Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shukrani sana mkuuBiashara ya Petro-chemicals ni uwekezaki wenye return ya haraka sana na kutoa ajira kwa watu wengi sana kwa muda mfupi..
Mwafrica hawezi kupoteza muda na vitu vigumu, ngoja tuendelee kutia nia twende bungeni tukasosomole na wengine tuonekane kwenye uteuzi..Mwafrica anapenda mteremko na ile lugha ya kupiga kazi kwa maendeleo ya haraka nayakudumu kwake haiwezekeni..
Mkuu nenda tu kwenye marig kapige kazi ujenge ufalme wako na familia yako, hongera kwa degree ya aberdeen (home of oil and gas)...jitahidi kuwaencourage vijana,ndugu na jamaa wakasome hayo madude wawe madriller, fishing engineers, well completion engineers, tool pusher, motor man, roughneck, Trs etc wakapige hela mbele waendeshe mabenzi kwa marehemu babu yao Nyerere hapa tuwaachie wanasiasa nchi yao na mambo ya kusadikika wakiendelea kuwaambia vijana siasa ni ajira..
Hakika mkuu, ni wakati sasa umefika kama tulijenga shule kwa nguvu zetu, tuhamishie ile nguvu tujenge viwanda vikubwa.Naunga mkono hoja, na huu ndio uzalendo wa kweli.
P
Ahsante sanaWazo zuri Sana. Hongera Sana Mkuu .
Trillion 7 ni nyingi Ila Kama kweli tukiwa serious tunaweza.
Kuna kiwanda Cha Mbolea Minjingu Babati. Sijajua Kama udhalishaji wake unatosheleza solo la ndani?
Lakini hivi barua Rais atakua kaiona kweli mkuuBiashara ya Petro-chemicals ni uwekezaki wenye return ya haraka sana na kutoa ajira kwa watu wengi sana kwa muda mfupi..
Mwafrica hawezi kupoteza muda na vitu vigumu, ngoja tuendelee kutia nia twende bungeni tukasosomole na wengine tuonekane kwenye uteuzi..Mwafrica anapenda mteremko na ile lugha ya kupiga kazi kwa maendeleo ya haraka nayakudumu kwake haiwezekeni..
Mkuu nenda tu kwenye marig kapige kazi ujenge ufalme wako na familia yako, hongera kwa degree ya aberdeen (home of oil and gas)...jitahidi kuwaencourage vijana,ndugu na jamaa wakasome hayo madude wawe madriller, fishing engineers, well completion engineers, tool pusher, motor man, roughneck, Trs etc wakapige hela mbele waendeshe mabenzi kwa marehemu babu yao Nyerere hapa tuwaachie wanasiasa nchi yao na mambo ya kusadikika wakiendelea kuwaambia vijana siasa ni ajira..
Mkuu naomba ushauri hii barua niifanyaje ili Rais aione.Naunga mkono hoja, na huu ndio uzalendo wa kweli.
P
Keshaiona!.Mkuu naomba ushauri hii barua niifanyaje ili Rais aione.
OkayKeshaiona!.
P
Mkuu tujadili mada iliyopo, ili imfikie Raissubirini mapinduzi kwanza ya mali zetu za asili ,mnajua kuna sehemu wanachimba chuma na Magufuli hajui hilo......
Shukrani sanaWazo zuri Sana. Hongera Sana Mkuu .
Trillion 7 ni nyingi Ila Kama kweli tukiwa serious tunaweza.
Kuna kiwanda Cha Mbolea Minjingu Babati. Sijajua Kama udhalishaji wake unatosheleza solo la ndani?
Sio kuchangishana bali kuuza shares kwa kila mtanzania ya hiyo trillion 7 gawa kwa wa Tz waliosajiliwa, mtu asiponunua inapitishwa round ya pili kwa walionunua hivyo hivyo mpaka zinapatikana hizo 7 trillioniBarua ya wazi kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Mhe Dkt. John Pombe Magufuli.
Kwako Mh. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,
Natumai unaendelea vizuri na shughuri zako za kila siku.
Mimi ni kijana wako mtanzania halisi mpenda maendeleo na mchapa kazi wa kweli.
Nakupongeza kwa kuendelea kuishikilia vyema sera ya kujenga viwanda Tanzania ili kuweza kuinua uchumi wa nchi yetu.
Mh. Rais ni kweli ili nchi yeyote iweze kuendelea inahitaji, moja miundo mbinu bora na imara, viwanda, bila kuisahau elimu n. k.
Katika swala la viwanda mh Rais ni kweli nchi inahitaji viwanda mh Rais, vikubwa kwa vidogo. Viwanda vikubwa vipo vya aina nyingi, kuna viwanda vya magari, viwanda vya kemikali n.k.
Ndugu Mh. Rais Mimi naomba niegemee kwenye viwanda vikubwa vya kemikali mfano viwanda vya mbolea za ammonia, urea, CAN, DAP n. k. Ni wazi kwamba asilimia kubwa ya wananchi wa Tanzania ni wakulima wadogo kwa wakubwa. Lakini hata waajiriwa katika makampuni mbalimbali huutumia muda wao unaobaki baada ya kazi kujishughurisha na kilimo. Na hili ndilo linafanya kilimo kionekane kuwa uti wa mgongo wa maisha ya Watanzania.
Hivyo basi kama tukiweza kutengeneza mbolea bora kupitia viwanda vyetu tutakuwa tumelinuafaisha taifa hili kwa kiasi kikubwa sana. Kuhusiana na soko, soko la mbolea Tanzania ni la uhakika japo tunahitaji kuwaelimisha wananchi kutotegemea kilimo cha msimu mmoja. Tukifanya hivyo biashara ya mbolea itakuwa ni ya uhakika.
Ndugu Mh. Rais nchi yetu imebarikiwa kuwa na gesi asilia (methane) ambayo ndio malighafi kuu katika utengenezaji wa mbolea. Ambapo katika utengenezaji huo methane hubadirishwa ili kupata carbon monoxide na hydrogen gesi. Baada ya hapo Nitrogen huchukuliwa angani na kuunganishwa na hydrogen kikemikali kwa kutumia Haber process na kupata ammonia.
Ammonia kama ammonia yenyewe tu ni mbolea ikiwa katika mfumo wa hewa au inaweza kubadirishwa kuwa katika mfumo wa, majimaji au yabisi. Lakini pia ile carbon monoxide nayo pia inaweza, kuunganishwa na ammonia na kupata mbolea ya urea. Kutokea kwenye urea hapo tunaweza kupata mbolea nyingi tu.
Mbolea ambazo tunaweza kuzipata kwa kuunganisha kemikali zingine na Ammonia ni
1. Carbamide (urea)
2.Monoammonium phosphate (MAP)
3.Diammonium phosphate(DAP)
4.Ammonium nitrate (AN)
5.Sodium nitrate
6.Calcium Ammonium Nitrate
7.Ammonium sulphate (SA)
8.Calcium Nitrate
9.Urea ammonium nitrate (UAN)
Ndugu Mh. Rais kutokana na maelezo yangu hapo juu nilikua napendekeza gesi yetu asilia itumike zaidi kutengenezea, mbolea ili tukiinue kilimo chetu. Kilimo kitawezesha nchi yetu kupanda zaidi kiuchumi pia.
Ndugu Mh Rais ili kutengeneza mbolea tunahitaji kiwanda kikubwa (Fertilizer Petrohemical Plant). Ni kweli kabisa kwamba ili kuwekeza na kujenga kiwanda inahitaji pesa nyingi kwa makadirio ni dola billion 3 ($3B) ambazo ni sawa na Sh Trillion 7.
Mimi nilikuwa napendekeza tujenge kiwanda kikubwa cha mbolea kupitia michango ya wananchi. Kwamba wakuu wetu wa wilaya waanzishe michango ya kujenga kiwanda cha mbolea, nadhani tukifanya hivyo hiyo trillion 7 ni ndogo sana. Badala ya kusubiria mabeberu waje wawekeze ni bora tutumie fedha zetu za ndani. Ndugu Mh. Rais Kama shule tulijenga viwanda hatuwezi shindwa.
Ni wazi kwamba tukiendelea kuwategemea mababeru waje na mitaji yao kuwekeza kwenye miradi yetu, tutachelewa sana kupata maendeleo yale tunayo yahitaji. Maana wahenga walisema mtegemea cha nduguye hufa maskini. Hivyo mimi naungana nawewe katika kutumia fedha zetu za ndani kujenga miradi yetu.
Ndugu Mh. Rais Mimi sina mengi
Nashukuru kwa kuipata barua yangu.
Jina: Meneja wa Makampuni
Elimu: BSc. Oil and Gas Chemistry (Aberdeen University)
Tanzania ni yetu tutaijenga wenyewe hakika, hili nalo ni wazo zuri sanaSio kuchangishana bali kuuza shares kwa kila mtanzania ya hiyo trillion 7 gawa kwa wa Tz waliosajiliwa, mtu asiponunua inapitishwa round ya pili kwa walionunua hivyo hivyo mpaka zinapatikana hizo 7 trillioni
Na pia kuna shares za mashirika au kampuni kubwa iwe za umma au za binafsi nao wanaweza kupewa shares au urahisi nafasi ya kuchangia mtajiTanzania ni yetu tutaijenga wenyewe hakika, hili nalo ni wazo zuri sana
OkayN.a.
Na pia kuna shares za mashirika au kampuni kubwa iwe za umma au za binafsi nao wanaweza kupewa shares au urahisi nafasi ya kuchangia mtaji
Dar kahama mkuuMkuu, mtumie huu ujumbe kwa address hiyo hapo chiniView attachment 1506526
Mkuu, mtumie huu ujumbe kwa address hiyo hapo chiniView attachment 1506526
Sasa ni mbinu gani nyingine wewe unapendekeza ili hili wazo limfikie Rais popote alipo.Ni wazo zuri likifanyiwa kazi. Lakini Ikulu kwa Sasa iko Dodoma na si DSM tena na JPM keshahamia huko!
Wewe unapendekeza mbinu gani itumike ili hili wazo limfikie Rais kwa gharama yeyote ile.Dar kahama mkuu