini msifikirie pia kufanya kilimo, tena kufanya kilimo. kwa kulenga watu wetu masikini? What if msianze kutafutia watu wetu masoko huko nje? What if msiweke dhamira ya kupanua ununuzi wa mazao ya wakulima zaidi? Nafahamu kuwa Mzee Bakhresa na Mo wanafanya kilimo ktk hatua kadha wa kadha, lakini hapa nazungumzia kilimo strategic kwa ajili ya kuwainua wakulima wadogowadogo na kutia ajira kwa vijana wetu.
Mwisho kabisa ningependa kumalizia kwa kusema kuwa, SIWAPANGII namna ya KUTUMIA PESA YENU lakini mimi kama mwanadamu na Mtanzania naona kuwa wakati mkiwekeza kwenye Mpira mbona hamuwekezi na kwenye mambo mengine ya maana zaidi kuliko mpira?
Ziko wapi universities, Au State of art schools, Au hospitali za maana mnazojenga nchini?
Ziko wapi investments za kumuinua mtu wa chini kwa kumjengea capacity?
Na pia mbona hamuinvest vya kutosha kusaidia waislamu wenzenu kielimu na kiuchumi?
Hayo tu!
Assalam aleikum
Naona pia GSM wanaingiza mabati yao sokoniHao GSM ukiacha maduka yao na uwekezeji mwingine ukiwa unasafiri kila dakika lazima upishane na truck za GSM, maana yake madereva wengi wamekula shavu hapo.
Exactly, hapo ni mbinu ya kutangaza biashara zao.Hao kuwekeza kwenye michezo ni sawa na kwenda kulipia tangazo kwenye vyombo vya habari, sio kwamba wanasaidia michezo, ni wanainua biashara zao kupitia matangazo
Subiri siku ya hukumu (kiyama) ndiyo utajua hujui [emoji12][emoji12]Udini haukusaidii kitu mzee
Wewe umeielewa vizuri mada hii.Inapendeza pia kuona wamewekeza katika huduma za kijamii unapita sehemu unakutana na Azam secondary school, Mo hospital, GSM University ilimradi lengo la huduma hizo ziwe ni huduma kwa wasio jiweza zisigeuzwe biashara.