Missile of the Nation
JF-Expert Member
- May 24, 2018
- 15,101
- 56,054
- Thread starter
-
- #61
Waliletwa kinyume cha sheria, wakashikiliwa kinyume cha sheria, na wameachiwa bila ushahidi wowote wa kuwatia hatiani.Kilichofanyika USA kwa kuwapeleka Guantanamo washukiwa wa ugaidi wa Alqaeda ni sawa na kilichowaleta Tanzania bara washukiwa wa ugaidi wa Uamsho. Mahakama ya Tanzania haina jurisdiction kwenye makosa yanayofanyika ardhi ya ZNZ kwa kuwa ZNZ ina Mahakama yake.
Mahakama ya Rufaa pekee ndiyo suala la Muungano.
Nadhani unafahamu vizuri kuwa suala la kubambikizia watu kesi lipo, hata Samia amewahi kulizungumzia hilo.Siku moja ukiwa Rais ndiyo utajua...
Hapa unapoteza muda. Hata akikwambia itakusaidia nini wakati si rais tena?Mzee Jakaya!
Shikamoo mzee, nakusalimia kwa jina la Jamhuri ya muungano wa Tanzania
Naomba nikupe taarifa tu kuwa jela kuna Masheikh zaidi ya 150 , na wengi wao waliwekwa ndani kipindi cha utawala wako. Hivi mzee ulikuwa unafikiria nini kwa mambo haya?
Binadamu ubadilika, kwani Sheikh Ponda unafikiri hana matamanio? Mbona kuna Waislam wengi tu wanamponda Sheikh Ponda sembuse JK, gaidi ni gaidi tu.Nakumbuka Mzee Mohamed Said aliwahi kueleza namna sheikh Ponda na wenzake walivyozunguka nchi hii kumpigania JK mwaka 2010........hii nchi dini na siasa zimejaa wasanii.
Na huo ndo ukweli kwa asilimia mia!Hilo ni tatizo la dunia,dunia nzima inaamini kuna uhusiano kati ya uislam na ugaidi
Sasa hv unaandika kwa amani kabisa huku umechanua miguu....Mzee Jakaya!
Shikamoo mzee, nakusalimia kwa jina la Jamhuri ya muungano wa Tanzania
Naomba nikupe taarifa tu kuwa jela kuna Masheikh zaidi ya 150 , na wengi wao waliwekwa ndani kipindi cha utawala wako. Hivi mzee ulikuwa unafikiria nini kwa mambo haya?
Hivi unajua kuwa kama baadhi ya hao jamaa wasingewekwa ndani upande wa Pwani wote ungekuwa na makundi kama yale ya Somalia na yale ya Msumbiji?Naona wachangiaji wanaconclude kuwa Masheikh ni Magaidi lakini leo wako ndani mwaka wa 8 na hakuna Ushahidi ulioletwa mahakamani wa kuwatia hatiani.
Hii precedence ya kukubali tu baadhi ya watu kumbikiziwa kesi za Ugaidi, kuwanyanyasa bila ushahidi wa uhusika wao, kamwe haitoishia kwa hawa waislamu, Wapo watu watakuja kubambikiziwa kesi za hivihivi na tutakosa moral authority ya kuwatetea kwa sababu zamani tulishaunga mkono raia wengine kubambikiziwa kesi za aina hii kwa sababu tu ya hisia za Udini wetu.
Leo tutanzaje kuwatetea akina Adamoo, wakati at the same time tunaunga mkono wengine kuwekwa ndani bila ushahidi wa ugaidi?
Huu Ukimya wa Waislamu ni juhudi za makusudi na mkakati maalum wa System wa kuwanyamazisha ili waufyate kwa sababu by nature waislamu siyo watu wa kukaa kimya hasa kwenye mambo ya maslahi ya dini yao. Nadhani unakumbuka vizuri harakati za waislamu kipindi cha Mwinyi na Mkapa..ukimya wa Waislamu na Watanzania kwa ujumla kuhusu suala la Mashekhe wa Answar Sunna unahuzunisha.
..Hivi nikisema Watanzania tuna uwezo mkubwa wa kuvumilia dhuluma na ukatili wa watawala wetu nitakuwa nimekosea?
Kwahiyo wewe umewaona mashehe tu?Mzee Jakaya!
Shikamoo mzee, nakusalimia kwa jina la Jamhuri ya muungano wa Tanzania
Guantanamo ndiyo jela anayo stahili kufungiwa Makonda na SabayaBwana "Kombora la Taifa" labda nikwambie tu, kuna wakati mambo ya Dola na usalama wa nchi huwa ni magumu sana kuyaletea ushabiki.
Wangekuwa ni viongozi wa CDM tungesema. JK ni CCM anakandamiza CDM, wangekuwa ni wakristo tungesema JK Muislamu anakandamiza Ukristo, wale ni masheikh wa kiislam na JK ni muislam naamini lipo jambo ambalo kuna wakati raia hatupaswi kuhoji bali kuamini tu Dola inatenda sawa kutulinda..
Wale wahuni wa mkulanga, Tanga na kule kibiti wengine informers wao na supplier + coordinators wao tulikuwa tunaishi nao mtaani kuwatarget na kuwatia mkononi ni kazi ya Dola kimyakimya.
Si ajabu leo hii ukiwekewa hadharani ya bwana mabunduki pale french embassy unaweza kustaajabu lakini inabaki kuwa taarifa za dola.
Kupatikana kwa Osama Bin laden na kuuwawa kulitokana na taarifa kutoka kwa mtoto mchunga kondoo kule tora bora wakati tena mambo yameshapoa. U-smart wa akili wa wale USA uliwafanya kutomdharau yule dogo na baadaye kuishia kumtesa guatanamo kupata proper lead.
Siyo wooteKwani haya mambo hayajaisha tu bado?
Si walishaachiwa huru au wamekamatwa tena?
Unajuwaje siyo shuushuushuu?Response yako ni makini sana, ni dhahiri wewe umeiva kwenye Nyanja ya USHUSHUSHU!
Unajwaje kama siyo ndugu wa watuhumiwa?Pilipili using ila inakuwashia nini? Wenyewe wako kimya,
Huyo ndiye msaidizi wa ZZK
Akili za kuokotezaUkiwa kiongizi wa kisiasa huwezi kuwa na dini!
ndiyo maana baada ya hao mashehe kukamatwa zanzibar ikatulia tindikali ikamaliza kazi ya kutesa watu bado tu hupati jibu basi utakuwa mbishi tuBwana "Kombora la Taifa" labda nikwambie tu, kuna wakati mambo ya Dola na usalama wa nchi huwa ni magumu sana kuyaletea ushabiki.
Wangekuwa ni viongozi wa CDM tungesema. JK ni CCM anakandamiza CDM, wangekuwa ni wakristo tungesema JK Muislamu anakandamiza Ukristo, wale ni masheikh wa kiislam na JK ni muislam naamini lipo jambo ambalo kuna wakati raia hatupaswi kuhoji bali kuamini tu Dola inatenda sawa kutulinda..
Wale wahuni wa mkulanga, Tanga na kule kibiti wengine informers wao na supplier + coordinators wao tulikuwa tunaishi nao mtaani kuwatarget na kuwatia mkononi ni kazi ya Dola kimyakimya.
Si ajabu leo hii ukiwekewa hadharani ya bwana mabunduki pale french embassy unaweza kustaajabu lakini inabaki kuwa taarifa za dola.
Kupatikana kwa Osama Bin laden na kuuwawa kulitokana na taarifa kutoka kwa mtoto mchunga kondoo kule tora bora wakati tena mambo yameshapoa. U-smart wa akili wa wale USA uliwafanya kutomdharau yule dogo na baadaye kuishia kumtesa guatanamo kupata proper lead.
Umetumwa na ZZK tunakujua weweLinapokuja suala kama hili wengi hapa JF huwa hawako sympathetic na Waislamu, sijui kwa nini!
Huwezi kuona hoja za Ulinzi na usalama zikiapply kwa kesi ya Mbowe, huwa tunaconclude kuwa Mbowe kaonewa. Ila kwa Masheikh huwa tunasema serikali "inalinda" nchi dhidi ya ugaidi