Barua ya wazi kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli

Wazo zuri Sana. Hongera Sana Mkuu .
Trillion 7 ni nyingi Ila Kama kweli tukiwa serious tunaweza.

Kuna kiwanda Cha Mbolea Minjingu Babati. Sijajua Kama udhalishaji wake unatosheleza solo la ndani?
 
Shukrani sana mkuu
 
Ahsante sana
 
Lakini hivi barua Rais atakua kaiona kweli mkuu
 
subirini mapinduzi kwanza ya mali zetu za asili ,mnajua kuna sehemu wanachimba chuma na Magufuli hajui hilo......
 
Wazo zuri Sana. Hongera Sana Mkuu .
Trillion 7 ni nyingi Ila Kama kweli tukiwa serious tunaweza.

Kuna kiwanda Cha Mbolea Minjingu Babati. Sijajua Kama udhalishaji wake unatosheleza solo la ndani?
Shukrani sana
 
Sio kuchangishana bali kuuza shares kwa kila mtanzania ya hiyo trillion 7 gawa kwa wa Tz waliosajiliwa, mtu asiponunua inapitishwa round ya pili kwa walionunua hivyo hivyo mpaka zinapatikana hizo 7 trillioni
 
Tanzania ni yetu tutaijenga wenyewe hakika, hili nalo ni wazo zuri sana
 
N.a.

Na pia kuna shares za mashirika au kampuni kubwa iwe za umma au za binafsi nao wanaweza kupewa shares au urahisi nafasi ya kuchangia mtaji
 
pole sana hivi umeshawahi kumuandikia baba yako barua huko kijijini...?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…