Barua ya wazi kwa Rais Samia Suluhu Hassan kuhusu hali ya haki jinai nchini

Sasa toa dira na siyo kuwaacha watu kwenye mataa. Summarize hizo report zinasemaje kuhusu kupinga ukiukwaji wa haki za binadamu na kikwazo ni nini kutumia au kushirikisha mashirika ya kimataifa katika kupinga sheria kandamizi?
Ripoti hizi ziko mtandaoni, haziuzwi (unaweza kupata nakala zake LHRC), ziko kwa vyombo vya habari na kwa ofisi na wadau mbalimbali. Mimi huwa napakuwa za kwangu mtandaoni na zingine zilinisaidia sana kwenye dissertation yangu ya LLB. Kama uko interested pakua na wewe na uanze kuzisoma. Unaweza kuanza na ya mwaka huu.
 
Wote tunajua ziko huko na hapa tunajadiliana, hivyo unapaswa kueleza in a nutshell nini ulielewa na siyo kutwambia tukasome huko!
 
Kigeu geu kama kawaida yako ya mnafiki wewe! Kumtetea dhalimu na muuaji magufuli kila kukicha! Halafu hapa umepinduka 180 degrees!!! Wanafiki kama wewe ni hatari sana kwa mustakabali wa Tanzania.
Mkuu huyu ni kilaza tulishamzarau msamehe
 
Kuna watu wana roho za kishetani, sasa sijui wakifa wakageuka kuwa mizuka watakuwa ni mizuka yenye dhoruba kiasi gani!

Mwenyenzi Mungu ampe Mh. Rais Samia hekima na ufahamu wa kutatua haya.

Iko siku tutaacha kuuziwa na kudhulumiwa haki
 
Hivi Tito Magoti ningependekeza andika kama hili liandike sehemu nyingi ili angalau lienee sana nchini.

Hili andiko bora kwa mwaka huu. Wakati ni huu wa kulifikisha mbali haya uliyoyandika. Tukisubiri wakati mwingine

Nitafanya hivyo, asante mkuu.
 
Niliandika humu kuwa Africa needs a second wave of uhuru struggle from Black colonialists and time will tell Africa will fall victim of this new wave! soon or later
 
Wote tunajua ziko huko na hapa tunajadiliana, hivyo unapaswa kueleza in a nutshell nini ulielewa na siyo kutwambia tukasome huko!
Unapojadili kitu ina maana unajua kinachojadiliwa na siyo kutegemea ufundishwe kwanza. Kama unajua hizo ripoti zipo (in hard and soft copy) na hujazisoma na halafu unachangia hoja kuhusu hizo ripoti, then kuna tatizo hapa. Kuondoa hilo tatizo kazisome kwanza na usipoelewa, uliza utaeleweshwa, lakini si kufundishwa hizo ripoti zinasema nini.
 
Huna maana!

Mimechangia kwa mujibu wa mada ilivyowasilishwa na mleta mada hajaeleza cho chote kuhusu hoja zao ambazo tayari walishawasilisha na hazijafanyiwa kazi!
 
Yani kwamara ya kwanza nimeweza kusoma post ndedu kwasababu kwanza mdogowangu nibwana jela gereza la ngudu mwanza kunamaasikali jela wanapiga mpaka wanaua halafu wanaitengeneza wanavyojua wao na jinsi wanavyojua kulindana hivi kweli unamfanyia unyama kamahuo jamani halafu mungu akifanya yakwake wanahisi wameonewa
 
Halafu badokunawenda wazimu wanaliita mtukufu yaa Allah muwwka mahala stahiki kotokana na matendoyake aliyoyafanya hapa duniani Inshaallah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…