Barua ya wazi kwa Samia kuhusu hali ilivyo sasa baada ya waraka wa wahashamu

Unaposema TEC wameingilia siasa nakuona Mjinga tu,suala la mkataba ni suala la kiuchumi na ni jambo la kitaifa hivyo kila mtu,kikundi au taasisi yoyote hapa Tanganyika ina haki ya kutoa maoni yake juu ya jambo hili.
Waraka wenyewe hawazungumzia mambo ya dini
Mijitu tu na mipanya imetoka shimoni
Na kuanza kulopokalopoka

Ova
 
Kwa lile lidude la mkataba, Saa100 amepoteza sifa za kugombea Urais na hana uwezo ea kuulinda na kuuheshimu muungano
 
Kajisogeza au wamemuarika wenyewe?? Be honesty hata kidogo basi

Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
 
Mbona umeandika ujinga huu bwana mdogo?? Ungepungukiwa nini kama ungekaa kimya?

Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
 
Tuungane pamoja kuwakenea hao TEC na wakome kabisa maana Wana historia ya kuleta machafuko kwenye Nchi mbalimbali Duniani..

Tusitoe nafasi ya dini au dhehebu Fulani kupanda kwenye kichwa Cha Serikali
 
Mwache azibe pamba masikioni huku hilo limkataba likiendelea. Yajayo yatafurahisha!
 


Rais SSH yeye ndie anayeigawa Taifa kidini, Uzanbabari na Utanganyika.

Issue ni simple, Rahisi rekebisha mkataba kwa maslahi ya Watanzania wote.
 
Umepuyanga, unakuza mambo, kifupi wewe ndo mchochezi namba moja.
 
Wale wanaopitishaga mizigo yao hapo bandarini bwereree wanajua kabisa mwarabu akikabidhiwa bandari hakuna tena bwereree
Nilifikiri tunapambana bandari kwa maslahi ya taifa kumbe wengine wanapambania kwa maslahi yao.
Hii point huwa inachekesha sana, inaonyesha kiwango cha chini sana cha uelewa wa maswala ya jinsi Bandari na TRA zinavyo operate.Ungemalizia kabisa kuwa huwa wanakwepa kodi,maana ndiyo ka slogan kenu mnapojifichia
 
Ngoja tuone...

Ila kazi ipoo...
 
Nachojiuliza, hata tukilumbana mpaka asubuhi kuhusu DP WORLD, mkataba ulishamalizika kuwekwa saini na pande zote mbili na yule MWARABU ana copy yake na sisi tuna copy yetu, sasa hayo marekebisho yatafanyika wapi?
 
Nachojiuliza, hata tukilumbana mpaka asubuhi kuhusu DP WORLD, mkataba ulishamalizika kuwekwa saini na pande zote mbili na yule MWARABU ana copy yake na sisi tuna copy yetu, sasa hayo marekebisho yatafanyika wapi?
Tusubiri pakuche
 
kabla sijamaliza kusoma bandiko lako nikupe heko kwa hilo jina la SASHA - hii imeenda.
 
Watanganyika
Watanganyika tunaopinga mkataba huo siyo RC pekee,bali ni Watanganyika tupingao kunyang'anywa rasilimali zetu bila kujali dini zetu.

Labda kikubwa hapo ni kwamba TEC wamekuwa kipaza sauti chetu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…