Barua ya wazi kwa Rais Samia Suluhu Hassan kuhusu hali ya haki jinai nchini

Hivi hawa wanaharakati wa haki za binadamu kwa nini hawakemei kwa uwazi sheria hizi? Kama wanaogopa na kwa kweli inatisha kwa nini hawayataarifu mashirika ya kimataifa ya haki za binadamu kuzipigia kelele sheria hizi?
Ungesoma ripoti zao za kila mwaka (na ya mwaka huu pia imeshatoka) halafu ndipo ungepost maoni yako. Kama hujasoma, then hiyo siyo njia sahihi ya kutoa maoni wakati jambo lenyewe hulijui lilivyo.
 
Ungesoma ripoti zao za kila mwaka (na ya mwaka huu pia imeshatoka) halafu ndipo ungepost maoni yako. Kama hujasoma, then hiyo siyo njia sahihi ya kutoa maoni wakati jambo lenyewe hulijui lilivyo.
Sasa toa dira na siyo kuwaacha watu kwenye mataa. Summarize hizo report zinasemaje kuhusu kupinga ukiukwaji wa haki za binadamu na kikwazo ni nini kutumia au kushirikisha mashirika ya kimataifa katika kupinga sheria kandamizi?
 
Bro baraka zikufikie ulipo.

Umeandika mambo mazito sana ambayo pamoja na kwamba wengi wanayajua ila wengi hawana ujasiri wakuyaweka wazi kama ulivyoeleza ila ukweli ndo huo ila kupitia wewe wengi watapona.

Nimatumaini yangu Mkuu atayafanyia kazi.

Big up.
 
Inasikitisha mno juu ya mfumo wa haki hapa Tanzania.

Mabadiliko ya mfumo yasipuuzwe.

Namuunga mkono kaka Tito.

Umeliandaa vizuri sana, Mungu asaidie muhusika afanye jinsi ya kuondoa Ushetani huu ambao hata hausemeki.
 
'Ni rahisi kwa ngamia kupenya kwenye tundu la sindano kuliko tajiri kuingia ktk ufalme wa Mungu'
Utajiri unoongelewa hapa ni pamoja na mamlaka, nafasi mbalimbali za uongozi ktk jamii.
 
Asante sana mpiganaji.
 
Inasikitisha mno juu ya mfumo wa haki hapa Tanzania.

Mabadiliko ya mfumo yasipuuzwe.

Namuunga mkono kaka Tito.

Umeliandaa vizuri sana, Mungu asaidie muhusika afanye jinsi ya kuondoa Ushetani huu ambao hata hausemeki.
AMEN
 
Kigeu geu kama kawaida yako ya mnafiki wewe! Kumtetea dhalimu na muuaji magufuli kila kukicha! Halafu hapa umepinduka 180 degrees!!! Wanafiki kama wewe ni hatari sana kwa mustakabali wa Tanzania.
Hili andiko ni bora sana.

Yanahitajika mageuzi makubwa mno. Ikibidi kiwepo chombo huru cha kufatilia haki za mahabusu.

Bora zitungwe sheria kali kwa wataobainika kuvunja hayo wasiyopenda lakini si kuumiza watu.

Pole sana Tito
 
Ungesoma ripoti zao za kila mwaka (na ya mwaka huu pia imeshatoka) halafu ndipo ungepost maoni yako. Kama hujasoma, then hiyo siyo njia sahihi ya kutoa maoni wakati jambo lenyewe hulijui lilivyo.
Utamaduni wa kutokusoma unatutafuna. Hatufuatilii masuala hadi tuyasikie upande wa pili. Ni muhimu sana kufahamu nani anafanya nini, katika nini, kwa mfumo upi, wapi na kwa nini!
 
Hili andiko ni bora sana.

Yanahitajika mageuzi makubwa mno. Ikibidi kiwepo chombo huru cha kufatilia haki za mahabusu.

Bora zitungwe sheria kali kwa wataobainika kuvunja hayo wasiyopenda lakini si kuumiza watu.

Pole sana Tito
 
Maandiko vinasema haki uinua taifa. Nadhani maombi ya Mama katika mwezi huu mtukufu yatapata kibali zaidi kama atayashughulikia haya kwa dhati kabisa.
 
Chanzo na msingi mkuu wa yote yaliyoandikwa ni uwepo wa katiba ya ajabu tanzania kwenye karne ya 21. Angalia kenya mchakato wa kumpata jaji mkuu. Uangalie na uteuzi wa jaji mkuu tanzania.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…