Barua ya wazi kwa ndugu, jamaa na watanzania kwa ujumla baada ya kupata vitisho vya kuniteka, kuniuwa na kunipoteza

Wewe ni kichaa siyo bure!!
 
Shemu
 
Sehemu salama ya mtu kama huyu ni kukamatwa na kuwekwa ndani mpaka huyo msamalia mwema aliyemtonya amtaje na adhibutishe tuhuma hizi. Mnachafua nchi aisee. Hivi nchi ikichafuka watoto wenu, wajomba, nk wataishi wapi? Hamuoni yanayotokea gaza, ukraine, lebaboni?? Common
 
Huyu mwanaharakati sijui ni kiongozi gani mweka kwake. Utawala bora upi anautaka wakati mana kawapa kika kitu ikiwemi uuhuru wa kufanya siasa wao wanaishia kutukana, kugomba na kulalamika. Tunahitaji wanaharakati walio na uchungu na nchi na sio vyama vyao.
 
Huwa huna cha kufanya ,tangu 2014 wewe ni kutukana watu hata walikuuwa sisi hatuna tulichobakisha kwenye kuonya na kushauri.

Umemtukana ana Samia leo unalialia tena na huyu Samia alijutia jela

USSR
Tumemuonya sana aache kutukana ajikite kwenye kumwaga sera za chama chake, lakini wapi. Yeye kila kukicha ni kutukana tu. Sasa anataka sisi tumwonee huruma ya nini? Anadhani tutakosa marusi yake?
 
Sanasana unatafuta tu kiki.Huna lolote la maana katika nchi hii mpaka Rais samia akufuatilie.
 
Huwa huna cha kufanya ,tangu 2014 wewe ni kutukana watu hata walikuuwa sisi hatuna tulichobakisha kwenye kuonya na kushauri.

Umemtukana ana Samia leo unalialia tena na huyu Samia alijutia jela

USSR
Kwani hakuna sheria ya kumshitaki mpaka awekwe? Basi muvilaza nyote huko ccm.
 
Tumemuonya sana aache kutukana ajikite kwenye kumwaga sera za chama chake, lakini wapi. Yeye kila kukicha ni kutukana tu. Sasa anataka sisi tumwonee huruma ya nini? Anadhani tutakosa marusi yake?
Kwani hakuna sheria ya kumshitaki kama ametukana mpaka mumteke? Basi muvilaza sana huko ccm.
 
Ben saa8 ilikuwaje????
Nae alikuwa anaongea hivi hivi kuwa anatishwa.
So mwache mdude achukue tahadhari.
 
Hajui kwamba itafika mahala watu wanakuchoka? Hajiulizi Kwa nini yeye tuu?
Unaishi wapi wewe hadi useme "yeye tuu"? Hujui kwamba watu wametekwa na wengine kuuawa?

Mdude kisha jiwekea tahadhari. Akipotea tu, itajulikana ni kazi ya hao alio wataja; hata kama watakuwa siyo wenyewe wahusika.
 
Hivi ulisikiliza ile hotuba amesema kachomeza mashushushu wanaompa taarifa? Sasa wale wale mashushushu wanaochukua taarifa wengine kwa huruma zao binafsi wametoboa mkeka akili kichwani
Nani wa kumpa taarifa huyo?
 
Copy ya barua umeshawapelekea na wazungu ??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…