Barua ya wazi kwa ndugu, jamaa na watanzania kwa ujumla baada ya kupata vitisho vya kuniteka, kuniuwa na kunipoteza

Najua humu Jf Kuna ma great thinkers wengi Sanaa watakusaidia kukuweka sawa

Nilifanya kautafiti kadogo na Mara zote nimegundua yafuatayo kuhusu mdude chadema.

*Mdude huwa ana tumia lugha ngumu (matusi) kukosoa watawala .
*Serikali Mara zote zimekua na ziliamua kumpuuza period japo amewai kupewa kashi kashi kidogo

Mapendekezo.
*Mdude chadema anaweza kua mtu mzuri na mzalendo Sana asikilizwe na apewe nafasi mfano atafutiwe position mfano. Kuwa msimamizi wa projects hata moja mfano kilimo au ufugaji au mradi wowote wa serikali ikiwezekana apewe hata u DC nguvu anazozitumia huku na nguvu anazo tumia huku akazitumie huko kwenye hio kazi tuonee
*Kama mdude chadema haku uwawa kipindi Cha JK,JPM na Sasa mama Samia wampuuze maana debe tupu haliachi kuvuma.

Wasalaam.
 
Hivi ulisikiliza ile hotuba amesema kachomeza mashushushu wanaompa taarifa? Sasa wale wale mashushushu wanaochukua taarifa wengine kwa huruma zao binafsi wametoboa mkeka akili kichwani
Shushushu ampe taarifa domokeka ambae hana cheo, na wala hakuwahi kuwa hata na cheo chochote huko chamani kwake!!

Ama kweli upumbavu ni ugonjwa unaoandama vijana wengi Tanzania. Acha aendelee kuwadanganya wapumbavu wake tu huku mitandaoni.
 
Ndugu za Samia&Co wameisha mpaka akapewe huyu?
 
Hivi ulisikiliza ile hotuba amesema kachomeza mashushushu wanaompa taarifa? Sasa wale wale mashushushu wametoboa mkeka
Shushushu ampe taarifa domokeka ambae hana cheo, na wala hakuwahi kuwa hata na cheo chochote huko chamani kwake!!

Ama kweli upumbavu ni ugonjwa unaoandama vijana wengi Tanzania. Acha aendelee kuwadanganya wapumbavu wake tu huku mitandaoni.
Unadharau Mwiba kumbe haya subiria kuota Matende
 
Kama chama chake tu chenyewe kinamtumia bila kumpa cheo chochote chamani, unategemea huku kwenye serikali ndio atapata kweli.

Mdude angekuwa wa Kaskazini saa hizi angekuwa ashaukwaa hata unaibu katibu mkuu bara. Ila kwa vile ni wa Mbeya basi acha atumiwe tu kupiga kelele kila siku kama wanavyotumiwa wana Mbeya wenzake kuandamana, kutukana serikali nk ili kuwasafishia njia kina Mbowe, Mnyika, Lema nk ambao sio wa kanda yao.
 
Pole sana, ila aliyekupa hizo taarifa unamuamini mkuu?!
 
Hata mimi sishauri wamuue,apewe tu u-Dc
 
HAJAPUUZWA BADO WANAMFUATILIA WAMUUWE. ALISHAPONA BEFORE MATESO. HUYU JAMAA ANA MOYO WA CHUMA SERIKALI INAJUA HILO.
 
KIMYA WEWE
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…