Barua ya wazi kwa Samia kuhusu hali ilivyo sasa baada ya waraka wa wahashamu

Baadhi ya Waislamu wanamwona Mwarabu kama Mungu wao.
Nashangaa ni kwanini walimtimua Zanzibar.

Mkataba wa Bandari haulengi kushusha makontena bali kuitawala Tanganyika.

Inayumnikanaje unampa Mwarabu mamlaka ya kutawala Bandari zote za Tanganyika.
Bandari za Bahari, Maziwa, Mito yote milele.
Hivi sisi Waafrika ngozi nyeusi tumerogwa na nani.

Ni nchi gani duniani ilimilikisha Bandari zake zote kwa wageni...[emoji848]

Hivi tuko timamu kweli. Yaani vitukuu vyetu viambiwe havina mamlaka katika Bandari zote za nchi yao ya Tanganyika.

Ati Mamlala yote alipewaga Mwarabu.
This is the True ShitHoles.
 
Hakuna Rais kutoka KKKT kama chifu h mama abdul kawaambia ivo kawadanganya
 
Wee Chura nimeipenda hii nickname mpya ya SSH as SASHA!!!.... Ina swagger....

linafaa kutrendishwa.... ila haliwezi kutrend....!

Hadi pale atakapoamua kurejesha amendment bungeni kutengua huu mkataba wa kinyonyaji!!!
 
Waraka wa kupinga ushoga unatoka lini? au Ushoga sio jambo mtambuka ?
 
ungeweka na kapicha ka huo mkataba
 
ungeweka na kapicha ka huo mkataba
 
Serikali ya Tanzania haina dini, ila raia wana dini zao ambazo hazina ubia katika serikali.
Hakuna dini inayompinga Rais wetu Samia, zote zinakubaliana naye kuongoza nchi bila maneno ya kujipendekeza kama baadhi ya wachache wanaofikiri atawasikia kwa maneno yao.
Tofauti ya fikra kwa wengine kupinga mkataba wa DP world kama ulivyo haina maana ya kumpinga Rais.
Kimsingi tunatakiwa kuangalia jambo hili katika kweli na haki kimantiki kwa mustakabali mwema wa taifa kwa ujumla.
 
Kwa hiyo Nyaraka za TEC huwa ni kwa ajili ya Miswaada tu? usilidogeshe kanisa kiasi hicho Mkuu
Ushoga umehalalishwa wapi hapa nchini mpaka TEC watoe waraka wa kukemea?

Mkuu unafikiria kwa kutumia ubongo kweli?

Ulitaka watoe tamko kwa kitu ambacho ni hewa?
 
Wale wanaopitishaga mizigo yao hapo bandarini bwereree wanajua kabisa mwarabu akikabidhiwa bandari hakuna tena bwereree
Nilifikiri tunapambana bandari kwa maslahi ya taifa kumbe wengine wanapambania kwa maslahi yao.
 
Hii ni ngoma ya wakubwa lazima ikeshe. Sijui kama mama ataelewa. Maana tumeandika hadi hatuchoki na vitisho vya akina chalamila.
 
Ila kweli kuwa kiongozi tena kama Rais wa nchi ni kazi. Samia anakazi kubwa sana katika hili.

Lakini pia maamuzi yoyote atakayofanya kama kuutupilia mbali au kuendelea au kurekebisha. Tayari ameshajitia doa sugu lisiwoweza kufutika.

Kwa ninavyofikiri mimi hapa alipo halali na watu wake wanatafuta easy way out na kama mmoja alivyosema huko juu njia moja wapo ni kuwagawa wakristu wenyewe kwa wenyewe na wakristu dhidi ya waislam.

Agenda imebadilika kutoka mkataba kuwa na terms zisizokuwa na uhalisia imehamia kwenye udini.
 
Dini zitabaki na hakutakuwa na mtifuano wa kidini.
Haya yanayotokea yana mdhara kwa watawala na vyama hasa ccm.
Huu mkataba umegeuka mtakabwa. Wapo wameanza kukabwa.
 
Who is sasha...? We dont have and we could'nt have the president of that name
Who is JPM, JK, BM, JK Nyerere!? etc. Ni kifupi tu cha majina ya rais SAmia Suluhu HAsan (SASHA) kama ilivyokuwa kwa John Pombe Magufuri (JPM) au Benjamin Mkapa BM
 
Who is JPM, JK, BM, JK Nyerere!? etc. Ni kifupi tu cha majina ya rais SAmia Suluhu HAsan (SASHA) kama ilivyokuwa kwa John Pombe Magufuri (JPM) au Benjamin Mkapa BM
Bishoo anaelewa basi tu
 
Tuzidi kusali
 
TEC hao hao walimchanaga mkapa
Sembuse utawala huu

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…